Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
hivi kunani hapa??
Pamoja na vumbi lakini panapendwa tu.
pako poa sana yani pamechangamka! Unapiga biere zikipanda unashushia na supu ya moto moto + nyama choma saaafi kabisa kama vp leo tujumuike wote!