Sipendi wanaohalalisha Infidelity

Carmel ninaungana nawe kuwa watu wamezoea kuogelea katika dimbwi la tope basi wanaona haina haja kwao kuwa wasafi siku moja! Ni mtazamo hatarishi kwa kuwa ndio huo tutakorithisha wanetu tusiposimama kukemea! Usichoke; Kemea uovu popote pale! it is your responsibility.

NB nimetuma ujumbe kwako hukuupata?

Lakini kwa wale waliozitazama takwimu nilizozitoa kutoka jamii ya wamarekani (ambao sidhani kama kuna ubishi ndio jamii modeli kwa wanadunia wote na sote tunaiga wao) utaona kuwa generally waasi ndoa (cheaters) ni minority na wala sio majority. Why are treating the minority with special interest?

I thought Carmel when raising her first issue thought (and rightly thought) it was possible for this minority group to be reformed and put back into the righteous group but akasahau kuwa in a Capitalist society its the minority which has the power and convinction to rule the majority. So mama Carmel just know in this argument you will lose because you are dealing with a minority group that is very stroooong and wont accept good reasoning even if they see one.

So i assure you there are pure people (about 80%) who dont cheat and so preaching to them will surely change them.
 
wwe unacheat au ulishawahi kucheat Caren? hadi sasa sijaujua msimamo wako. pls do the needful.
 
quote_icon.png
Originally Posted by Pasco
Mume mmoja, mke mmoja ni uzungu. Waafrika mume mmoja wake wengi, ...
...
The Following 3 Users Say Thank You to Pasco For This Useful Post:

De Novo (Yesterday), Kaizer (Today), The Boss (Yesterday)

yes, we (I ) said it mkulu sinkala...thats it lol!
 
Hata kama wanawake/kina dada wanajua fika kwamba mume wa mtu anafuata pale kwake 20% or below, as long as wanawekwa mjini (kulipiwa nyumba, gari, all the bills, vochas, dinners, lunch and all that etc) wao hawajari, wapo happy tu.

Kina baba/kaka sasa ni wakati wa kuchukua hatua. Let alone UKIMWI, kama unafanya cheating, ujue unaibiwa saaana tu. Anayekupenda kwa dhati ni mkeo uliyemuacha home, wengine wooooooooote wapo kibiasshara zaidi. Shauri zenu
 
tell them, na wakiishiwa wanamwagwa, wanarudi kwa wake zao kichwa chini kama wameny6eshewa.
 
na mwanaume yoyote anaempenda na kumuheshimu mkewe atafanya juu chini huu upuuzi usijuulikane, atatumia akili zake zote za kuzaliwa...ni kuomba mungu tu, mie ckanii nafc ya mtu kabisa.

Nyamayao hapo umeongea.... naogopa kufikiria siku mtu mwenye mtazamo wa Carmel akigundua..... hata mimi siusemei moyo wa mtu.....
 
wwe unacheat au ulishawahi kucheat Caren? hadi sasa sijaujua msimamo wako. pls do the needful.

Hahaaa Dada Carmel unataka mtoa takwimu naye ajiingize katika mada? Unamuulizaje Edward Hosea wa TAKUKURU eti katika list ya watoa rushwa nawe umo? Jibu lazima liwe biased.

But trust me sijawahi kuwa na infidelity toka niingie katika hiki kiapo. I am sure during my times at college i had my fair share of sex & infidelities but then i got married to this lovely person who was my best friend aliyewajua maex gals wangu wote nikaacha yote na kumgeukia yeye (By the way u should also set a question whether its good to marry ur best friend).

Nilipofall in love for the 1st time nikajikuta namwaga chini ukweli wote kuhusu my past na all techniques nilizokuwa natumia kupata wenzi wa kulala nao. So my partner for life knows me inside out & searches my phones day in day out for any indication if i have returned to the old games and she finds nothing.

Kiukweli kabisa nimestaafu na yeye anajua. Nimeachana na marafiki zangu kipenzi kwa sababu najua wao ni vishawishi wakubwa wa mimi kurudi kwenye game. Nimehakikisha maex wangu wote wanaingia kwenye ndoa na mimi nafahamika kwa partners wao kuwa nilikuwa mdau ili niwekewe karantini ya mazoea ya zamani.

Carmel you really want to know how i now deal with the urge to have sex? I make love to my partner all the time. When my partner isnt in the mood i stay awake at night and fantasize that i make love to my partner (luckily my partner sleeps naked so its easy for me to fantasize).

n you know the expression dreams can come true? Baada ya mazoezi ya muda mrefu my fantaises siku hizi zimezaa matunda because they are now orgasmic. N the good thing after that my partner naye amepata hamu ya ghafla ya kunitaka mimi kila wakati.

So the bottom line: Why cheat while you get your fair share in your own lovely bed either physically or mentally?

Mmmh nilivyojieleza? Mpaka najishangaa. But siku moja nitakuja kufunza wadada wenzangu how to fantasize because i am sure wote mnahitaji hii kitu na kwenda kufanya yoga kwa wahindi mnaogopa.
 
Kinachotakiwa ni kuwa na fikra hai na wala si kuzibeba zilizo maiti na kujilawaza kwa kusema eti "Mtu lazima tu utoke nje, kidumu ni muhimu maana ndoo iliyoko kichwani yaweza kumwaga maji na kidumu kilichoko mkononi kikabaki na maji!"
Kauli hii itakuwa sahihi siku zote kwa mpotea njia.
Jamanii tubadilike.
 
Caren! ubarikiwe!

You are so lucky ! wengine wetu tulizibwa na utandu hata hivyo cheating ziliweza kusaidia kurudisha status za ndoa za wengine wetu!
 
Hahaaa Dada Carmel unataka mtoa takwimu naye ajiingize katika mada? Unamuulizaje Edward Hosea wa TAKUKURU eti katika list ya watoa rushwa nawe umo? Jibu lazima liwe biased.

But trust me sijawahi kuwa na infidelity toka niingie katika hiki kiapo. I am sure during my times at college i had my fair share of sex & infidelities but then i got married to this lovely person who was my best friend aliyewajua maex gals wangu wote nikaacha yote na kumgeukia yeye (By the way u should also set a question whether its good to marry ur best friend).

Nilipofall in love for the 1st time nikajikuta namwaga chini ukweli wote kuhusu my past na all techniques nilizokuwa natumia kupata wenzi wa kulala nao. So my partner for life knows me inside out & searches my phones day in day out for any indication if i have returned to the old games and she finds nothing.

Kiukweli kabisa nimestaafu na yeye anajua. Nimeachana na marafiki zangu kipenzi kwa sababu najua wao ni vishawishi wakubwa wa mimi kurudi kwenye game. Nimehakikisha maex wangu wote wanaingia kwenye ndoa na mimi nafahamika kwa partners wao kuwa nilikuwa mdau ili niwekewe karantini ya mazoea ya zamani.

Carmel you really want to know how i now deal with the urge to have sex? I make love to my partner all the time. When my partner isnt in the mood i stay awake at night and fantasize that i make love to my partner (luckily my partner sleeps naked so its easy for me to fantasize).

n you know the expression dreams can come true? Baada ya mazoezi ya muda mrefu my fantaises siku hizi zimezaa matunda because they are now orgasmic. N the good thing after that my partner naye amepata hamu ya ghafla ya kunitaka mimi kila wakati.

So the bottom line: Why cheat while you get your fair share in your own lovely bed either physically or mentally?

Mmmh nilivyojieleza? Mpaka najishangaa. But siku moja nitakuja kufunza wadada wenzangu how to fantasize because i am sure wote mnahitaji hii kitu na kwenda kufanya yoga kwa wahindi mnaogopa.

cjakuelewa kabisa...
 
Back
Top Bottom