Ijue siri ya kumpata mke au mume mwema

Mr George Francis

Senior Member
Jun 27, 2022
186
212
[03/11, 12:18] Mr George Francis: IJUE SIRI YA KUPATA MKE/MUME MWEMA.

Ni raha na furaha sana kwa mtu kupata mke au mume mwema.

Lakini kwanza tujiulize,
¶Mke au mume mwema ni yupi.
¶Je wawezaje kumpata mke au mume mwema?

Soma hapa, kujifunza siri hii iliyojificha katika maandiko matakatifu.

Neno linasema,
"Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani."
MITHALI 31:10

Maandiko yametaja sifa mbalimbali za mke mwema. Baadhi ni kama zifuatazo,
• Kutenda mema
• Kufanya kazi kwa bidii
• Kusaidia wahitaji
• Msafi
• Mwenye furaha
• Mwenye kujali watoto na mume wake
• Mwenye kumcha Mungu.
Soma = MITHALI 31:10-31

Mke mwema anapaswa kuwa na kiasi, kuwa safi, mwenye kutimiza vyema majukumu ya nyumbani, mwema, na mwenye kumtii mume wake.
Soma= TITO 2:5

Mwanaume ni kichwa au kiongozi wa familia.
Neno linasema,
"Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe.."
WAEFESO 5:23

Hivyo, mume mwema ni yule mwenye sifa za kiongozi bora.
Sifa hizo ni kama zifuatazo,
• Mwenye kiasi na busara
• Si mtu wa kuzoea ulevi
• Si mpiga watu
• Awe mplole
• Mwenye kusimamia nyumba yake vyema
• Ajuaye kutiisha watoto katika usahivu
TIMOTHEO 3:2-5

Sifa kuu ya mume mwema kwa mke wake ni UPENDO na sifa kuu ya mke mwema kwa mume wake ni UTII.

Neno linasema,
"Ninyi wake, WATIINI waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana.
Ninyi waume, WAPENDENI wake zenu msiwe na uchungu nao."
WAKOLOSAI 3:18-19 &
WAEFESO 5:22&25

Kila mtu anapenda kupata mke au mume mwema.

Ukipata mume au mke sahihi umeyapatia maisha na utakuwa umeishi katika kusudi la Mungu.
Lakini ukikosea mke au mume wa kuoana naye umeyakosea maisha.

Neno linasema,
"Apataye mke mwema apata kitu chema; naye ajipatia kibali kwa Bwana."
MITHALI 18:22

Baada ya kufahamu sifa za mke au mume mwema, unaweza ukajiuliza
¶ Je nawezaje kupata mke au mume mwema?

¶Je, ni sifa ipi/zipi unazoziangalia katika kutafuta mke au mume mwema.?

Baada ya kufahamu sifa za mke au mume mwema, sasa tukaangalie NAMNA TUNAVYOWEZA KUMPATA MKE AU MUME MWEMA.

Neno la Mungu linasema,
"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye, bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana."
MITHALI 19:14

Busara itawasaidia katika kutatua changamoto zinazoweza kujitokeza katika maisha yenu ya ndoa.
Neno linasema,
"Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi."
MITHALI 2:11

Hakuna mzazi awezaye kumpa mwanae mke au mume mwema.

Mke au mume mwema mtu hupewa na Mungu.

Swali Je, kivipi? au
Ni kwa namna ipi mtu hupewa mke au mume mwema?

Mungu katika uumbaji wa binadamu aliumba mtu mume, yaani ADAMU na mtu mke, yaani EVA.

Lakini kwa namna ya mwili ADAMU alianza kuumbwa kabla ya EVA.

Neno la linasema,
"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba."
MWANZO 1:27

Kisha andiko linatueleza tena kuwa,
"Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu."
MWANZO 2:21-22

Kumbe kabla ya mtu kufikia umri wa kuoa au kuolewa, teyari Mungu alishampa kila mtu EVA wake au ADAMU wake.

Kilichobaki ni wewe na EVA au ADAMU wako kukutana na kuishi pamoja hadi kifo kitakapowatenganisha.

Neno linasema,
"Kwahiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
MWANZO 2: 24

Yawezekana mahusiano au ndoa yako inakusumbua, kwasababu bado hujakutana na mke au mume aliyeumbwa kwaajili yako. Ondoka mahali hapo haraka.

Neno linasema,
"Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, kuliko kukaa katika nyumba na mwanamke mgomvi."
MITHALI 25:24

Ukishaitambua siri hii, rudi katika maombi. Mwombe Mungu akusaidie ukutane na mume au mke mwema aliyeumbwa katika ulimwengu wa roho kwaajili yako.

Na ukimpata, mtunze kwani hiyo ni zawadi kutoka kwa Bwana.
Neno linasema,
"Mwanamke mwema ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake."
MITHALI 12:4

Maombi yangu siku hii ya leo, Mungu amsaidie kila mmoja wetu akutane na mume/mke aliyeumbwa kwaajili yake.

Prepared By
Mr George Francis
Contact: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com

EXTREME KNOWLEDGE ORGANIZATION
 
Attachments

  • IMG-20231103-WA0014.jpg
    IMG-20231103-WA0014.jpg
    67.9 KB · Views: 12
Anza kuwa mwema kwanza wewe, ukitaka mke mwema anza kuwa mume mwema ujae kuanzia kitabia n.k, hivyo hivyo kwa wanawake ukitaka mume mwema anza kwanza wewe kuwa mwema, Unakuta mtu anatafuta mke/mme mwema hali ya kuwa ye mwenyewe muhuni, malaya, mlevi muongo, mchafu n.k....

Na wale wanawake wanaopenda pesa hakikisha unatafuta kwanza za kwako, unataka mwanaume ana Range Rover wakati hata Premio huna.
 
JOIN 👇

EXTREME KNOWLEDGE ORGANIZATION
Awe mwema ili iweje. acha kujidanganya. wewe oa tu
hakuna mwanamke mwema wala nini. kwanza wema upi unaongelea
Mwema Ni MUNGU TU
 
Anza kuwa mwema kwanza wewe, ukitaka mke mwema anza kuwa mume mwema ujae kuanzia kitabia n.k, hivyo hivyo kwa wanawake ukitaka mume mwema anza kwanza wewe kuwa mwema, Unakuta mtu anatafuta mke/mme mwema hali ya kuwa ye mwenyewe muhuni, malaya, mlevi muongo, mchafu n.k....

Na wale wanawake wanaopenda pesa hakikisha unatafuta kwanza za kwako, unataka mwanaume ana Range Rover wakati hata Premio huna.
Umenena vyema kiongozi wangu. Mungu akubariki sana.
 
[03/11, 12:18] Mr George Francis: IJUE SIRI YA KUPATA MKE/MUME MWEMA.

Ni raha na furaha sana kwa mtu kupata mke au mume mwema.

Lakini kwanza tujiulize,
¶Mke au mume mwema ni yupi.
¶Je wawezaje kumpata mke au mume mwema?

Soma hapa, kujifunza siri hii iliyojificha katika maandiko matakatifu.

Neno linasema,
"Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani."
MITHALI 31:10

Maandiko yametaja sifa mbalimbali za mke mwema. Baadhi ni kama zifuatazo,
• Kutenda mema
• Kufanya kazi kwa bidii
• Kusaidia wahitaji
• Msafi
• Mwenye furaha
• Mwenye kujali watoto na mume wake
• Mwenye kumcha Mungu.
Soma = MITHALI 31:10-31

Mke mwema anapaswa kuwa na kiasi, kuwa safi, mwenye kutimiza vyema majukumu ya nyumbani, mwema, na mwenye kumtii mume wake.
Soma= TITO 2:5

Mwanaume ni kichwa au kiongozi wa familia.
Neno linasema,
"Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe.."
WAEFESO 5:23

Hivyo, mume mwema ni yule mwenye sifa za kiongozi bora.
Sifa hizo ni kama zifuatazo,
• Mwenye kiasi na busara
• Si mtu wa kuzoea ulevi
• Si mpiga watu
• Awe mplole
• Mwenye kusimamia nyumba yake vyema
• Ajuaye kutiisha watoto katika usahivu
TIMOTHEO 3:2-5

Sifa kuu ya mume mwema kwa mke wake ni UPENDO na sifa kuu ya mke mwema kwa mume wake ni UTII.

Neno linasema,
"Ninyi wake, WATIINI waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana.
Ninyi waume, WAPENDENI wake zenu msiwe na uchungu nao."
WAKOLOSAI 3:18-19 &
WAEFESO 5:22&25

Kila mtu anapenda kupata mke au mume mwema.

Ukipata mume au mke sahihi umeyapatia maisha na utakuwa umeishi katika kusudi la Mungu.
Lakini ukikosea mke au mume wa kuoana naye umeyakosea maisha.

Neno linasema,
"Apataye mke mwema apata kitu chema; naye ajipatia kibali kwa Bwana."
MITHALI 18:22

Baada ya kufahamu sifa za mke au mume mwema, unaweza ukajiuliza
¶ Je nawezaje kupata mke au mume mwema?

¶Je, ni sifa ipi/zipi unazoziangalia katika kutafuta mke au mume mwema.?

Baada ya kufahamu sifa za mke au mume mwema, sasa tukaangalie NAMNA TUNAVYOWEZA KUMPATA MKE AU MUME MWEMA.

Neno la Mungu linasema,
"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye, bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana."
MITHALI 19:14

Busara itawasaidia katika kutatua changamoto zinazoweza kujitokeza katika maisha yenu ya ndoa.
Neno linasema,
"Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi."
MITHALI 2:11

Hakuna mzazi awezaye kumpa mwanae mke au mume mwema.

Mke au mume mwema mtu hupewa na Mungu.

Swali Je, kivipi? au
Ni kwa namna ipi mtu hupewa mke au mume mwema?

Mungu katika uumbaji wa binadamu aliumba mtu mume, yaani ADAMU na mtu mke, yaani EVA.

Lakini kwa namna ya mwili ADAMU alianza kuumbwa kabla ya EVA.

Neno la linasema,
"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba."
MWANZO 1:27

Kisha andiko linatueleza tena kuwa,
"Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu."
MWANZO 2:21-22

Kumbe kabla ya mtu kufikia umri wa kuoa au kuolewa, teyari Mungu alishampa kila mtu EVA wake au ADAMU wake.

Kilichobaki ni wewe na EVA au ADAMU wako kukutana na kuishi pamoja hadi kifo kitakapowatenganisha.

Neno linasema,
"Kwahiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
MWANZO 2: 24

Yawezekana mahusiano au ndoa yako inakusumbua, kwasababu bado hujakutana na mke au mume aliyeumbwa kwaajili yako. Ondoka mahali hapo haraka.

Neno linasema,
"Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, kuliko kukaa katika nyumba na mwanamke mgomvi."
MITHALI 25:24

Ukishaitambua siri hii, rudi katika maombi. Mwombe Mungu akusaidie ukutane na mume au mke mwema aliyeumbwa katika ulimwengu wa roho kwaajili yako.

Na ukimpata, mtunze kwani hiyo ni zawadi kutoka kwa Bwana.
Neno linasema,
"Mwanamke mwema ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake."
MITHALI 12:4

Maombi yangu siku hii ya leo, Mungu amsaidie kila mmoja wetu akutane na mume/mke aliyeumbwa kwaajili yake.

Prepared By
Mr George Francis
Contact: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com

EXTREME KNOWLEDGE ORGANIZATION
embu samarize kwenye paragraph moja kwanza tuone vizuri
 
Andiko zuri sana kwa ufahamu wa watu wote hata sisi wakataa ndoa inafaa kwa matumizi ya minyanduo
 
Somo zuri katika kipindi na nyakati nzuri.......jambo lolote lazima uwe na mipango madhubuti Ili kuweza kulipata na kulifanya kwa ufasaha, hivyo elimu uliyotupatia ikitumika katika misingi mizuri matokeo huwa bora kwa msaada wa Bwana
 
barikiwa sana kwa somo zuri sana Mungu akutunze
 
Back
Top Bottom