Simpendi faizafoxy...sijui kwanini

Duh!binaadamu tunajitafutia maradhi ya bure hivi inakuwaje umchukie mtu bila sababu!
 
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!!

Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.

mi naomba kutofautiana sana na wewe, mi nampenda @FaizaFoxy kupita maelezo, hata yeye analijua hilo...i wish nimtunuku siku moja...nikiona post yake natokewa na gusbumps :A S-fire1::A S-fire1:
 
eeeeee kweli kazi ipo nampenda mpaka naumwa wapo wawili yeye na Valee daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:crazy:
 
Mdogo wangu natumai wewe ni wakiume kamwe usishindane na mwanamke ,simjui huyo faiza but usiseme unamchukia mtu kamwe kwani huwa inaumiza wengine.
 
yeah kwa swala la hyo Dada ff naona kama wengi wanammind but lazma atakua ni tatizo somehow!!Lakini kumchukia syo ishu we cha kufanya we Fanya yako achana nae.Na kama washakwambia ni kikundi Dont bother !!Acha wafanye yao but time will tell
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom