Sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe!!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,696
4,103
Doctor!
Nina umri wa miaka 23, toka nizaliwe sijawahi kukuuana na mwanamke, lakini sometime napata hamu sana ya kufanya mapenzi na kuna wakati sperm huwa zinatoka kwa wingi hasa nitakapofikiria tu kufanya mapenzi. Kinachonifanya nisifanye mapenzi ni kufuata agizo la Mungu toka kwenye biblia kuwa haturuhusiwi kufanya mapenzi mpaka tutakapooa ama mwanamke atakapoolewa.

SWALI: Kuna madhara yoyote kwangu kiafya na kimaisha kwa kufikisha umri huu pasipo kufanya mapenzi?? Na kama kuna madhara ni madhara yapi hayo??

Nategemea kupata majibu ya kihekima zaidi.
AHSANTENI.
 
Kwa hiyo unam-doubt Mungu kuwa anaweza kukupa maagizo yenye kukuletea madhara au?

Si kiivyo mkuu, kilichonifanya niulize ni leo nilikuwa nimekaa room ghafla nikasikia wadau wanazungumza kuhusu hayo madhara kwa bahati mbaya nilisikia wakiongea dakika za mwisho hivyo sikuwapata vizuri.Nikaona labda naweza tu nikapata dodoso hapa nyumbani kwangu Jf.
 
Unafanya vyema sana. Endelea na msimamo huo huo. Kutofanya mapenzi hakukusababishi madhara yeyote.
 
Si kiivyo mkuu, kilichonifanya niulize ni leo nilikuwa nimekaa room ghafla nikasikia wadau wanazungumza kuhusu hayo madhara kwa bahati mbaya nilisikia wakiongea dakika za mwisho hivyo sikuwapata vizuri.Nikaona labda naweza tu nikapata dodoso hapa nyumbani kwangu Jf.

Hawa wadau ni zaidi ya huyo Mungu wako? (usinichukie tafadhali najaribu tu kupata jibu la vipi unaishi)
 
Kwa hiyo unam-doubt Mungu kuwa anaweza kukupa maagizo yenye kukuletea madhara au?
Questioning ni namna ya kuelewa, sio lazima awe anadoubt. Na nikweli kwamba in certain circumstances abstinence inaweza kuongeza tensions, hasa kama sio ya hiyari. kwa hiyo amefanya vizuri kuuliza.
Kwa mtoa mada: Hongera sana kwa uamuzi wako wa kujichunga hadi utakapo oa.Kama ni personal choice hakuna ubaya.
But let's wait for more explanations on madhara/faida from great thinkers.
 
we ni mangare kweli piga kazi kijana wacha uzembe wa kufuata biblia utakufana utamu waako
 
Doctor!
Nina umri wa miaka 23, toka nizaliwe sijawahi kukuuana na mwanamke, lakini sometime napata hamu sana ya kufanya mapenzi na kuna wakati sperm huwa zinatoka kwa wingi hasa nitakapofikiria tu kufanya mapenzi. Kinachonifanya nisifanye mapenzi ni kufuata agizo la Mungu toka kwenye biblia kuwa haturuhusiwi kufanya mapenzi mpaka tutakapooa ama mwanamke atakapoolewa.
SWALI: Kuna madhara yoyote kwangu kiafya na kimaisha kwa kufikisha umri huu pasipokufanya mapenzi?? Na kama kuna madhara ni madhara yapi hayo??

Nategemea kupata majibu ya kihekima zaidi.
AHSANTENI.

Hakuna madhara ya aina yoyote ile ila utapoamua kuanza kukutana na Mwanamke hakikisha unatumia kinga ili kuepuka kuambukizwa magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo ukimwi na pia kuepuka mimba zisizotarajiwa.
 
Hongera sana! Hakuna madhara kbs zaidi ya saikological kama unawaza sana kuhus hi kitu, mim nilikaa kwa miak 24, nilipata mke wangu mzuri na sasa nina mtoto mrembo. Mungu unayemuamini atakulinda na madhara yote. Kwenye maandiko sijaona palipoandikwa km kuna madhara ya kutotenda dhambi ya kuzini na mwili wake mwenyewe. 1cor6:18, mithali 6:32&33, 9:17&18. Hata kama wewe sio Mkrst we soma tu, kwani itakulinda na midomo ya mwanamke malaya na mafundisho ya upotofu ya ulimwengu huu.
 
Ahsante Mkuu!! Ntawezaje kujizuia/kuepuka kufanya mpaka mda utapofika nikiwa na mke wangu.Mazingira ni magumu sana, na hizi sperm huwa zinajaa mpaka zinatoka zenyewe hiyo nayo c ni kama automatic musterburtion ambayo nayo nasikia nidhambi pia?
 
Hakuna madhara ya aina yoyote ile ila utapoamua kuanza kukutana na Mwanamke hakikisha unatumia kinga ili kuepuka kuambukizwa magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo ukimwi na pia kuepuka mimba zisizotarajiwa.

Nashukuru mkuu kwa jibu zuri. Nafikiri atakuwa wa kwanza mke wangu kuenjoy?
 
we ni mangare kweli piga kazi kijana wacha uzembe wa kufuata biblia utakufana utamu waako

Ahsante mkuu kwa ushauri wako mzuri lakini huoni kama ntakuwa nimekiuka maagizo ya God?
 
hakuna madhara yoyote yale na pia nakushauri usioe yani ubaki batchelor ka ni mkristo mkatoriki upadre utakufaa
 
Mikataba feki hilo ni gumu sana kutekelezeka, manake hata hawa mapadre wenyewe nasikia sikuhizi c waaminifu ktk upadre wao.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom