kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,327
- 522
Wanajamvi naomba kuelimishwa kuhusu simu yenye kasi kwenye INTERNET. Pale kwenye maelezo ya simu(specification) nizingatie kipi kati ya hivi; SPEED,CPU,SENSOR,2G,3G,4G,GPRS, au kuna namna nyingine ya kuzitambua lakini sijui kutumia SCREENTOUCH. Naomba kuwasilisha mheshimiwa speaker!