Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu.
Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili zake.
Wajibu wa mke ni kumtii mume wake. Mume akisema kaa nyumbani kwa maslahi ya familia wewe utapaswa kubaki nyumbani, mume akifungua biashara usimamie unapaswa ufanye kama ulivyoamriwa
Mume ni commander in chief wa familia.
Muhubiri wa leo anasema kuwa mume humuheshimu mke mwenye kipato chake ilhali nyie wote ni mashahidi hali ilivyo kwenye hizi ndoa zenye wenza wote wenye vipato vyao. Ndoa zao hazidumu, na zingine zinadumu lakini migogoro haiishi. Wanaume wengi waliooa wanawake wenye vipato vyao tendo la ndoa hupewa kwa kipimo, vyakula hutengewa na house maids n k
Sasa hawa wahubiri wanaoibuka kama uyoga baada ya kukosa Neno litokalo kwa Mungu wameamua kufundisha falsafa za ulimwengu ambazo unaweza kuzipata popote. Kuwasikiliza wahubiri wanahubiri falsafa za ulimwengu ni heri ununue bando ujifundishe jambo lolote upendalo maana hutatoa sadaka, hutalipia Daladala kuwafuata, hutatumia muda mwingi. Maana ukisema uwafuate walipo utatumia siku mzima while ukiwa chumbani kwako lisaa limoja linatosha kujifunza chochote mtandaoni.
 
Hivi nani alileta ujinga kwamba ndoa haiwi ndoa mpaka aje mtu aliesoma bible school awape baraka na kuwatangaza kuwa mke na mme? Imeandikwa wapi kwenye biblia
Mimi nimesoma chuo kikubwa cha white horse bible college cha USA, na sasa kuna chuo kingine cha nje nasoma.
Hakuna ulazima wa kufungia ndoa madhabahuni. Hata wazazi au walezi tu wanatosha kufungisha ndoa.
Ile kauli ya sasa unaweza kwenda naye ndio ndoa
 
Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu.
Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili zake.
Wajibu wa mke ni kumtii mume wake. Mume akisema kaa nyumbani kwa maslahi ya familia wewe utapaswa kubaki nyumbani, mume akifungua biashara usimamie unapaswa ufanye kama ulivyoamriwa
Mume ni commander in chief wa familia.
Muhubiri wa leo anasema kuwa mume humuheshimu mke mwenye kipato chake ilhali nyie wote ni mashahidi hali ilivyo kwenye hizi ndoa zenye wenza wote wenye vipato vyao. Ndoa zao hazidumu, na zingine zinadumu lakini migogoro haiishi. Wanaume wengi waliooa wanawake wenye vipato vyao tendo la ndoa hupewa kwa kipimo, vyakula hutengewa na house maids n k
Sasa hawa wahubiri wanaoibuka kama uyoga baada ya kukosa Neno litokalo kwa Mungu wameamua kufundisha falsafa za ulimwengu ambazo unaweza kuzipata popote. Kuwasikiliza wahubiri wanahubiri falsafa za ulimwengu ni heri ununue bando ujifundishe jambo lolote upendalo maana hutatoa sadaka, hutalipia Daladala kuwafuata, hutatumia muda mwingi. Maana ukisema uwafuate walipo utatumia siku mzima while ukiwa chumbani kwako lisaa limoja linatosha kujifunza chochote mtandaoni.
Ila ile clip kaelezea ukweli kabisa mkuu wa hali ya saiv sio mapenz tu siku nyingine ni mahesabu.
 
Mimi nimesoma chuo kikubwa cha white horse bible college cha USA, na sasa kuna chuo kingine cha nje nasoma.
Hakuna ulazima wa kufungia ndoa madhabahuni. Hata wazazi au walezi tu wanatosha kufungisha ndoa.
Ile kauli ya sasa unaweza kwenda naye ndio ndoa
Hapa nawe umepotosha au hujui usemalo sawa na huyo Pastor Tony unayemsema.

Nifahamuvyo, ndoa na tendo la ndoa ni muungano (Agano) (Mwanzo 2:24) na tendo hili asili yake ni Rohoni na linatimilizwa katika mwili. Ili agano la kiroho litimie, linahitaji madhabahu hapa ndipo kuna zile madhabahu ya Kimila, kiserikali au kidini. Ili Agano litimie pia linahitaji Kiapo au Ukiri (Wenza wawili wakiri) na lazima agano lifungwe kwa kutamkwa na yule anayewaingiza kwenye agano(Wafungisha ndoa).

Sasa kwanini kanisani? Sababu madhabahu ya kimungu na agano linafungwa au kamilishwa katika Mamlaka ya Jina lenye nguvu na uweza la Yesu Kristo. Agano hilo halitavunjwa na mtu yoyote kiroho kwani kiapo kimefungwa katika Jina lenye uweza na Mamlaka kuliko kitu au nguvu yoyote ila japo kimwili mnaweza kuvunja na ndio maana ndoa za kikristo hazivunjiki.

Hivyo ndoa za kikristo ni lazima zifungwe kanisani.
 
Kuna mambo mtu hawezi kuniamulia maisha yangu.
Ikiwemo ndoa na mahusiano.
Nikitaka nataka, niliacha naacha bila yeyote kuhusika
Hahaaaaa we jamaa una mbwembwe kweli na unawaokota huku JF japo umefanya makosa ya kuweka Jina na Utambulisho wako rasmi na watu wengi wanakujua nje ya JF.

Hivi ni mzazi gani au binti gani atakayekubali kuolewa na kupelekeshwa kama usemavyo, yaani unaoa na kuacha utakavyo. Hivi wazazi wa Binti Kimosso watakubaliana na hilo jambo? Acha mbwembwe dogo.
 
Hapa nawe umepotosha au hujui usemalo sawa na huyo Pastor Tony unayemsema.

Nifahamuvyo, ndoa na tendo la ndoa ni muungano (Agano) (Mwanzo 2:24) na tendo hili asili yake ni Rohoni na linatimilizwa katika mwili. Ili agano la kiroho litimie, linahitaji madhabahu hapa ndipo kuna zile madhabahu ya Kimila, kiserikali au kidini. Ili Agano litimie pia linahitaji Kiapo au Ukiri (Wenza wawili wakiri) na lazima agano lifungwe kwa kutamkwa na yule anayewaingiza kwenye agano(Wafungisha ndoa).

Sasa kwanini kanisani? Sababu madhabahu ya kimungu na agano linafungwa au kamilishwa katika Mamlaka ya Jina lenye nguvu na uweza la Yesu Kristo. Agano hilo halitavunjwa na mtu yoyote kiroho kwani kiapo kimefungwa katika Jina lenye uweza na Mamlaka kuliko kitu au nguvu yoyote ila japo kimwili mnaweza kuvunja na ndio maana ndoa za kikristo hazivunjiki.

Hivyo ndoa za kikristo ni lazima zifungwe kanisani.
Mimi nimejibu kama kiongozi. Si vyema kuwaambia vijana kuwa ndoa ni sex. Wengine akili zao fyatu wanaweza kufanya juhudi zote ili tu amzini Binti ajipatie uhalali wa kumfanya mke.
Ni kweli ndoa ni tendo la ndoa.
That's why kama kuna wanandoa hawafanyi tendo kwasababu za kimaumbile hiyo si ndoa hata kama kafungisha papa au askofu
 
Sijamsikiliza Tony kasemaje japo najua wachungaji wengi vijana wameingia kwenye kufundisha maswala ya ndoa na familia kwa kukurupuka.

Mi nilikuwa napinga unaposema sio lazima kwa mkristo kufunga ndoa kanisani.
 
Hahaaaaa we jamaa una mbwembwe kweli na unawaokota huku JF japo umefanya makosa ya kuweka Jina na Utambulisho wako rasmi na watu wengi wanakujua nje ya JF.

Hivi ni mzazi gani au binti gani atakayekubali kuolewa na kupelekeshwa kama usemavyo, yaani unaoa na kuacha utakavyo. Hivi wazazi wa Binti Kimosso watakubaliana na hilo jambo? Acha mbwembwe dogo.
Tatizo kubwa linalokumba uhusiano/ndoa za Tanzania sasa hivi ni mfumo dume. Ni hivi: Kutokana na maendeleo ya technology, wanawake wengi wanajitambua na wameshajua nao ni binadamu wanaohitaji respect ilhali wanaume bado wako kwenye mfumo dume wa zamani wa kutaka wakisema ''ni ma-panya basi iwe ni ma-panya''. Kwa mfano ni wanaume wengi ambao wanadhani kuwa kwenye ndoa/uhusiano, ni haki ya mwanamme kuchepuka lakini mwanamke ni marufuku. Hili ni tatizo la ndoa nyingi kwa sababa wanawake siku hizi wameamua kujibu mapigo badala ya kukaa na kulia-lia
 
Hahaaaaa we jamaa una mbwembwe kweli na unawaokota huku JF japo umefanya makosa ya kuweka Jina na Utambulisho wako rasmi na watu wengi wanakujua nje ya JF.

Hivi ni mzazi gani au binti gani atakayekubali kuolewa na kupelekeshwa kama usemavyo, yaani unaoa na kuacha utakavyo. Hivi wazazi wa Binti Kimosso watakubaliana na hilo jambo? Acha mbwembwe dogo.

Kwani wewe ukioa unaoa kwa matakwa yako au ya mzazi wako au mkwe wako?
 
Mimi nimesoma chuo kikubwa cha white horse bible college cha USA, na sasa kuna chuo kingine cha nje nasoma.
Hakuna ulazima wa kufungia ndoa madhabahuni. Hata wazazi au walezi tu wanatosha kufungisha ndoa.
Ile kauli ya sasa unaweza kwenda naye ndio ndoa
Hii sahihi kabisa
 
Hivi mnavosema mwanaume akihudumia familia peke yake, ndoa ndo zina dumu mnaangalia uhalisia wa mitaani kweli?

Wanawake walioolewa wana ajira na biashara kila mahali. Sio kawaida kumkuta ke hana shughuli.

Shida Iko wapi? Au hizo hela zao wanazichezea za wanaume ndo zinatumika....

binti kiziwi hebu nieleweshe hapa wewe si mtu mzima
 
Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu.
Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili zake.
Wajibu wa mke ni kumtii mume wake. Mume akisema kaa nyumbani kwa maslahi ya familia wewe utapaswa kubaki nyumbani, mume akifungua biashara usimamie unapaswa ufanye kama ulivyoamriwa
Mume ni commander in chief wa familia.
Muhubiri wa leo anasema kuwa mume humuheshimu mke mwenye kipato chake ilhali nyie wote ni mashahidi hali ilivyo kwenye hizi ndoa zenye wenza wote wenye vipato vyao. Ndoa zao hazidumu, na zingine zinadumu lakini migogoro haiishi. Wanaume wengi waliooa wanawake wenye vipato vyao tendo la ndoa hupewa kwa kipimo, vyakula hutengewa na house maids n k
Sasa hawa wahubiri wanaoibuka kama uyoga baada ya kukosa Neno litokalo kwa Mungu wameamua kufundisha falsafa za ulimwengu ambazo unaweza kuzipata popote. Kuwasikiliza wahubiri wanahubiri falsafa za ulimwengu ni heri ununue bando ujifundishe jambo lolote upendalo maana hutatoa sadaka, hutalipia Daladala kuwafuata, hutatumia muda mwingi. Maana ukisema uwafuate walipo utatumia siku mzima while ukiwa chumbani kwako lisaa limoja linatosha kujifunza chochote mtandaoni.

Dunia imebadilika sana acha uhafidhina.
 
Hapa nawe umepotosha au hujui usemalo sawa na huyo Pastor Tony unayemsema.

Nifahamuvyo, ndoa na tendo la ndoa ni muungano (Agano) (Mwanzo 2:24) na tendo hili asili yake ni Rohoni na linatimilizwa katika mwili. Ili agano la kiroho litimie, linahitaji madhabahu hapa ndipo kuna zile madhabahu ya Kimila, kiserikali au kidini. Ili Agano litimie pia linahitaji Kiapo au Ukiri (Wenza wawili wakiri) na lazima agano lifungwe kwa kutamkwa na yule anayewaingiza kwenye agano(Wafungisha ndoa).

Sasa kwanini kanisani? Sababu madhabahu ya kimungu na agano linafungwa au kamilishwa katika Mamlaka ya Jina lenye nguvu na uweza la Yesu Kristo. Agano hilo halitavunjwa na mtu yoyote kiroho kwani kiapo kimefungwa katika Jina lenye uweza na Mamlaka kuliko kitu au nguvu yoyote ila japo kimwili mnaweza kuvunja na ndio maana ndoa za kikristo hazivunjiki.

Hivyo ndoa za kikristo ni lazima zifungwe kanisani.
madhabau ya kimila ikoje? Maana hii ndio madhabau halisi.
 
Hahaaaaa we jamaa una mbwembwe kweli na unawaokota huku JF japo umefanya makosa ya kuweka Jina na Utambulisho wako rasmi na watu wengi wanakujua nje ya JF.

Hivi ni mzazi gani au binti gani atakayekubali kuolewa na kupelekeshwa kama usemavyo, yaani unaoa na kuacha utakavyo. Hivi wazazi wa Binti Kimosso watakubaliana na hilo jambo? Acha mbwembwe dogo.
Hahah, kijana anaupiga mwingi JF na FB 😂😂
 
Back
Top Bottom