Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

Kwa hiyo wewe shemeji ulikuwa unatest mpaka ulipopata anayeshika mimba? Na asingepata ujauzito ungemuacha?Na dada yangu ulimpendea kushika mimba na sio Yeye kama yeye as a Woman?

hheh hapo ZD umeniquote out of context...sijasema eti nilikuwa natest hapa na pale hadi nikamkuta Mrs wangu hapa....

Ninachosema ni kuwa mkiwa wachumba inatokea anashika mimba,,,sasa mnafanyaje? mazingira ya kushika mimba ndo tumeyaongelea na ni kwa nini sasa hivi watu HAWAOGOPI tena kushika mimba wakiwa wachumba kwa maana ya ku clear uncertainties zinazoambatana na kuoana mkijifanya kila mtu ako Okay kumbe kuna tatizo mahali. Na sisemi pia kuwa kama hamuwezi kuzaa msioane lakini hili linampa kila mmoja uwezo wa kuweigh out options mbali mbali akijua what to expect akishaingia kwenye ndoa.

Kumbuka kwa siye wakristo ndoa ni ya mke mmoja TU>
 
kWA SENTENSI HII HAPA KAIZER NAOMBA KUKUONYA TU KUWA UNAHALALISHA UZINIFU. AM SORRY BUT IT IS MY OPINION.

You are entitled to your opinion my dearest!

Uzuri ni kwamba vile vilivohalalishwa havifanywi ila watu wanafanya vile visivohalalishwa!
 
Na wanawake wa leo nao wamezidi kujirahisi!! na mbaya zaidi wanaudhihirishia ulimwengu kupitia umati wa watu waliokuja arusini kuwa wamekuwa wakizini even before!!

Mimi nakumbuka siku ya arusi yangu rafiki yangu wa kike alinitania kuwa " siku zote za uchumba wenu wengi tumekuwa tunahisi tu kuwa huwa mnalala uchi na mpenzi wako siku moja moja kwa kuibia ila leo ndo kila mtu anajua kuwa utalala uchi na mumeo" ................ Siweziisahau sentensi hii

Nimesoma hii sentensi zaidi ya mara tano lakini nimeshindwa kuelewa alikuwa anamaanisha nini!
 
hheh hapo ZD umeniquote out of context...sijasema eti nilikuwa natest hapa na pale hadi nikamkuta Mrs wangu hapa....

Ninachosema ni kuwa mkiwa wachumba inatokea anashika mimba,,,sasa mnafanyaje? mazingira ya kushika mimba ndo tumeyaongelea na ni kwa nini sasa hivi watu HAWAOGOPI tena kushika mimba wakiwa wachumba kwa maana ya ku clear uncertainties zinazoambatana na kuoana mkijifanya kila mtu ako Okay kumbe kuna tatizo mahali. Na sisemi pia kuwa kama hamuwezi kuzaa msioane lakini hili linampa kila mmoja uwezo wa kuweigh out options mbali mbali akijua what to expect akishaingia kwenye ndoa.

Kumbuka kwa siye wakristo ndoa ni ya mke mmoja TU>
you have nailed it!......
 
Nimesoma hii sentensi zaidi ya mara tano lakini nimeshindwa kuelewa alikuwa anamaanisha nini!

haha nadhani alikuwa anamaanisha kuwa anajua walikuwa wanamegana, lakini siku ya harusi inajulikana kuwa lazima kuwe na consummation na actually isipokuwepo ndoa inakuwa declared null and void kwa mujibu wa kanisa....sasa hapo alikuwa anamnaga tu kuwa leo kila mtu anajua..which is the reason for all the celebrations~
 
Nimesoma hii sentensi zaidi ya mara tano lakini nimeshindwa kuelewa alikuwa anamaanisha nini!
mbona ipo klia tu?
au nikuulize swali?....
enewei before swali la msingi ni kuulize swali?
ARE YOU HAVING AN AFFAIR?I MEAN ARE YOU SEEING ANYBODY?
 
Suala sio watoto au mimba ivyo huja kwa bahati mbaya sababu mara nyingi ni unplanned! Mi nijuavyo pamoja kwamba love is not all about sex lakini sex ni kitu muhimu kinachonawirisha na kufanya love iwe strong hasa ukimpata anaekukuna ipasavyo. Sasa mtaoana bila kujua unaemuoa au anaekuoa utamuweza au la?? Si ndo mwanzo wa kukimbia ndoa huo!! Na hapo ndo unplanned mimba inapotokea! Hata ukimpenda mtu vipi kama hakufikishi bwana hata iyo ndoa au relationa itakuwa ili mradi tu hata mambo yote yakiwa ceterius peribus!!
 
Hii thread sikutegemea kama nitakujacheka hivi lol!!
Wapwaz bwana. Sasa bila kutest hamjaoa hebu Geoff twambie nawe umeshatest au?
 
Guyana walioweka maadili hawakuyaona haya? au watunzi wa vitabu vya dini?
 
hapana!sijatest
mimi i have thought beyond and beyond!
i dn't need all that!.......
 
Guyana walioweka maadili hawakuyaona haya? au watunzi wa vitabu vya dini?

Heeeeh! Hivi kumbe vitabu vya dini ni vya kutungwa na wanadamu kama hadithi za Alfu Lela Ulela? Mimi siku zote nilikuwa nadhani ni maneno toka kwa Muumba...!!! Asante kwa kunifumbua macho. :)
 
kwa hiyo hapo mkulu utakuwa umepata rationale ya lile swali!

Ile sentensi wa sisi tuliokuwa tunazingatia somo la Kiswahili O Level, inaangukia kwenye TUNGO TATA....Yaani ina maana zaidi ya mbili au hata tatu! Ndio maana nikauliza swali!

Hebu sema wewe umeielewaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom