Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

Hivi jaman ndo kusema kwamba imeshakuwa fasheni au nini.....
Maana katika kila sherehe tano za haruc ninazohudhuria lazima tatu mabibi haruc wanakuwa tayari ni wajawazito.....!!
Inaweza kuwa inasababishwa na nini hii hali?
inasababishwa na kufanya ngono zembe kabla ya ndoa
 
Ndiyo ndoa nyingi za siku hizi, njembas zinataka kuhakikisha kwamba mrembo ana uwezo wa kubeba ujauzito bila kuharibika. Wengine hufikia hata kutoa masharti kwamba hakuna ndoa hadi ujauzito ufike miezi mitano au sita. Hili linasababishwa na wasiwasi labda mrembo amechoropoa mimba labda moja au hata zaidi na kusababisha kuharibika kizazi chake.

nyie wenyew hamtaki kuuziwa mbuzi kwa gunia so hilo ndio jibu lake
 
Hivi jaman ndo kusema kwamba imeshakuwa fasheni au nini.....
Maana katika kila sherehe tano za haruc ninazohudhuria lazima tatu mabibi haruc wanakuwa tayari ni wajawazito.....!!
Inaweza kuwa inasababishwa na nini hii hali?

wanaogopa uziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Aaah nimewasikia kina Aunt Ezekiel na Wema wanasema wanatafuta watoto...they serious?...wana matatizo gani na mtoto wanamtafutaje...? kweli shake well...inaelekea vizazi siku hizi viko mbali sababu ya either madawa au utoaji mimba...

Ndiyo ndoa nyingi za siku hizi, njembas zinataka kuhakikisha kwamba mrembo ana uwezo wa kubeba ujauzito bila kuharibika. Wengine hufikia hata kutoa masharti kwamba hakuna ndoa hadi ujauzito ufike miezi mitano au sita. Hili linasababishwa na wasiwasi labda mrembo amechoropoa mimba labda moja au hata zaidi na kusababisha kuharibika kizazi chake.
 
au vyakula? Inasikitisha kuona watu wanahangaika kutafuta watoto wakati wengine ukiwaza tu, tayari.

Sijui tatizo liko wapi.

Aaah nimewasikia kina Aunt Ezekiel na Wema wanasema wanatafuta watoto...they serious?...wana matatizo gani na mtoto wanamtafutaje...? kweli shake well...inaelekea vizazi siku hizi viko mbali sababu ya either madawa au utoaji mimba...
 
Nadhani wanatumia madawa ya uzazi wa mpango...yale ni problem hata kwa walio kwenye ndoa...kuna couple iliangaika kutafuta second child kinoma kisa midawa hiyo....

Sasa ukute binti yuko single afu anafakamia midawa daily unategemea akiolewa atazaa ndani ya mwaka...anaweza subiri 10 year...chezea dawa weye...

au vyakula? Inasikitisha kuona watu wanahangaika kutafuta watoto wakati wengine ukiwaza tu, tayari.

Sijui tatizo liko wapi.
 
Kwangu mimi mimba ni ukiwa ndani ila kwa sharti usije kuwa ushazitoa nyingi maana nitaku Ufooo Salo
 
Nadhani wanatumia madawa ya uzazi wa mpango...yale ni problem hata kwa walio kwenye ndoa...kuna couple iliangaika kutafuta second child kinoma kisa midawa hiyo....

Sasa ukute binti yuko single afu anafakamia midawa daily unategemea akiolewa atazaa ndani ya mwaka...anaweza subiri 10 year...chezea dawa weye...

Mmh...
Kama Sarah wa Ibrahimu na Hannah wa Elkana walivyokua wanafakamia midawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom