Simu yenye kasi kwenye internet

Hakuna simu ninazozichukia kama BB, mpango mzima android smartfone au iPhone, BB z for ladies sio kwa watu wenye matumizi mengi kama sie
 
Hakuna simu ninazozichukia kama BB, mpango mzima android smartfone au iPhone, BB z for ladies sio kwa watu wenye matumizi mengi kama sie

dah.... Mkuu kwa kuongea ukweli ww ni namba 1... Bb 4 the ladies kiref chake ni beautiful babies
 
Inshort nokia hawajawa stable na OS wanazotumia just y now days madeveloper wanaangaika kutemgeneza apps za cmu zao najua asha zipo hadi zipo zinazotumia windows 8 mobile but vp unaweza niambia now nokia wana OS ngapi zinazorun kwenye simu zao zipo kibao si chini ya tano ... so kwanin wanaama ama makampuni; ka si kushindwa ushindani eg VODA walileta hii touch screen yao vodafone 858 smart ilikua tsh 195,000 but nw zinapatikana kwa 150,000 os android 2.2 froyo.... sawa na ideos .... hafu fananisha na hii cmu ya asha imayouzwa karibia bei sawa na hyo cmu futures ndio utakubal mziki.... kwamba even if tukikompea product zao bado wako chini kwa sasa wameshuka sana si kama zamani mi naona simu ambazo zinapeta kwao by nw ni zile zenye os ya windows basiiii lumia 900,:::: lakini hizi symbian belle nizakutupia kapuniiii

Mnhh nokia wana os 2 tu kaka symbian na hii mpya wp7 nikusahihishe asha ni java phone na window phone 8 haijatoka hadi oktoba mwaka huu.

Wewe nafkiri umechanganya kua belle ni os anna ni os s60v3 ni os laah mambo hayaendi hivo zote hizo ni symbian sema zinakua upgraded zilianza s60v1 ikaja s60v2, s60v3, symbian uiq, s60v5, symbian anna mpaka now symbian belle. Na hiki kitu hafany nokia tu wanafanya wote ios3 ikaja ios 4 now ipo 5 same to bb na android.

Unaposema belle ipo kapuni unajidanganya imeuza simu karibia million 6 up to now japo ni ndogo kwa ku compare na wengine lakini si idadi ya kubeza
 
af maego na maemo vp. .. Maana znanchanganya...
 
af maego na maemo vp. .. Maana znanchanganya...

Hii os ni ya nokia sawa its up to you kuieka kwenye list au usiieke ila imetolewa zaidi kwa ajili ya developers kuliko mtumiaji wa kawaida simu kama n900 n950 na n9 zipo limited sana
 
Back
Top Bottom