Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

kwani ndoa ni nini? Au unaongelea sherehe?

Watu wengi hawajui maana ya ndoa wanachanganya na sherehe..ndoa ni commitment. Ambayo wapambe wwngne wanaeza kushndwa kuipima.kama unamuona yupo committed mi sioni kama kuna shida.cz ata wapo wengne wanafanyiwa sherehe shela m 3,cheti budget ya nguvu bt commitment hakuna!sku yeyote unaeza kukushit hapo sjui ndo unaanza kutembeza cheti na picha za sherehe kama yule mke Wa mchumba Wa Vicky mhh .
 
Kutest nini sasa, vijana wa dotcom matatizo matupu. Wanaofanya hivyo wanamkosea muumba wao kwani vitabu vyote vya dini vinapinga uzinzi oa/olewa kwanza ndo utafute mtoto.
 
Mmmmmmmmmmh! Hivi mtu unaanzaje kufanya maamuzi makubwa kama ya kuzaa na mtu kiholela holela!? Mi nina roho ngumu aiseee!
Inatokeaga tu wakati wa kuchezacheza mimba ikaingia. Utafanyaje?
 
lazima utest kila kitu hii biashara ya kukesha kwenye maombi sina piga mimba tena ajifungue then ndoa mtoto wenu anakuwa part ya washereheshaji inapendeza sana na baraka kwa bwana
 
Samahani sijui wachungaji wa siku hizi wanawezaje kufungisha ndoa mimba imetokeza hivi


nilikuwa kwenye beach moja. Nakuta kila arusi bibuhaarusi tumbo limetuna


napita airport nakuta hee wanandoa kama mbili wako kwenye garden nikapendezwa kuwaangalia again mmoja wapo tumbo imejaa kabisa jamanil
 
Hivi jaman ndo kusema kwamba imeshakuwa fasheni au nini.....
Maana katika kila sherehe tano za haruc ninazohudhuria lazima tatu mabibi haruc wanakuwa tayari ni wajawazito.....!!
Inaweza kuwa inasababishwa na nini hii hali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom