Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

Hivi jaman ndo kusema kwamba imeshakuwa fasheni au nini.....
Maana katika kila sherehe tano za haruc ninazohudhuria lazima tatu mabibi haruc wanakuwa tayari ni wajawazito.....!!
Inaweza kuwa inasababishwa na nini hii hali?

Sio 60% ni 90%
 
shake well bifoo use.
 
Din ya kiislamu inkataza kabisa kuzaa nje ya ndoa. Na akipatikana motto, haruhusiwi kumrithi baba yake wala baba haruhusiwi kumuozesha motto huyo
 
Inategemea ukubwa wa mimba...ikiwa kuuubwa jua ...sitaki shari...

Ikiwa ndogo jua wamejiachia baada ya kuvishana pete...

Ila piga ua bi harusi aso na mimba anapendeza sana...maana hiyo ni sherehe adimu ati; ukiwa miguu imevimba sijuhi na kikopo cha kutema mate ...wengine wanajifungulia kanisani...hata raha hakuna...

Mara elfu usubiri uzae then na ka baby kenu mwende kufunga ndoa (au uoga wa kukimbiwa???)
 
Nimeshindwa kuelewa hapa mwenye mimba ni nani?

917011_1447703588792100_169434347_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom