Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

mimi nampenda sana huyu mwana-JF.................................ningelikuwa badi zile enzi zangu ningemfuatilia kwa khali na mali...........................bahati mbaya sana sasa nimezeeka sana............................lol endeleza mawimbi yako faizafoxy.......................it is free World with almost zero censorship.............
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

Kha! Wewe una lako jambo. Au ulipigwa kibuti?
 
ACHA HIZO MKUU, MPENDE ADUI YAKO NDIYO KANUNI KUU, ZINGINE BLABLA. badilika kifikra utampenda. fahamu yy kuna vitu anaviamini ambavyo kwa wengine ni ngumu, lkn sio 7bu ya kumchukia tafadhali ukubali uwe na amani moyoni/rohoni mwako, sina maana awe mwokozi wako no. Kama huwezi nakushauri mtafute umwambie tatizo fasce to face, kisha mpatane au mhamishe ajiunge na kambi yako
 
ukimzoea hana tabu kabisa, lakini unaweza mweka kwa ignore list yako ili usije pata hasara ya kuvunja pc yako bure, teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom