Sipendi wanaohalalisha Infidelity

Ndio maana yake kiongozi. Soma katikati ya mistari hapo then pitia posts zako halafu ukonekti dots.

Sijapitisha kampeni ya aina yoyote hapa ni JF mpwa Kaizer na Chripin; msg zangu kwa wapwa nikuwa niwe kwenye groups zao as friends na hata wewe nimekupa! Ikiwa nimeweza kusoma nyuma ya mistari :confused2:
 
Sawa kabisa.

Ila atakayethibitisha kuwa mshiki ha-cheat ni mshiki mwenyewe. Geoff hawezi kututhibitishia kuwa mshiki ni mwaminifu kwa 100%. Mshikiz pia hawezi kuthibitisha Geoff si mwaminifu, ila makamanda wapiganaji tunaweza kuthibitisha biyond rizonabo daut:drum::drum::drum:
hehehehe!halafu nina mkakati wa chinichini wa kubadilisha aidii maanake mshiki ni kama ana dalili za kunimonita

carmel............
hapa nadhani kama ni SHUZI basi limepata mjambaji
GO KAIZER GO
 
Duh...MJ bana sasa apo wewe wa moto au wabaridi? mbona naona kuna ujumbe hatarishi pia umeutuma na unaulizia matokeo? carmel si nke wa ntu? LOL

Lol :becky: sikuona hii post samahani; Si wakati wote PM ikawa na nia mbaya; Hata weye Kaizer nimekutumia PM! :becky:
 
Sijapitisha kampeni ya aina yoyote hapa ni JF mpwa Kaizer na Chripin; msg zangu kwa wapwa nikuwa niwe kwenye groups zao as friends na hata wewe nimekupa! Ikiwa nimeweza kusoma nyuma ya mistari :confused2:
Pamoja kamanda. Hommie alitaka kujua hako kaPM kama kalikuwa kana mazingira na vimelea vya cheating LOL........Ilikuwa kuchangamsha jamvi kama kawaida yetu, otherwise thread ingeshasimama hii, na siku isingefika muda huu tukiwa tuna tabasamu.

Sasa turudi kwenye mada INFIDELITY is THERE TO STAY, hilo mpaka sasa hakuna aliyelithibitisha otherwise!!!
 
hahahaha Chripin sikuwezi wewe ...
 
No it is NOT my Broda! We must CHANGE our ways for the SAKE of our GRAND KIDS!
 
U R the MAN of honor MJ...Yes u r ... remember history is made by those who break the rules...(clap ur hands for MJ bredahs and sistazzzz)
Clap Clap Clap!!!!

Na mimi pia munipigie wajameni........
 
Infidelity is relative, tuache uzungu, tutukuze Uafrika, Mume mmoja, mke mmoja ni uzungu. Waafrika mume mmoja wake wengi, ndio maana wengi wana mke mmoja kutimizwa matakwa ya kizungu na dini zao, halafu wana vimada kadhaa.
Inapotokea kwa mke kwenda nje, hiyo ni issue nyingine kabisa ila the bottom line ni aliyenaye ama anashindwa kumtimizia, hivyo anatoka nje ili kupunguza nakisi, ama anashindwa kumtosheleza, hivyo anatoka nje ili atosheke.
Issue sio kuhalalisha, bali society inakuwa too open.

Hatari...
 
U R the MAN of honor MJ...Yes u r ... remember history is made by those who break the rules...(clap ur hands for MJ bredahs and sistazzzz)

Clap Clap!

A standing ovation for you mamaam!

Nimeona kwa rate hii the FAMILY institution is heading to the rocks! Asa tusipokuwa makini wajukuu zetu watakuwa kama mahayawani!
 
Thank you kwa kumpigia makofi MJ

Ila mimi sikupigii makofi mpaka dada yako bht akubali kama unastahili claps
Nipigie kwanza afu akikuja akakataa kutoa kibali, unanitwanga makonde kadhaa....
 
Katika thread hii nadhani tunatakiwa kuanza misimamo. Kuna watu wanaelezea kama vile ku cheat ni kila mtu anacheat au ni lazima within ten years of marriage u cheat angalau mara moja. Ku-cheat siyo fashion wala lazima, ni kukosa kiwango cha hali ya juu ya self control, hata kama wanaume allegedly wana vi-genes vya kama vijogoo au mbwa (kama inavyosemekana humu ndani na kwingineko). Msihalalishe ubazazi wenu na statistics, na kulaumu spouses wenu. Hivi kama mnashindwa kuji-control (wanaume na wanawake) imagine umefika jela miaka miwili kama Liyumba, kule unafanyaje????? Watu mnakaa mnaweka mazingira ya ku-cheat ofisini, bar, nyumbani (mashemeji, hausigeli) halafu mnasema cheating ni kawaida? Shame on you guys. Who makes the statistics? Si wewe na mimi? Kwa hiyo mnaendelea ku-cheat kuendelea kuweka rekodi ya kuhalalisha udhaifu wenu? C'mon...

Mimi nakiri kuwa SI-CHEAT!! Na nina miaka kibao ya ndoa. Vishawishi vya ku cheat ni vingi, ila si-cheat. Chrispin na wengine wamesema wanacheat. Ambao hawa cheat kama mimi wajitokeze please!!! Lets make a difference and tell a different story, hiyo inayoitwa ya kusadikika. Tukaneni, mkebehi mtajua wenyewe, habari ndiyo hiyo

unajua inasikitisha sana kuona watu wana-generalize kwamba kucheat ni lazima,na wengi humu wameegemea kwa wanaume % kubwa.
unajua ni hulka au tabia ya mtu ndio inamfanya afanye hivo vilevile kukosa self-control kabisa ya mwili na mawazo yako.sio kila mtu aliye ndoani lazima kipindi fulani cha ndoa ata-cheat msipende kuwajumuisha wanaume/wanawake wote na hii tabia ya ku-cheat.
maana unapo-generalize ivo, wewe una takwimu zipi na ulizifanya wapi na kwa akina nani?labda ulichukua sample ya watu kadhaa ulioongea nao,sasa wale wengine ambao hujawahi kukutana nao (nao i idadi gani)unajua maisha yao na iyo cheating???
mada ya carmel imejieleza bayana "cheating sio sifa na wala si hulka ya kila mwanaume/mwanamke chini ya jua"

grow up yu people
 
Nipigie kwanza afu akikuja akakataa kutoa kibali, unanitwanga makonde kadhaa....
hahahhhha ooow my Gosh... Chrispo u r priceless .... ila mie nataka nianze na makonde akikubali kutoa kibali ndio ntakupigia makofi....
 
hahahhhha ooow my Gosh... Chrispo u r priceless .... ila mie nataka nianze na makonde akikubali kutoa kibali ndio ntakupigia makofi....
Your request has been denied by the management of Chrispin and his Body Co.Ltd
 
Back
Top Bottom