LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,168
duh wanawake wengi tunahamu ya kufunza watu kama nyie
upo wapi jamani?
kwani wew mwanamke au NUNG'AYEMBE
duh wanawake wengi tunahamu ya kufunza watu kama nyie
upo wapi jamani?
thnx captain ur realy captain God bless you.
Wapi imekatazwa kwenye dini?piga nyeto kijana.
Hizo zikizidi zina kawaida ya kuvuka mpaka na kuhamia nyuma,ikitokea hivyo ntafute kwa namba hii 0784960519 ntakusaidia dogo!
Doctor!
Nina umri wa miaka 23, toka nizaliwe sijawahi kukuuana na mwanamke, lakini sometime napata hamu sana ya kufanya mapenzi na kuna wakati sperm huwa zinatoka kwa wingi hasa nitakapofikiria tu kufanya mapenzi. Kinachonifanya nisifanye mapenzi ni kufuata agizo la Mungu toka kwenye biblia kuwa haturuhusiwi kufanya mapenzi mpaka tutakapooa ama mwanamke atakapoolewa.
SWALI: Kuna madhara yoyote kwangu kiafya na kimaisha kwa kufikisha umri huu pasipokufanya mapenzi?? Na kama kuna madhara ni madhara yapi hayo??
Nategemea kupata majibu ya kihekima zaidi.
AHSANTENI.
Ur 100% SAFE; hakuna madhara yoyote.

Hamna madhara kwa kutokufanya mapenzi. Tena unakuwa na uhakika wa usalama wa afya yako kwa asilimia kibaao.
Kikubwa ni wewe kufahamu kuwa usitarajie kuwa utakapotaka kuoa utampata ambaye hajafanya. Perhaps your wife to be yuko mahala na masela wanamega ile mbaya!