Simu yenye kasi kwenye internet

Kila mtu atavutia kwake kwani mm naamini BlackBerry ndio ina kasi zaidi, na hata ukifika porini au sehemu hakuna minara ya mawasiliano ya simu za Kampuni zetu hapa Bongo, B/B wao wapo hewani tu kwani wanatumia Satelite,
Tofauti yao ni kuwa huwezi kuweka vocha za makampuni ya simu na ukapata Internet hata kwa kuchakachua (eti unaweka 450/= unapata facebook BB huwezi)
na ni kweli 3G refers to the third generation of developments in wireless technology, especially mobile communications.
Touch Screen umeshaeleza hapo juu siku hizi simu nyingi km Nokia, Sumsung, Google zipo za kugusa screen
 
Ingawa sijatumia BB kwenye Internet ila nafikiri speed inategemeana na aina ya simu mfano mie nina Nokia N900 inatumia hasa 3.5G ina uwezo mkubwa sana wa kudownload kwa spidi. Vile vile ina os ya Maemo na Android ICS. Nadhani kujua ipi ina spidi ni bora kuangalia aina zingine za simu pia.
 
Kila mtu atavutia kwake kwani mm naamini BlackBerry ndio ina kasi zaidi, na hata ukifika porini au sehemu hakuna minara ya mawasiliano ya simu za Kampuni zetu hapa Bongo, B/B wao wapo hewani tu kwani wanatumia Satelite,
Tofauti yao ni kuwa huwezi kuweka vocha za makampuni ya simu na ukapata Internet hata kwa kuchakachua (eti unaweka 450/= unapata facebook BB huwezi)
na ni kweli 3G refers to the third generation of developments in wireless technology, especially mobile communications.
Touch Screen umeshaeleza hapo juu siku hizi simu nyingi km Nokia, Sumsung, Google zipo za kugusa screen

Ila kaka bb ni simu ya kuchat tu hazijatengenezwa ili uifaidi sana internet mi nashangaa why hadi leo hawana front camera ya kufanya video call.

Na kama inatumia satelite bb ingekua hakuna haja ya kuweka line za tigo. Voda na airtel ingekua inajitegemea yenyewe kama thuraya
 
Nokia sasa ndio wanaharibu ... niliwapenda zamani lakini inaonekana hizi samsung,sony etc zimeanza kuipundua nokia nilianza kuwachukia toka waanze kutoa c series walijitahidi sana enzi za N SERIES DAH hapo niliwanyoshea kidole whatever u do brah click ESC to buy nokia product asa hizi asha zenye symbiab os ambazo vodawananadi ...... buy it /// but dah mi naona zinafaa mwanamke coz its good for chatting only.... je wanaaiga bbm..oops
 
Kila mtu atavutia kwake kwani mm naamini BlackBerry ndio ina kasi zaidi, na hata ukifika porini au sehemu hakuna minara ya mawasiliano ya simu za Kampuni zetu hapa Bongo, B/B wao wapo hewani tu kwani wanatumia Satelite,
Tofauti yao ni kuwa huwezi kuweka vocha za makampuni ya simu na ukapata Internet hata kwa kuchakachua (eti unaweka 450/= unapata facebook BB huwezi)
na ni kweli 3G refers to the third generation of developments in wireless technology, especially mobile communications.
Touch Screen umeshaeleza hapo juu siku hizi simu nyingi km Nokia, Sumsung, Google zipo za kugusa screen

mkuu ndo unadanganywa hvyo.... Nan kakwambia inatumia satelite,.. Then hawa ndo unakuta anatumia blackbery 8520 af anaona kama ana bonge la simu... Simu haina hata 3g... Af mnadanganywa na bei za kibongo... Nme check duka moja wanaiuza bei kuliko noka 6120 c ila ukichek kwenye mtandao unaambiwa nokia 6120 c ndo bei kuliko bb 8520 ..... Watu bado mna shikwa na maneno... Mtu unakuta anasema sony ericson ina kas kuliko nokia.. Kumbe kafananisha xperia na nokia 2700.... Chukua nokia lumia ndo uipambanishe na xperia
 
Nokia sasa ndio wanaharibu ... niliwapenda zamani lakini inaonekana hizi samsung,sony etc zimeanza kuipundua nokia nilianza kuwachukia toka waanze kutoa c series walijitahidi sana enzi za N SERIES DAH hapo niliwanyoshea kidole whatever u do brah click ESC to buy nokia product asa hizi asha zenye symbiab os ambazo vodawananadi ...... buy it /// but dah mi naona zinafaa mwanamke coz its good for chatting only.... je wanaaiga bbm..oops

Usifananishe simu ambazo hazina hadhi moja hizo samsung galaxy na sony ericson xperia hazifananishiki na c series wala asha series maana ni level tofauti.

Asha series ni simu zisizofika laki 2 na zimetengenezwa kwa matumizi madogo madogo na hizo galaxy na xperia ni simu za zaidi ya laki 4 ambazo ni modern smartphone zenye technologia ya kisasa.

Kama utataka fananisha nokia na samsung better tafuta worthy mobile kama lumia 900, nokia 808 na n9.

Kumbuka pia dont under estimate asha series japo ni java na za bei rahisi ila now ina application karibia zote za blackberry na imezinduliwa na app 25,000
 
tafuta sonyericson experia toleo lolote zpo vizuri kwnye iternet,kuhusu speed inadepend bt mimi huwa napenda kutumia airtel,sio sababu ya unafuu tu ila hata upatikanaji wa 3G ni mkubwa katika mikoa mingi ukilinganisha na voda au tigo,also wana 3.75G.
 
Jamani ni kweli kabisa bb zinaendeshwa na satellite za kampuni iliyozitengenezwa inayoitwa RESEARCH IN MOTION(RIM)nchini canada .thats why zikapigwa marufuku huko bara arabu kwa tetesi zinavujisha siri.Na kuna kipindi fulani BB zote zilizimwa kwa muda mfupi nchini kenya cjui walikuwa wanataka kufanya nini.na hawa RIM wanaweza kuzuia BB zote zisifanye kazi.
 
yap... Mkuu ndomaana hata whatsapp ktk cmu znye uwezo mdogo na znachukua hyo app ni asha.,. Na x2... Au hata c3... Ila ukja samsung mpaka zle androids.., kwenye sony ericson za kawaida ndo ucseme
 
tafuta sonyericson experia toleo lolote zpo vizuri kwnye iternet,kuhusu speed inadepend bt mimi huwa napenda kutumia airtel,sio sababu ya unafuu tu ila hata upatikanaji wa 3G ni mkubwa katika mikoa mingi ukilinganisha na voda au tigo,also wana 3.75G.

kaka kwa mm naona voda ndo wana 3g mikoan kuliko airtell., airtel 3g ipo kwenye majiji tu
 
Jamani ni kweli kabisa bb zinaendeshwa na satellite za kampuni iliyozitengenezwa inayoitwa RESEARCH IN MOTION(RIM)nchini canada .thats why zikapigwa marufuku huko bara arabu kwa tetesi zinavujisha siri.Na kuna kipindi fulani BB zote zilizimwa kwa muda mfupi nchini kenya cjui walikuwa wanataka kufanya nini.na hawa RIM wanaweza kuzuia BB zote zisifanye kazi.

ha ha ha ha ha ha ha,.... Unajdanganya,.
 
Usifananishe simu ambazo hazina hadhi moja hizo samsung galaxy na sony ericson xperia hazifananishiki na c series wala asha series maana ni level tofauti.

Asha series ni simu zisizofika laki 2 na zimetengenezwa kwa matumizi madogo madogo na hizo galaxy na xperia ni simu za zaidi ya laki 4 ambazo ni modern smartphone zenye technologia ya kisasa.

Kama utataka fananisha nokia na samsung better tafuta worthy mobile kama lumia 900, nokia 808 na n9.

Kumbuka pia dont under estimate asha series japo ni java na za bei rahisi ila now ina application karibia zote za blackberry na imezinduliwa na app 25,000

Inshort nokia hawajawa stable na OS wanazotumia just y now days madeveloper wanaangaika kutemgeneza apps za cmu zao najua asha zipo hadi zipo zinazotumia windows 8 mobile but vp unaweza niambia now nokia wana OS ngapi zinazorun kwenye simu zao zipo kibao si chini ya tano ... so kwanin wanaama ama makampuni; ka si kushindwa ushindani eg VODA walileta hii touch screen yao vodafone 858 smart ilikua tsh 195,000 but nw zinapatikana kwa 150,000 os android 2.2 froyo.... sawa na ideos .... hafu fananisha na hii cmu ya asha imayouzwa karibia bei sawa na hyo cmu futures ndio utakubal mziki.... kwamba even if tukikompea product zao bado wako chini kwa sasa wameshuka sana si kama zamani mi naona simu ambazo zinapeta kwao by nw ni zile zenye os ya windows basiiii lumia 900,:::: lakini hizi symbian belle nizakutupia kapuniiii
 
Back
Top Bottom