Sirudi tena kona bar.

Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele nyongeza.
sikuweza kuvumilia ilibidi nimpe buku nikamwambia aondoke zake hakuna mtu mwenye shida naye akachukua na kutuachia bonye la sonyooo na kuondoka zake.
ushauri:somesheni watoto wenu na kama mtu huna uwezo epuka kuzaa zaa ovyo

Kaka huku wengi atu wazima hujaeleza vizuri kuna mahali umekanyaga waya. Ulimpa buku hivihivi akaenda? sema ulipata huduma. Mmmmhhhhhhhhhhhhhhh...........................!
 
Mkuu umekosea sio wote ambao ni wauza k hawajasoma! Wengine ni wasomi wa haja tu kiongozi. Nenda Koinange street pale NRB kiwango kikubwa ni wnafunzi wa UNIVERSITY za pale. Njoo Moshi wengi ni wa ushirika kama sio masoka na mweka!
Hizo ni tamaa zao tu wala sio wazazi ama walezi!
 
Kona bar patamu sana. ukipata mzoga wako pale unazunguka tu pale kwenye tule tumsikiti uchwara unamaliza mambo yako halafu mambo mengine yanafuata.
MAPROSOO.
 
Bahati yake mbaya alikuta hujalewa. angesubilisubili ulewe. kweli harakaharaka haina baraka. au siku hiyo ulikuwa umetoka kwa shemeji nyeg zote kazikata?
 
Kona bar patamu sana. ukipata mzoga wako pale unazunguka tu pale kwenye tule tumsikiti uchwara unamaliza mambo yako halafu mambo mengine yanafuata.
MAPROSOO.

Jitahidi kuheshimu imani za kiroho hakuna kanisa wala msikiti uchwara as long watu wanaabudu..
 
Kona bar ni noma,unaweza kubaka au ukabakwa!watoto wanaojiuza pale ni warembo sijawahi ona!ni wakali balaa!utawapata pia buguruni kimboka bar!

Mnnnh we mwenyeji sana wewe... Vipi ushawahi kubakwa weeeeeh?
 
Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele nyongeza.
sikuweza kuvumilia ilibidi nimpe buku nikamwambia aondoke zake hakuna mtu mwenye shida naye akachukua na kutuachia bonye la sonyooo na kuondoka zake.
ushauri:somesheni watoto wenu na kama mtu huna uwezo epuka kuzaa zaa ovyo

Ahsante sana kwa ushauri mzuri ndugu. Ulichosema ni kweli, japo si elimu tu bali pia malezi na mengineyo pia huchangia.
 
kona bar hakuna za buku labda ulimaanisha kimboka. Pale ukienda na buku tano yenyewe labda iwe night kali sana wanapomalizia kufunga mahesabu.
 
kona bar hakuna za buku labda ulimaanisha kimboka. Pale ukienda na buku tano yenyewe labda iwe night kali sana wanapomalizia kufunga mahesabu.

WEWE OMERA!umeaga toka kwenu kuja Dar kufanya makazi Corner Bar? ukome na ulegee.
 
hii hali ni hatari...
Ilishawahi kunitokea situation kama hii alikuja mtoto akakaa pale nikampa Bia mbili free maana mimi nilikua busy na kisimu changu na browse JF.. Baada ya kumaliza Bia akaanza kunisogelea anashika zip ya suruali anataka ku****** nikamwambia unataka nini ndio akasema yupo kikazi..... Na mtoto alikua bomba ile mbaya... Nikampotezea fasta nikahama Meza
 
Dooh bahati ilioje hiyo mmeipoteza we utakuwa mshamba sana ungekula tu ndo mambo ya mjini hayo siku moja moja unakula chakula cha hoteli...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom