toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Eneo niriropo ni la milima milima unaweza kukaa ndani mtandao haukamati kabisa ukatoka nje ukapanda tu ngazi mtandao unapanda
Au ukashuka tu kidogo mtandao unajaa
Hapa airtel na tigo hazishiki kabisa kwenye intanet inakuja na kupotea japo utaona zikisoma mala zinaandika emergency call mara no service mara inajaa
Ttcl signal za mtandao ni za shida had unyanyue simu juu
Sazingine rimtandao unakamatia dirishan lakin ukisogea nyumba za jilan kwa juu tu au kwa chini mtandao umejaa.
Hivi hakuna njia ya kuboost mtandao au kuimarisha signal za mtandao? Unakuta mitandao tajwa hapo juu napata package nzuli sana sema zinaishia kuisha tu sijatumia au hadi nitoke nje huko au nisogee nyumba za majilan au nisogee huko balabalan ndo naweza kutumia
Naomba kuuliza hivi kuna njia kifaa au mbinu ya kuondoa hii shida au kubust signal mtandao uimarike?Nimechoka kwerikweri