bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,860
You are entitled to your opinion my dearest!
Uzuri ni kwamba vile vilivohalalishwa havifanywi ila watu wanafanya vile visivohalalishwa!
sheria zimewekwa ili zivunjwe (msemo wa kujifarijia huu...)
You are entitled to your opinion my dearest!
Uzuri ni kwamba vile vilivohalalishwa havifanywi ila watu wanafanya vile visivohalalishwa!
hapana!sijatest
mimi i have thought beyond and beyond!
i dn't need all that!.......
Guyana walioweka maadili hawakuyaona haya? au watunzi wa vitabu vya dini?
HEHEHE!Mmmmh! Mkuu angalia mtoto wa watu asije akakimbia ndoa!!!
haha nadhani alikuwa anamaanisha kuwa anajua walikuwa wanamegana, lakini siku ya harusi inajulikana kuwa lazima kuwe na consummation na actually isipokuwepo ndoa inakuwa declared null and void kwa mujibu wa kanisa....sasa hapo alikuwa anamnaga tu kuwa leo kila mtu anajua..which is the reason for all the celebrations~
Ile sentensi wa sisi tuliokuwa tunazingatia somo la Kiswahili O Level, inaangukia kwenye TUNGO TATA....Yaani ina maana zaidi ya mbili au hata tatu! Ndio maana nikauliza swali!
Hebu sema wewe umeielewaje?
Suala sio watoto au mimba ivyo huja kwa bahati mbaya sababu mara nyingi ni unplanned! Mi nijuavyo pamoja kwamba love is not all about sex lakini sex ni kitu muhimu kinachonawirisha na kufanya love iwe strong hasa ukimpata anaekukuna ipasavyo. Sasa mtaoana bila kujua unaemuoa au anaekuoa utamuweza au la?? Si ndo mwanzo wa kukimbia ndoa huo!! Na hapo ndo unplanned mimba inapotokea! Hata ukimpenda mtu vipi kama hakufikishi bwana hata iyo ndoa au relationa itakuwa ili mradi tu hata mambo yote yakiwa ceterius peribus!!
sheria zimewekwa ili zivunjwe (msemo wa kujifarijia huu...)
HEHEHE!
kwanin?
MJ1, mbona unatutia majaribuni lakini
Maaadili yali/yanawekwa na nani..kama sio sisi? usishangae baada ya muda hayo ndo yakawa 'maadili' kulingana na mtazamo wa jamii
kwa maoni yangu jamii inazidi kulikubali hili suala na sasa hivi halionekani tena kuwa jambo la ajabu. Maana yake ni kwamba the procee of change is taking place, na hizi institutions zitabadilika tu kupitia hiii gradual change.
Vitabu vya dini vipi pia lakini ukumbuke vimeandikwa pia kukiwa na influence ya maadili ya wakati ule. Ndio maana kikanisa huwa kuna mabadiliko yanatokea kwa decree za Pope na viongozi wengine kuendana na mazingira ya wakati huu,,,
Heeeeh! Hivi kumbe vitabu vya dini ni vya kutungwa na wanadamu kama hadithi za Alfu Lela Ulela? Mimi siku zote nilikuwa nadhani ni maneno toka kwa Muumba...!!! Asante kwa kunifumbua macho.
are you guys MAKING LOVE?.....
Kutesti ni muhimu sana! Hebu fikiria mjifanye eti hamtaki kutesti, halafu mnafika kwenye ''honeymoon'' unakuta mumeo ka-mtarimbo kake ni kadogo kama bamia, au yuko over-size and endowered kupita kiasi, si utambia ndoa?
Hahahahahhahahahaaaaaa he!! no comment MasakiI did not consider it as an AFFAIR before we made love for the first time. That is my principle! Kuonja kwanza ni muhimu sana!
Masaki mimi pia nilikuwa naamini hivyo...........until recently.
Sijui kwa upande wa quran but kwa Bible najua kilichoshuka ni zile amri kumi au ni mimi tu na ufinyu wangu wa mawazo (ningefurahi kama ningesaidiwa katika hili maana naona nazidi kupotoka siku hizi
Kwa mwendo huu bado kidoooogo mila( wake 6) zitaruhusiwa kudumishwa Makanisani.Bado kidogo sana,tusubiri tuyaone.
Lakini njia ile ya uzimani imesonga tena ni nyembamba sana.Mabonge hawatapita njia ile.
Kumbe wenye vibamia hawapaswi kuoa? sikujuaga hili.Basi wakasomee upadre.
hehehe..hapana , kudumisha mila haijaruhusiwa. Lakini pia hawawezi kukataa kufunga ndoa za watu waliokuwa nje ya ndoa na sasa wameamua kumrudia Mungu.
unakumbuka mfano wa Msamaria Mwema? Unakumbuka mfano wa mwana mpotevu? lol
halafu hiyo njia hiyo...watu watashangaa siku hiyo. wanaojiona wenye haki hapa ulimwenguni ndo watakuwa 'mabonge'. Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke shemeji! lol