Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
We vp, unachukia mtu huna hata sababu!? Na hicho unachotamani! Mh! Katest ur brain
 
Hiyo "natamani kuvunja PC yangu" inanikumbusha mambo mawili:

1) "natamani na kujaribu siwezi".

2) Mtoto wa juzi '83 unatumia PC? Hata mie nna ki laptop na ki Tablet. Unanchekesha.

Ndio kwanza nafika nyumbani, natazama clouds, ngoja nimsikie Bi Kidude na Mohamed Elias, wanawahoji. Ntakuja ikiisha, usiondoke.

Jizee la umri wa dhahabu,

Huna hadhi wala adabu,

Unamaneno machafu kuliko babu,
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

utakuwa mchawi!
 
Kwakeli ni upungufu wa akili kama utamchukia mtu kisa anakinzana na mawazo yako. Nenda ukapimwe akili.
 
Kama humpendi FF kunywa sumu ufe.........kwanza ulimuumba hadi usimpende?? Vunja basi hiyo PC yako tuone! Mimi pia sikubaliani na mawazo yake lakini hainifanyi eti nimfungulie thread kwamba simpendi....!! kwanza kutofautiana mitazamo sio ugomvi, kama unafikiria hvyo basi rudi zuoni ukajpange upya. kwa taarifa yako asiyetuumba hawezi kutuumbua......so take ur time man n 4get about FF!!!
 
Nilidhani tumoJF kwa ajili ya kujadili chanagamoto za kimaisha kumbe wengine mmekuja kuchukia wenzenu...........!!!!!!!!!!!!!

Kamtafute Gea Habibu, Sakina wa Lyoka au Mishy Bomba uunge nao ushosti mkatafute la kufanya huko kwenye chachandu sijui sinia la leo.....humu weka mada watu tutumie bongo zetu kusaidiana kimawazo
:rant::rant:***~~~####...........!!!!!!!!!!!
 
Its simple,

Ukiona humpendi mtu, jua kuwa huyo mtu ni stronger than you.

Sio kosa la FaizaFoxy that you are weak.

Work to get stronger...

Nilikuwepo!
 
Sasa kama hujui kwanini humpendi unaanzisha thread ya nini sasa??

Watu wengine bana kujaza saver bila hata sababu za msingi sijui mkoje

Wewe kama hupendi michango na mabishano yake kuna option hapo

ya kuweka ignore list ili usione michango yake shida iko wapi tena???
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
Umenikiumbusha:
Kulikuwa kuna "komedi" show ya TV zamani nilipokuwa nje ya TZ. Inaitwa "non stop nonsense" inaudhi watu hakuna aipendae lakini ikifika time yake kila mtu anaifatilia.

Na wewe unajidai hunipendi lakini kama hunioni unantafuta. Leo hujaniona muda mrefu ukanifungulia nyuzi. Nakupenda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom