Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

amani kwenu wana JF..
naomba mchango wenu ktk hii ishu
Imekua ni suala la kawaida kwa wapenzi kufunga ndoa baaba ya bibi harusi kupata ujauzito, sababu kubwa ni eti wana test kama wapo shwari. Hii inamaanisha kwamba, kama mwanamke hawezi kupata ujauzito basi uhusiano woa unakua matatani!,jamani hapa kuna mapenzi ya dhati kweli? na je huyo mtoto atakayepatika atakuwa ni wa nje ya ndoa au? Kwa mawazo yangu, nadhani watu wanatakiwa kufunga ndoa kwa sababu wanapendana kwa dhati na si vinginevyo!

pamoja!!
ni udhaifu tu wa wanaume!
HAWAJIAMINI
 
ni udhaifu tu wa wanaume!
HAWAJIAMINI
Na wanawake wa leo nao wamezidi kujirahisi!! na mbaya zaidi wanaudhihirishia ulimwengu kupitia umati wa watu waliokuja arusini kuwa wamekuwa wakizini even before!!

Mimi nakumbuka siku ya arusi yangu rafiki yangu wa kike alinitania kuwa " siku zote za uchumba wenu wengi tumekuwa tunahisi tu kuwa huwa mnalala uchi na mpenzi wako siku moja moja kwa kuibia ila leo ndo kila mtu anajua kuwa utalala uchi na mumeo" ................ Siweziisahau sentensi hii
 
Vipi iwapo mwanaume ndio akiwa na matatizo ya uzazi?
Kesi atapewa mwanamke...

amani kwenu wana jf..
naomba mchango wenu ktk hii ishu
imekua ni suala la kawaida kwa wapenzi kufunga ndoa baaba ya bibi harusi kupata ujauzito, sababu kubwa ni eti wana test kama wapo shwari. Hii inamaanisha kwamba, kama mwanamke hawezi kupata ujauzito basi uhusiano woa unakua matatani!,jamani hapa kuna mapenzi ya dhati kweli? Na je huyo mtoto atakayepatika atakuwa ni wa nje ya ndoa au? Kwa mawazo yangu, nadhani watu wanatakiwa kufunga ndoa kwa sababu wanapendana kwa dhati na si vinginevyo!

pamoja!!
 
...!:D:D:D
hapa point ni MIMBA na MTOTO
SEX?...sex sio hoja ya msingi.hata a barren man/woman can have sex HATA MARA KUMI KWA SIKU

Usitake nishawishi na wewe ni slow lena.Mficha uchi huwa hazai.Huwezi pata mtoto bila tendo la ndoa,labda huko ulaya.Nadhani mleta mada alikuwa anamaanisha kuwa wanaume hawana upendo kwa wake zao ila wanaangalia vitu vingine kama mtoto.Na mara nyingi mtoto ni matunda ya SEX.
Na kumbuka jambo moja LOVE is not all about SEX.
 
mara zote mtu ambae anafikiria familia na watoto kwenye ndoa ni MWANAUME!...ndo maana huwa anakuwa wa kwanza kufikiria kumuoa mwanamke ANAEZAA!ndo maana utakuta anatesti

from hapo katika namna ya kufikiri....YOU CAN DISTINGUISH MEN FROM WOMEN!...wanaume wanafikiria mbali zaidi.
 
Unatetea UZINIFU!!
 
Usitake nishawishi na wewe ni slow lena.Mficha uchi huwa hazai.Huwezi pata mtoto bila tendo la ndoa,labda huko ulaya.Nadhani mleta mada alikuwa anamaanisha kuwa wanaume hawana upendo kwa wake zao ila wanaangalia vitu vingine kama mtoto.Na mara nyingi mtoto ni matunda ya SEX.
Na kumbuka jambo moja LOVE is not all about SEX.

Mi nadhani tunaenda nje ya mada!
Mada inazingumzia SEX au MIMBA? Tuanzie hapa kwanza.
Kwangu mimi hivi ni vitu viwili TOFAUTI KABISA!
 
.....dah!:D:D:D

labda hii signature:
Babra Signature
MEN FALL IN LOVE THRU SEX, WOMEN FALL IN SEX THRU LOVE....

inamaanisha:
Babra Signature
MEN FALL IN LOVE THRU SEX's fruits, WOMEN FALL IN SEX's fruit THRU LOVE....

tusameheane bwana na u-sloo lena huu!hatuelewagi wenzio
 
Unatetea UZINIFU!!
naah!
uzinifu is one thing...!

lakini jiulize kwanin wanaume wanapenda ku-wamimba wake zao kabla ya harusi??.....(KUNA SIRI KUBWA SANA HAPA)

kwangu mimi na mtizamo wangu naweza sema kutojiamini...AU KUTOJIKUBALI (kama kuna tatizo).

sitetei lolote hapa mam'ii
the thing is WANAUME WALAU WANAFIKIRIA MBELE ZAIDI BEYOND SEX!...wanafikiria kupata watoto
 
Mi nadhani tunaenda nje ya mada!
Mada inazingumzia SEX au MIMBA? Tuanzie hapa kwanza.
Kwangu mimi hivi ni vitu viwili TOFAUTI KABISA!
ni vitu viwili so different!.....
hili sio la kuhoji mazee.
sex ?...hata watoto wa mbuzi wanampanda mama yao.lakini wanapompanda HAWAFIKIRII MIMBA
 
naah!
uzinifu is one thing...!

lakini jiulize kwanin wanaume wanapenda ku-wamimba wake zao kabla ya harusi??.....(KUNA SIRI KUBWA SANA HAPA)

kwangu mimi na mtizamo wangu naweza sema kutojiamini...AU KUTOJIKUBALI (kama kuna tatizo).

sitetei lolote hapa mam'ii
the thing is WANAUME WALAU WANAFIKIRIA MBELE ZAIDI BEYOND SEX!...wanafikiria kupata watoto

Come to think of it..........Hivi huwa wanafanya makusudi? Sio kuwa mimba inashika bila kupanga na suluhisho lake ni kufunga ndoa? au wanabambikiwa na kina dada?
 
Mi nadhani tunaenda nje ya mada!
Mada inazingumzia SEX au MIMBA? Tuanzie hapa kwanza.
Kwangu mimi hivi ni vitu viwili TOFAUTI KABISA!

Jamani hivi ukipata mimba kabla ya ndoa si ni uzinifu?Na ili usipate mimba si inabidi usizini? Mbona sex na mimba ni vitu mapacha kama tulivyo mimi na wewe mchumba?
Mbona mada inajieleza zaidi.Watu wanafunga ndoa wakati tayari wajawazito jambo linaloonyesha kuwa walikuwa wanazini.
Nijuavyo mimi watu huwa wanatest vitu vingine kabisa kwenye sex kabla ya ndoa.mtoto huwa inatokea tu njiani
 
jamani haya yote ni madhara ya kuvunjika kwa maadili kwani unakuta mwanamke anayekubali kufanya kabla ya ndoa tayari si mwaminifu unakuta ndoa nyingi zinafungwa zinakuwa si watu wawili wanaunganishwa kuwa mwili mmoja bali ni watu watatu mwingine tumboni yani watu wanamtania mungu kweli
 
Come to think of it..........Hivi huwa wanafanya makusudi? Sio kuwa mimba inashika bila kupanga na suluhisho lake ni kufunga ndoa? au wanabambikiwa na kina dada?

Mj1 kula tano. yani umenena. Watu huwa wanafunga ndoa kwa shinikizo la Mimba siku hizi.Wanakuwa hawajapanga,ila ikiingia ,no way out ndoa lazima ifungwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom