Sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe!!

Inawezekana wewe ni impotent!


so vizuri kabisa Baba_Enock!! Una mdomo mchafu we na pia unanuka. Vijana wetu inabidi wawe na maadili na sio kufanya mambo ya kwenye ndoa. Assume km akimjaza mdogowe mimba. utafurahi we.
 
We una 23 mi nina 24 kungekua na mabikira wa kiume basi ni mimi na we we kinachonifa niwe busy na haya mambo ni kazi tu
 
Hakuna madhara ila mambo ya mapenzi ni fani hasa kugegeda. Na ujue kugegeda kuna art fulani, ufanyeje mpaka na mwenzio alizike na ujicontrol vipi ili usiwe dak 3 nyingi ushamaliza kwani unakuwa huna uzoefu wa kugegeda. Halafu utakuwa mtu wa Dar -moro -Dar. Kitu ambacho wadada wengi kinawaboa.
Sio tatizo lakini ni uzoefu, watu kama wewe mnakuwa hamjui kumwimbisha msichana aliyetulia mpaka akubali kwani kujitunza kwako huko unakuona deal na hivyo art ya kubembeleza unakuwa huna mwishowe unaishia kuangikia kwa ngurumbembe aliyekubuhu. Walokubuhu wanajua kumsoma Mwanaume fasta sana. Ila kwako haitakuwa hivi utapata mdada just started last year.

Yote kwa yote hongera sana dogo. Umejitunza
 
Wakuu nimeshangaa thread yangu niliyoiandika mwaka 2012 imeletwa tena hapa...ha ha ha....nimecheka na kufurahi nilipoiona

mnamo mwaka 2014 nilivunja ukimya pale nilopotoka na gf wangu kwa mara ya kwanza ha ha ha.....asikuambie mtu.....EPUKA KUONJA ASALI ha ha ....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom