Simu yenye kasi kwenye internet

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,327
521
Wanajamvi naomba kuelimishwa kuhusu simu yenye kasi kwenye INTERNET. Pale kwenye maelezo ya simu(specification) nizingatie kipi kati ya hivi; SPEED,CPU,SENSOR,2G,3G,4G,GPRS, au kuna namna nyingine ya kuzitambua lakini sijui kutumia SCREENTOUCH. Naomba kuwasilisha mheshimiwa speaker!
 
speed ya internet kwa tanzania angalia 3g inatosha maana internet yetu haijawa ya speed hata useme ununue simu ya 21mbps haitasaidia

Kama hutaki simu ya screentouch chukua nokia e6 ina touch na keyboard kiasi unajifunza tumia touch huku zipo button.
 
Angalia 3G(kibongobongo) pia kumbuka kua na mitandao ya simu inachangia kasi ya internet.
 
Kinachofanya simu iwe na ksi ya internet ni technology ya kampuni ya simu hata ukiwa na simu ya 4G haisaidii kwa tz coz tuna 3G tu tena kwa sehemu za mijini tu kwa vijijini ni GPRS/EDGE tu!!! Kwahyo kwa sasa kamata simu ya 3G......ila nunua BB kwasababu ukinunua Nokia na ukaweka 3G hela inatumika sana inaweza kwa siku ukawa unatumia zaidi ya buku jero ambayo kwa mwezi 45 lkn ukitumia BB that means kwa mwezi watumia not more than 20000/=
 
Yap umeeleza vizuri, ila suala la matumizi nijuu ya mtumiaji na kifaa ama kampuni apendayo, tumuachie mwenyewe, pia anaweza weka kifurushi cha mwezi ambacho ni Tsh.30,000
 
Kinachofanya simu iwe na ksi ya internet ni technology ya kampuni ya simu hata ukiwa na simu ya 4G haisaidii kwa tz coz tuna 3G tu tena kwa sehemu za mijini tu kwa vijijini ni GPRS/EDGE tu!!! Kwahyo kwa sasa kamata simu ya 3G......ila nunua BB kwasababu ukinunua Nokia na ukaweka 3G hela inatumika sana inaweza kwa siku ukawa unatumia zaidi ya buku jero ambayo kwa mwezi 45 lkn ukitumia BB that means kwa mwezi watumia not more than 20000/=
bro ebu nieleweshe hapa....BB ndo nin???
 
3G au (third generation) ni mawasiliano ya kizazi cha tatu while 2G or GPRS ni kizazi cha pili ila siku hizi kuna 4G ila bongo hawana mitambo ya 4G.kila aina ya mawasiliano hapo juu yanatofautiana ktk speed

GPRS inasoma 35kbps mpaka 3.4mbps.

3G inasoma 3.5mbps kwenda juu.

4G inasoma mpaka 21mbps na kwenda juu.

So simu zinaweza kuwa zote GPRS ila zikatofautiana spidi,thats why chinese na original zipo tofauti ktk spidi za internet.Any Q?
 
speed ya internet kwa tanzania angalia 3g inatosha maana internet yetu haijawa ya speed hata useme ununue simu ya 21mbps haitasaidia

Kama hutaki simu ya screentouch chukua nokia e6 ina touch na keyboard kiasi unajifunza tumia touch huku zipo button.

kidogo nishangae makwawa atoe ushauri wa simu zaidi ya nokia ingekuwa maajabu..
 
Kinachofanya simu iwe na ksi ya internet ni technology ya kampuni ya simu hata ukiwa na simu ya 4G haisaidii kwa tz coz tuna 3G tu tena kwa sehemu za mijini tu kwa vijijini ni GPRS/EDGE tu!!! Kwahyo kwa sasa kamata simu ya 3G......ila nunua BB kwasababu ukinunua Nokia na ukaweka 3G hela inatumika sana inaweza kwa siku ukawa unatumia zaidi ya buku jero ambayo kwa mwezi 45 lkn ukitumia BB that means kwa mwezi watumia not more than 20000/=

Nashukuru sana mkuu kwa elimu. Kwa sasa hivi natumia Nokia E5-00
 
speed ya internet kwa tanzania angalia 3g inatosha maana internet yetu haijawa ya speed hata useme ununue simu ya 21mbps haitasaidia

Kama hutaki simu ya screentouch chukua nokia e6 ina touch na keyboard kiasi unajifunza tumia touch huku zipo button.

Nitajitahidi siku ya kuhitaji simu nyingine nijaribu hiyo. Kwa kweli na mimi napenda sana Nokia.
 
3G au (third generation) ni mawasiliano ya kizazi cha tatu while 2G or GPRS ni kizazi cha pili ila siku hizi kuna 4G ila bongo hawana mitambo ya 4G.kila aina ya mawasiliano hapo juu yanatofautiana ktk speed

GPRS inasoma 35kbps mpaka 3.4mbps.

3G inasoma 3.5mbps kwenda juu.

4G inasoma mpaka 21mbps na kwenda juu.

So simu zinaweza kuwa zote GPRS ila zikatofautiana spidi,thats why chinese na original zipo tofauti ktk spidi za internet.Any Q?

Aksante mkuu kwa leo sina swali.
 
3G ndio kiboko kwa watanzania but huwa nazo zinaspeed tofauti kufuatana na mitandao eg airtel now wanatoa 3.5G but ubaya inakaa inakatakata angalau kidogo kwa voda inakamata mpaka HSPDA ... ON MY ideos (android os)speed iko poa but tafuta simu yoyte inayosoma walau 3G
 
Back
Top Bottom