Si naomba atumie bundle za mtandao gani? Unlimited

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
mSAADA WENU WADAU NA WENYEUELEWA MKUBWA..NA BEI ZAKE MNIAMBIE HAPA HAPA SIO LONGO LONGO
 
Zantel 10000 kwa siku tatu spidi ya kasi na mwendo wa ajabu ukiclick ishamaliza kudownload sasatel 3000 kwa wiki spidi ya kobe anakimbia kulog in masaa manne ndo inafunguka inbox then kufungua email ni masaa mawili,airtel wao 30000 kwa miezi sita spidi ya mbuzi
 
Zantel siku hizi kuna bundles za MONO (750 MB) 15000 kwa mwezi au regular (250 MB) kwa week in 7000
 
voda kwa 30,000 kwa mwezi
Voda hamna kitu, mi nimejiunga na hiyo ya 30,000 katika siku 5 tangu kujiunga ni sku moja nimeona ikiwa speed (pale tu inapo-display HDSPA kwenye network).
Iyo ela naijutia bora ningeinywea bia baada ya hapo ningelipa mlupo na ningelipia guest kwa ela hiyo hiyo
 
mi nina modem ya zantel, tatizo ni network coverage. Kama upo maeneo mazuri utaenjoy. But maeneo ya mbali na city center ni mwendo wa kobe tu
 
Back
Top Bottom