TV gani smart nzuri nitapata kwa bajeti ya 600k-700k?

Wakuu msaada wenu hapa..

Nataka nivute tv ya bei ndogo naomba ushauri wenu..ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhish
TCL inapigiwa promo kuliko Hisense, mwisho wa siku wewe ndo utachagua.
Siongei kiunafiki au sifanyi udalali, kwa hio pesa daka tv yako safi unaweza pata inch 42mpka 43 second hand toka Uk na dubai kutoka kwa bwana abdalla Rashid na hutojutia pesa yako kaka nakushaur fanya hivo
 
Moja ya mashine zake nilizochukua around hio bei
 

Attachments

  • Screenshot_2024-03-03-17-34-11-81_948cd9899890cbd5c2798760b2b95377.jpg
    Screenshot_2024-03-03-17-34-11-81_948cd9899890cbd5c2798760b2b95377.jpg
    852.7 KB · Views: 15
Back
Top Bottom