Shafii Dauda na Dahuu wateuliwa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka

Screenshot_2023-12-18-23-09-49-1.png

Hawa eti wameteuliwa kwenye Jumuiya ya Wazazi , huku Magonjwa Mtambuka na Lucas mwashambwa wametoswa !

Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe, lakini hatukueleweka.

========

Shafii Dauda ateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo, utamaduni na Mazingira ya Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo Baraza la wazazi mkoa laridhia uteuzi wa wa mjumbe huyo, baraza liliofanyika chini ya Mwenyekiti ced Khadija Ally Said katika ukumbi wa Iddi Nyundo manispaa ya Temeke na Mgeni Rasmi akiwa Prof Adolf Mkenda Waziri Wa Elimu Sayansi na Teknolojia.

Pia baraza limemteua Husna Abdul maarufu kama Dahuu kuwa mjumbe wa kamati ya habari na mawasiliano ya Jumuiya ya wazazi mkoa wa DSM.
 
Sasa wewe msemaji wa chadema vs mambo ya ccm wapi na wapi?
Lakini pia, umesahau kuwa mbowe aliwahi kumtosa Dr Slaa na kubinafsisha chama kwa EL? Ama kweli nyani haoni kundule!
 
Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka

View attachment 2846603

Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe , lakini hatukueleweka
Wewe mjinga sana, yaani wewe na huyo Lucas mwanshambwa mnatofauti gani?
Wewe umepata uteuzi gani huko Chadema? Hiyo kazi ya kutandika kitanda cha Mbowe ndo inakufanya uwacheke wenzio akina Lucas na kamanda asiyechoka? Wote machawa tu wewe chawa wa Mbowe mwingine wa Samia.
 
Unafikiri CHADEMA wanaweza kutoboa kivipi bila ya kuitaja CCM?

Wananchi huwa wakati wote wanahamu wakusikiliza yale ya CCM kwasababu CHADEMA imeshindwa kuonyesha dhamira.

Sasa CHADEMA bila ya kuwataja wana CCM watapataje air time? si ndio itakuwa kalasi kabisaaaaa. hakuna matukio.hawana ajenda za sera zinazoeleweka, kutwa kutukana tu nani awasikilize?

Wamwache LMwashambwa akijiandaa na ilani ya Uchaguzi 2025 atumwagie mavituz... Wao CHADEMA waendele tu watuandikie na kutuhabarisha yanayojiri CCM
 
Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka

View attachment 2846603

Hawa eti wameteuliwa kwenye Jumuiya ya Wazazi , huku Magonjwa Mtambuka na Lucas mwashambwa wametoswa !

Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe, lakini hatukueleweka.

========

Shafii Dauda ateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo, utamaduni na Mazingira ya Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo Baraza la wazazi mkoa laridhia uteuzi wa wa mjumbe huyo, baraza liliofanyika chini ya Mwenyekiti ced Khadija Ally Said katika ukumbi wa Iddi Nyundo manispaa ya Temeke na Mgeni Rasmi akiwa Prof Adolf Mkenda Waziri Wa Elimu Sayansi na Teknolojia.

Pia baraza limemteua Husna Abdul maarufu kama Dahuu kuwa mjumbe wa kamati ya habari na mawasiliano ya Jumuiya ya wazazi mkoa wa DSM.

Wale jamaa watakuja kujiua Kama yule kada wa CCM aliyekuwa anaitwa peter Kalihose. Jamaa alijifanya adui wa CHADEMA ila akashangaa wengine wanapewa vyeo yeye anaachwa. Akaona isiwe shida Bora ajiue tu.
 
Sasa wewe msemaji wa chadema vs mambo ya ccm wapi na wapi?
Lakini pia, umesahau kuwa mbowe aliwahi kumtosa Dr Slaa na kubinafsisha chama kwa EL? Ama kweli nyani haoni kundule!

Acha kupotosha Dr Slaa aliondoka mwenyewe CHADEMA Tena hadharani. Na ndiye aliyempokea Lowassa CHADEMA
 
Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka

View attachment 2846603

Hawa eti wameteuliwa kwenye Jumuiya ya Wazazi , huku Magonjwa Mtambuka na Lucas mwashambwa wametoswa !

Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe, lakini hatukueleweka.

========

Shafii Dauda ateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo, utamaduni na Mazingira ya Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo Baraza la wazazi mkoa laridhia uteuzi wa wa mjumbe huyo, baraza liliofanyika chini ya Mwenyekiti ced Khadija Ally Said katika ukumbi wa Iddi Nyundo manispaa ya Temeke na Mgeni Rasmi akiwa Prof Adolf Mkenda Waziri Wa Elimu Sayansi na Teknolojia.

Pia baraza limemteua Husna Abdul maarufu kama Dahuu kuwa mjumbe wa kamati ya habari na mawasiliano ya Jumuiya ya wazazi mkoa wa DSM.
Hahahaha
Sisiem wanarecruit hata majambazi as long as wana followers kibao
 
Unafikiri CHADEMA wanaweza kutoboa kivipi bila ya kuitaja CCM?

Wananchi huwa wakati wote wanahamu wakusikiliza yale ya CCM kwasababu CHADEMA imeshindwa kuonyesha dhamira.

Sasa CHADEMA bila ya kuwataja wana CCM watapataje air time? si ndio itakuwa kalasi kabisaaaaa. hakuna matukio.hawana ajenda za sera zinazoeleweka, kutwa kutukana tu nani awasikilize?

Wamwache LMwashambwa akijiandaa na ilani ya Uchaguzi 2025 atumwagie mavituz... Wao CHADEMA waendele tu watuandikie na kutuhabarisha yanayojiri CCM

Mwananchi gani ana hamu yakuisikiliza CCM ? . Kwanza nendeni mkalipe Deni la DCB, shauri yenu
 
Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka

View attachment 2846603

Hawa eti wameteuliwa kwenye Jumuiya ya Wazazi , huku Magonjwa Mtambuka na Lucas mwashambwa wametoswa !

Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe, lakini hatukueleweka.

========

Shafii Dauda ateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo, utamaduni na Mazingira ya Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo Baraza la wazazi mkoa laridhia uteuzi wa wa mjumbe huyo, baraza liliofanyika chini ya Mwenyekiti ced Khadija Ally Said katika ukumbi wa Iddi Nyundo manispaa ya Temeke na Mgeni Rasmi akiwa Prof Adolf Mkenda Waziri Wa Elimu Sayansi na Teknolojia.

Pia baraza limemteua Husna Abdul maarufu kama Dahuu kuwa mjumbe wa kamati ya habari na mawasiliano ya Jumuiya ya wazazi mkoa wa DSM.
Kidumu Chama cha Mapinduzi
 
Back
Top Bottom