TAARIFA HII SIO YAKWELI, IPO KICHONGANISHI, haya mambo sio rasmi, tuweni makini. Jf itakuwa sasa kibanda cha kahawa!
Wewe ndiyo unasema siyo za kweli sisi tunakuambia ni za kweli sibiri muda utakuambia kama unatakuendelea kuufahamu ukweli mtafute mwanakamati kuu ya chama unayemfahamu then muulize, hata zitto mwenyewe waweza muuliza