Sipendi wanaohalalisha Infidelity

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Recently kumezuka tabia ya kuhalalisha sana kutoka na waume za watu au wake za watu. Tena bila aibu majigambo ya hao wagombea wenza ni kama, aah, yule anajuta kuoana na yule mwanamke/mwanaume, au hampendi basi tu kwa kuwa ni ndoa. au kwa mkewe/mumewe haridhishwi, au anaishi nae tu kwa ajili ya watoto, na mengine mengi mwaweza kuongeza. Lakini cha kunishangaza mie ni kwamba, inakuwaje mume wa mtu anakuja na kukwambia simpendi mke wangu ila wewe, na binti unaamini kabisa wakati kumuacha mkewe hamuachi ila anafanya kwa kificho? the same kwa wanawake wanaocheat kwa kisingizio simpendi mume wangu wakati unaishi nae kila siku. Mi nadhani ifike mahali tuukubali ukweli kwamba mke/mume wa mtu ndie the first one no matter what, hata ukiwa unatoka naye ujue ana familia na ukweli ulio wazi ni kwamba kwa nyumba ndogo anachofata ni 20% na 80% ziko kwa nyumba kubwa. Na mara zote ni wachache sana wanaokubali kuacha 80% na kufata 20%. So ukiwa unatoka na mume au mke wa tu ujijue we ni mshka pembe so no need to boost. au kwa ufupi kipoozeo. Tafakari na chukua hatua.
 
Infidelity is relative, tuache uzungu, tutukuze Uafrika, Mume mmoja, mke mmoja ni uzungu. Waafrika mume mmoja wake wengi, ndio maana wengi wana mke mmoja kutimizwa matakwa ya kizungu na dini zao, halafu wana vimada kadhaa.
Inapotokea kwa mke kwenda nje, hiyo ni issue nyingine kabisa ila the bottom line ni aliyenaye ama anashindwa kumtimizia, hivyo anatoka nje ili kupunguza nakisi, ama anashindwa kumtosheleza, hivyo anatoka nje ili atosheke.
Issue sio kuhalalisha, bali society inakuwa too open.
 
mmmmh am puzzled!! mkuu hata wewe???? sihukumu .... najaribu tu kufikiria kama unamaanisha ulicho bandika!!
 
natamani wanawake wote tungekua na akili ya kuelewa hayo! cha mwenzio si chako na mume/mke wa mtu si riziki, subiri upate wako! yani hakuna topic ilonitia hasiara kama ile "natoka na mumeo............"
 
Infidelity ipo na itazidi kuwepo, iwe halali au haramu.
 
Infidelity is relative, tuache uzungu, tutukuze Uafrika, Mume mmoja, mke mmoja ni uzungu. Waafrika mume mmoja wake wengi, ndio maana wengi wana mke mmoja kutimizwa matakwa ya kizungu na dini zao, halafu wana vimada kadhaa.
Inapotokea kwa mke kwenda nje, hiyo ni issue nyingine kabisa ila the bottom line ni aliyenaye ama anashindwa kumtimizia, hivyo anatoka nje ili kupunguza nakisi, ama anashindwa kumtosheleza, hivyo anatoka nje ili atosheke.
Issue sio kuhalalisha, bali society inakuwa too open.
are u s/he? huko kusema mume mmoja wake wengi ndo maana tunaendelea kulea umaskini, mtu hata tumbo lake hawezi kulisha alafu anaoa wake zaidi ya 1 si tamaa na ulimbukeni?
 
natamani wanawake wote tungekua na akili ya kuelewa hayo! cha mwenzio si chako na mume/mke wa mtu si riziki, subiri upate wako! yani hakuna topic ilonitia hasiara kama ile "natoka na mumeo............"
ha ha ha Da Sophy alikuja na lake rohoni kalimwaga katimka!!
 
Imeandikwa.... itafika kipindi patakuwa hapatoshi! Kama restaurant vile ..... wote mnaagiza baada ya kuipitia menu. Mnachagua weee...hadi unaridhika hiki ndicho.Mnapoletewa mezani, mnaanza kutamani vya wenzenu kwa vile vinaonekana vitamu au vinavutia zaidi.
Kaaazi kweli kweli!
 
inakuwaje mume wa mtu anakuja na kukwambia simpendi mke wangu ila wewe,.

Wanawake huwa mnadanganyika padogo sana, any way mwanamke mjinga huwa anaibomoa ndoa yake mwenyewe,
Huyo mwanaume amekufuata anakwambia hivyo kwa nn usimjibu kuwa kwa nn asimwache huyo mke wake? Hapo hapo akisha timiza lake analo litafuta utaona fasta huyo karudi nyumbani kwa mwanamke ambae anasema hamtaki.
 
Recently kumezuka tabia ya kuhalalisha sana kutoka na waume za watu au wake za watu. ..... Mi nadhani ifike mahali tuukubali ukweli kwamba mke/mume wa mtu ndie the first one no matter what, hata ukiwa unatoka naye ujue ana familia na ukweli ulio wazi ni kwamba kwa nyumba ndogo anachofata ni 20% na 80% ziko kwa nyumba kubwa. Na mara zote ni wachache sana wanaokubali kuacha 80% na kufata 20%. So ukiwa unatoka na mume au mke wa tu ujijue we ni mshka pembe so no need to boost. au kwa ufupi kipoozeo. Tafakari na chukua hatua.

carmel,

mambo vipi?

Unaandika kama vile una-send meseji kwa mtu fulani in particular!

Anyways, wakati mwingine 10% (leave alone 20%) has got a lot to do with mahusiano ya mke/mme
 
Wanawake huwa mnadanganyika padogo sana, any way mwanamke mjinga huwa anaibomoa ndoa yake mwenyewe,
Huyo mwanaume amekufuata anakwambia hivyo kwa nn usimjibu kuwa kwa nn asimwache huyo mke wake? Hapo hapo akisha timiza lake analo litafuta utaona fasta huyo karudi nyumbani kwa mwanamke ambae anasema hamtaki.
ha ha ha komrade nimedu the nidful kakague!!
 
Hahahaha unajua komredi wanawake huwa wanajichanganya wenyewe kwa wanaume waroho huku na huku anajikuta yupo bed na jamaa.

kweli hommie ila ukweli unabaki kua ni hulka tu za kujiendekeza....mi haya ya kua mume/mke hanitimizii ni asilimia chache sana nyingi ilioibaki ni fashion tu.....nasie wala hatuna tabu mama manka atabaki kua mama manka tuu hoa kina da Sophy ni kumega tu!!
 
mhhh...
 
Hahahaha komredi bana,
Mke na mme wa mtu ni sumu lakini vp je ambao hawajaoa wala kuolewa?
 
Back
Top Bottom