Jambo moja muhimu la kujiuliza, kwa nini CCM na Serikali yak wamekazana kumwalika Shibuda kwenye makongamano na semina elekezi? Kwa nini hawakumwalika mtu mwingine kutoka Chama Cha upinzini kutoa mada hizo isipokuwa Shibuda? Kuna kila dalili nyuma ya pazia kinachoendelea, na busara ya viongozi wa Chadema kutuliza vichwa na kitakachotokea Shibuda atawakumbuka akina Masumbuko Lamwai, Kaburu, Shitambala na wengineo. CCM ni mabingwa wa kumwaga cho chote pale wanapokuhitaji, wakishafanikisha walichokusudia unatelekezwa.
Inaonekana wewe ni bingwa wa psychology maana hujamuona mtu lakini tayari unauhakika... hahahaha, hizo ndio staili za magamba bwana... ujuzi kwenye kila kitu na kudharau hata wataalamu wetu.]Nna uhakika huielewe ARPM ni nini[/I], ili kujuza tu, kwa faida yako na ya wengine wasiyoielewa, naomba nikupe darsa dogo, labda utamuelewa Shibuda:
The African Peer Review Mechanism is the brainchild of the African leaders. It is voluntarily acceded to by Member States of the African Union for self-assessment. The primary purpose of the APRM is to enable participating countries to learn and adopt policies, standards and practices of countries with success stories for achieving similar successes in their countries.
H.E Jakaya Mrisho Kikwete Launches the APRM - NGC.
The APRM National Governing Council was launched on 11th sept 2009 by the President of the United Republic o Tanzania.
Soma zaidi: APRM Tanzania
Nna uhakika huielewe ARPM ni nini, ili kujuza tu, kwa faida yako na ya wengine wasiyoielewa, naomba nikupe darsa dogo, labda utamuelewa Shibuda:
The African Peer Review Mechanism is the brainchild of the African leaders. It is voluntarily acceded to by Member States of the African Union for self-assessment. The primary purpose of the APRM is to enable participating countries to learn and adopt policies, standards and practices of countries with success stories for achieving similar successes in their countries.
H.E Jakaya Mrisho Kikwete Launches the APRM - NGC.
The APRM National Governing Council was launched on 11th sept 2009 by the President of the United Republic o Tanzania.
Soma zaidi: APRM Tanzania
Unataka kutwambia CCM hawakuilewa "falsafa ya hali ya juu" ya Shibuda ndiyo maana wakamtema 2010?
No wonder JK na NEC yake sasa wanajifunza kwa Shibuda BRAVO Shibuda!
Inaonekana wewe ni bingwa wa psychology maana hujamuona mtu lakini tayari unauhakika... hahahaha, hizo ndio staili za magamba bwana... ujuzi kwenye kila kitu na kudharau hata wataalamu wetu.
Sasa kwa taarifa yako usifikiri hapa tupo mabwege kama unavyofikiri.. waweza umbuka ndugu yangu.
Niamini kwamba Shibuda ni mwepesi na rahisi kununulika. Anafikiria zaidi tumbo kuliko wananchi na wapiga kura wake. Tangu lini Kikwete akachukua mpinzani kuendesha semina elekezi? CCM wamekosa watu wenye ujuzi na uzoefu wa kuendesha semina hizo mpaka wakazanie wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na katibu wafunzwe na Shibuda?
CCM hawana pa kushika kwani matawi yote yanateleza, kwa sasa kumpata Shibuda kwa njaa yake wameona wamepata pa kupumsisha na kufikiria hilo linaweza kuyumbisha badadailiko kumbe kizazi cha leo, na kiwango cha wananchi wa leo wanaona mchezo waote na wamedharau mchezo huo acha mwepesi aendane nao sisi na mabadiliko haturudi nyuma.
Komedian

Shibuda hajifunzi historia. Umri wake haumsaidii. Ipo siku ataona condom iliyotumika ni bora kuliko yeye. Ni suala la muda tu!!
Hii ya Shibuda ni kama ya "Mwenda wazimu aliyekukuta ukioga.Akatwaa nguo zako na kukimbia nazo." Ukithubutu kumkimbiza wa kwanza kuonekana kichaa ni wewe mkimbizaji uliye uchi!