Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

..kumbe toka 1-24 inaishia M14, me nilidhani inaenda mpaka M178 hivi nijipange upya, hapo tu panataka palete mgogoro?.
 
Alafu mwishowe mwanamke anakusaliti

...
...Ndio maana mm nakaa na bastola yangu
bedroom...na ni mlinzi wa mke wangu.....akiniletea za kuleta huwa naiangaliaaa...na yy ananiona....bila
bastola mapenzi hayaendi cku hizo....!!!!

==> ♡♥♥♥♡♡
 
...

...Ndio maana mm nakaa na bastola yangu

bedroom...na ni mlinzi wa mke wangu.....akiniletea za kuleta huwa naiangaliaaa...na yy ananiona....bila

bastola mapenzi hayaendi cku hizo....!!!!

==> ♡♥♥♥♡♡

Nouma sana
 
kumtia mtu mimba kabla ya kuhalalishwa ni kosa kubwa, cha muhimu fanya harusi kwa uwezo wako "mbuzi hula urefu wa kamba yake" ka uwezo wako unaishia milion tano fanya kitu cha milion tano au mbili au moja whichever na waache wenye kuweza milion 28 wafanye watakavyo afterall kuna michango, hebu msitubanie huko......
 
Hehe,unajua baada ya ndoa kitatokea nn,ukuizubaa kuchapiwa kawaida tu,na gharama zote hizo,hehe,hebu ngoja nipite miye!!
 
Hehe,unajua baada ya ndoa kitatokea nn,ukuzubaa kuchapiwa kawaida tu,na gharama zote hizo,hehe,hebu ngoja nipite miye!!
 
gharama zote hizo ili iweje.unataka ufahari siku ya harusi tu ila siku ya mkeo kujifungua hata kitanda huwezi kulipia pale mhimbili unamwacha analala chini.tusiishi kwa kufuata mkumbo.
 
...
...Ndio maana mm nakaa na bastola yangu
bedroom...na ni mlinzi wa mke wangu.....akiniletea za kuleta huwa naiangaliaaa...na yy ananiona....bila
bastola mapenzi hayaendi cku hizo....!!!!

==> ♡♥♥♥♡♡

hawalindiki hao mkuu , hata uwe na SMG na fensi ya umeme , lazima watachepuka tu..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom