Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,406
- Thread starter
- #21
maisha ya sasa hata aibu hakuna tena.inasikitisha kwa kweli
ni ngumu kumeza offcourse
maisha ya sasa hata aibu hakuna tena.inasikitisha kwa kweli
mwe..bora hata nisi ku pm manake..
nipm bwana. Mwezi mzima cjapokea hata kapm ka hi! Dah, inabidi nikaoge maji ya bahari.
ha ha shauri yako ..utasababisha watu wote wa JF wa kupm sasa sijui utawajibuje. tatizo pm zangu zinakujaga na mistari utaivumilia hiyo mistari, utabana au utaachia?
hehehehe! Nitaajiri sekretari azisome na kujibu. Shem hapa mistari pia imelala. Wewe utabana?
KUZAA ZAA HOVYO ndo nini mkuu? Naomba ufafanuzi kidogo hapo tafadhali.Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele nyongeza.
sikuweza kuvumilia ilibidi nimpe buku nikamwambia aondoke zake hakuna mtu mwenye shida naye akachukua na kutuachia bonye la sonyooo na kuondoka zake.
ushauri:somesheni watoto wenu na kama mtu huna uwezo epuka kuzaa zaa ovyo
Pole sana Ivuga,Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele nyongeza.
sikuweza kuvumilia ilibidi nimpe buku nikamwambia aondoke zake hakuna mtu mwenye shida naye akachukua na kutuachia bonye la sonyooo na kuondoka zake.
ushauri:somesheni watoto wenu na kama mtu huna uwezo epuka kuzaa zaa ovyo
Ivuga hako kadada kalikuwa kanalazimisha ukape hela au kalikuwa kanataka Dushelele au vyote pamoja?
KUZAA ZAA HOVYO ndo nini mkuu? Naomba ufafanuzi kidogo hapo tafadhali.
mkuu wewe unaendaga sana pale?inaonekana hili tukio limetokea leo usiku kabla uzi haujaundwa ndivyo ilivyo mkuu mtakati..
Kona bar ni noma,unaweza kubaka au ukabakwa!watoto wanaojiuza pale ni warembo sijawahi ona!ni wakali balaa!utawapata pia buguruni kimboka bar!
Pole sana Ivuga,
Usiende tena huko bana au ukienda ongozana na Mwali hawatakusogelea!!!
Kwa kweli, Ni aibu na Huzuni nyingi kwani Watu hawana tena HOFU ya MUNGU
Na kwakuwa hivyo walivyo wao wanaona wako sahihi
TUOMBE NEEMA NA REHEMA ya MUNGU tuweze kupona
Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele nyongeza.