Natamani kuzaa halfcast wa kizungu ile mbaya kuliko hiyo Range Rover.
Una sababu yoyote ya maana kutamani kuzaa chotala? Utumwa wa fikra dadangu, pole sana.
Natamani kuzaa halfcast wa kizungu ile mbaya kuliko hiyo Range Rover.
Una sababu yoyote ya maana kutamani kuzaa chotala? Utumwa wa fikra dadangu, pole sana.
Lol I cant believe,huyo Shemeji yako kamkimbia Mumewe ilhali ana Vitz,je sisi tulio na baiskeli itakuwaje?
Hivi siku hizi wanandoa wakifumaniana hakuna kurudiana eeh?
Waswahili wanasema aliondoka kwa matarumbeta na vigelegele halafu tena akiwa ndani ya range sijui lilikuwa ni RANGE SPORT AU VOGUE:lol::lol:Tatizo aliondoka kwa mbwembwe sana ndo maana kurudi ni taabu bora angekuwa hapohapo home then labda angepata msamaha
eeeeeee!!!!!!!!! kwanza kabisa asirejee kwa vitz. upande mwingine mdada asikate tamaa chamsingi arejee kwenye ile club aliyokutana na Mzungu atapata mwingine mwenya Range , BMW , etc lol; Zaidi ya hapo arejee kwa MUNGU atubu na maisha yatakwenda vizuri....
Pa kwenda hakawa hana. Huku kwa kaka yangu hatakiwi, alimtukana mumewe wa ndoa kwamba mwanamme gani wa kununua VITZ wakati wapo wa Range-Rover kitu ambacho kilimuumiza kaka yangu mno. Hapa tunapoongea, shemeji yangu hana pa kwenda, anajaribu kurudi pale alipomimina matusi. Wadau mnashauri vipi na huu ugonjwa wa wazungu unao kua kwa kwasi bongo. Huu ugonjwa wa vibabu vizungu kutoka na wake, watoto na binti zetu? ufanyweje, huu ni mjadala
Husninyo, Hili si fumanizi ni mtu kaamua kuanza mbele , wa kufumaniwa ni yule anaiba huku kichwani mwake akiihitaji ndoa yakeHivi siku hizi wanandoa wakifumaniana hakuna kurudiana eeh?
Kila siku mimi naimba humu ndani wanawake baba yao mmoja mama yao mmoja,hebu angalieni haya madudu!
wanaume hamna baba wala mama.
Kama vile hatujawazaa.
Kosa ni la kakako kumuwachia mkewe kwenda vilabuni.
This is the perfect Couple...Huyu ndo dadako nini?
The new generation of Change in TZ. Asante sana uturn
msiwalaumu wazungu hao bureeeeeeeeeeeee,jamani message sent kwa wakaka wa kiafrica/tanzania/weusi..wenzenu dada zenu tunataka marangeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:
Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Firauni. Shemeji yaangu mwenye Umri wa miaka 28 ambaye amekuwa kwenye ndoa ya miaka 5 na kakaangu, hivi majuzi amemtoroka mumewe, bintiye wa miaka miwili na hata kuacha kazi yake kwa ajili ya mzungu mzee (kibabu) Huyu kibabu ambaye ni meneja (mkandarasi) wa barabara, alikutana na shemeji yangu kwenye club moja maarufu hapa mjini. Mkandarasi huyo akawa anampa shemeji yangu hela nyingi na hapo kiburi na jeuri ikamuingia akaanza kumfanyia kaka yangu vituko. Ikawa nyumbani hakai, hata wiki nzima haonekani sababu yake ni kwend kwa dadake tandika. Matokeo mume akaanza kumshuku mkewe, na uvumilivu wake ukawa unapungua. Siku moja mumewe akiwa kazini, hii ni miezi mitatu zilizopita, huyu dada alirudi siku moja mchana na Range-Rover kapakia vitu vyake kwenye gari na kutokomea. Hakujali cha mtoto wala cha nini. Akapotea kwa muda sasa, lakini kwa bahati kuna watu wamekutana naye Morogoro na huyo mzungu na taarifa hizo zikamfikia kaka yangu. alijikaza kisabuni bila kumwambia mtu. Sasa cha ajabu, baada ya kumtukana mumewe kwamba hana hela, yule mzungu pia kampiga chini wiki mbili zilizopita. Pa kwenda hakawa hana. Huku kwa kaka yangu hatakiwi, alimtukana mumewe wa ndoa kwamba mwanamme gani wa kununua VITZ wakati wapo wa Range-Rover kitu ambacho kilimuumiza kaka yangu mno. Hapa tunapoongea, shemeji yangu hana pa kwenda, anajaribu kurudi pale alipomimina matusi. Wadau mnashauri vipi na huu ugonjwa wa wazungu unao kua kwa kwasi bongo. Huu ugonjwa wa vibabu vizungu kutoka na wake, watoto na binti zetu? ufanyweje, huu ni mjadala

nenda U-turn ukaone marange ya wake wa wazungu,kama sio marange basi manyumba ya ukweli,madini mazaga zaga kibao.....mwanamke gani asiyependa hivi jamani?.....hio ya kutolea uchungu mnh kaaaazi kweli kweli ukipewa zawadi utakataa kisa hujaitolea jasho?mie mwenzako sijivungi nikipewa kitu :lol::lol::lol::lol: tena range ndio kabisaaa nitasema asante halafu huyooooooooooooooo kuwaringishia mtaa wa pili kama sio kupeleka picha U- TURN ..:lol::lol:
...lakini at what cost?? Ndio maana mnaishia kufanyiwa mambo ya ajabu. mara mlazimishwe kulala na mbwa, mara muombwe kufanywa visivyofanywa basi ili mradi tabu tu, kisa? Range! raha ya hivyo vitu ni uvitafute mwenyewe kwa jasho lako. labda kama hayo nayo ni 'kutoka jasho'...!