Sirudi tena kona bar.

usirudi okoka kabisaaa,hio hela ya pombe ungesave kwa ajili ya kuwaandalia wanao maisha mazuri...lol
Mbona hujauliza alichoitiwa hapo kona bar? yawezekana kwenda kwake hapo bar ilikuwa ni neema kwa watoto wake.
 
Mkuu umekosea sio wote ambao ni wauza k hawajasoma! Wengine ni wasomi wa haja tu kiongozi. Nenda Koinange street pale NRB kiwango kikubwa ni wnafunzi wa UNIVERSITY za pale. Njoo Moshi wengi ni wa ushirika kama sio masoka na mweka!
Hizo ni tamaa zao tu wala sio wazazi ama walezi!
duh.....
 
Bahati yake mbaya alikuta hujalewa. angesubilisubili ulewe. kweli harakaharaka haina baraka. au siku hiyo ulikuwa umetoka kwa shemeji nyeg zote kazikata?

mimi sio wa aina hiyo..sio mlevi wa kihivyo na sitaki wadada wa aina hii nikiwa na shida nao si naenda mwenyewe tu kwani shida iko wapi kaka
 
Dooh bahati ilioje hiyo mmeipoteza we utakuwa mshamba sana ungekula tu ndo mambo ya mjini hayo siku moja moja unakula chakula cha hoteli...

mimi ni mshamba mambo hayo nawaachia watu wa mjini
 
hivi siku hizi unakaa kwenye rig ya RC??

Unaonekana usiku tu kama bundi.
Rig ya DD Kongosho. Yani, we acha tu! lol
Ila nimeona pia JF by night ndio mpango mzima
By day kuna wanga wengi. lol
 
Pale maCD wengi sawa na wateja wa vinywaji na chakula... Unaweza ukadhani unaongea na dada wa kistaarabu,baada ya muda anaongea obscene words.. Unagutuka kuwa ni walewale...
 
Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele nyongeza.
sikuweza kuvumilia ilibidi nimpe buku nikamwambia aondoke zake hakuna mtu mwenye shida naye akachukua na kutuachia bonye la sonyooo na kuondoka zake.
ushauri:somesheni watoto wenu na kama mtu huna uwezo epuka kuzaa zaa ovyo

Huko tunakoelekea sijui wapi, itafikia hatua ya machangudoa kuwabaka wanaume kama ambavyo vibaka mtaani wanakwapua! ee Mungu tusaidie na kutuhurumia waja wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom