Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Huyo FaizaFoxy amekwambia amekuja hapa JF kupendwa? hapendwi mtu hapa zinapendwa hoja za nguvu tu. Katafute wa kupenda huko barabarani ukanywe nao chai.
 
" when they cant be you they will start hating you ....."



"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
FF, Silence is the answer for the FOOLS. Huna haja hata ya kujibu huu uzi ulioanzishwa. Pumzika tu Madame. Tuachie tutamjibu huyu mpuuzi, tuko Ngangari.
 
FF hana tatizo...
Jasiri sana huyu, mpaka sometimes nakuwa na wasiwasi watakuja kumtoa roho huyu...:lol::lol::lol:
 
Huwa nampenda sana FF akiwa na nationalistic arguments but I can't stand her when she does her udini arguments.
 
Umenikiumbusha:
Kulikuwa kuna "komedi" show ya TV zamani nilipokuwa nje ya TZ. Inaitwa "non stop nonsense" inaudhi watu hakuna aipendae lakini ikifika time yake kila mtu anaifatilia.

Na wewe unajidai hunipendi lakini kama hunioni unantafuta. Leo hujaniona muda mrefu ukanifungulia nyuzi. Nakupenda.

Hapo kwenye red naomba niambie hiyo nchi inayoruhusu watu kama wewe kuingia na kuishi....wewe kwako Tanzania nchi mnayoiendesha kama boya tena bila mipango....
 
nyie watu, ni vitu gani tena hivi,
mbona yanakuwa hivi tena,
kwani wataka nini kwa FF jamani.

Usione watu wanamchukia huyu raia(kama sio kikundi cha watu) ameshawaumiza wengi,
Wengine wapo kifungoni,
Wengine ndo wanakaribia kumaliza ban zao,wengine ndo wanaingia katika ban.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kutoujulisha umma chuki niliyonayo juu ya jizee hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom