Naogopa kuoa baada ya kushuhudia hiki kisa…

Good Vision

Member
Apr 29, 2023
35
65
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.

Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.

Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.

Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.

Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.
 
Ndoa hazifanani, kila ndoa ina style yake ambayo watu wanaishi
 
Wazazi wetu wakati wanatuzaa kwani hawakuwahi kusikia kuhusu stories mbaya zifanyazwo na watoto?

Lkn tukazaliwa.. na hatujawa miongoni mwa hao watoto wabaya.

Na wewe mtoa mada, marry ur bestfriend.. acha kuangalia ndoa za wengine ndio zikutishe. Ina maana we ktk ukoo wako mzima hamna ndoa njema??

Nyie team kataa ndoa kuna muda kama dishi zinayumba 😇😂😂🤣
 
KUOA SI JAMBO JEMA...hata mimi nakiri
 
Mwanaume ukisema hutaki/unaogopa kuoa kuna mawili utakua siyo rizki unasubiri kuolewa au we mwenyewe ni mtoto mchelemchele unaogopa majukumu.

Mwanaume ikifika wakat inatakiwa uanzishe familia haijalishi ulishuhudia mangapi kwenye ndoa za wenzako, Kama umeona mabaya basi zipo pia ndoa ambazo watu wamedumu na wanaishi kwa amani japo changamoto zipo kwakua binadam hamuwez kukaa muda wote mkiwa mnaelewana tu

Sasa usichague upande mmoja wa ubaya wa ndoa yapo mema mengi pia .

Cha muhimu uwe mwanaume kweli na kabla hujaoa hakikisha usilazimishe mapenzi kwa mwanamke, usitumie nguvu kubwa kumshawishi mwanamke awe na wewe maana kama ulitumia pesa siku pesa zikiisha atakuzingua tu, hakikisha unaoa mwanamke ambae anakupenda, kama hujapata usioe.

lakin cha muhimu pia uwe na maamuzi magumu ukiona imefika mwisho usibembeleze ndoa achana nae.c
 
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.

Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.

Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.

Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.

Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.
Hivi bado kuna watu wanaoa!!!??? Kula vyako tembea. #KATAANDOA
 
Mwanaume ukisema hutaki/unaogopa kuoa kuna mawili utakua siyo rizki unasubiri kuolewa au we mwenyewe ni mtoto mchelemchele unaogopa majukumu.
😂😂😂😂🤸‍♂️📌
 
Wazazi wetu wakati wanatuzaa kwani hawakuwahi kusikia kuhusu stories mbaya zifanyazwo na watoto?

Lkn tukazaliwa.. na hatujawa miongoni mwa hao watoto wabaya.

Na wewe mtoa mada, marry ur bestfriend.. acha kuangalia ndoa za wengine ndio zikutishe. Ina maana we ktk ukoo wako mzima hamna ndoa njema??

Nyie team kataa ndoa kuna muda kama dishi zinayumba 😇😂😂🤣
Unaweza kuitolea justification hiyo statement ya "Marry your bestfriend" ?!
 
Back
Top Bottom