Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

Kweli kuna mijitu mna roho mbayaaaaaaa, mmemgonga LISSU risasi 38 hajafa, bado hamjaridhika mmekomaa naye tuuu. Mijiroho ya kutu mibayaaaa hata ubinadamu hamna. Mna laana kali sana nyie
 
Huyo mwache apayuke payuke dawa yake sisi tayari tunayo. Mwaka 2020 harudi bungeni tena iwe kwa kunyang'nya au kupora ila ubunge haupati.
 
Popoma. Ujinga ni mzigo kweli.
Wewe hata kuandika tu hujui, utawaza lililo la maana kweli? Usiiruhusu akili yako na ujinga wako kuwa wazi maana dunia itakushangaa.
Unajiita nyie serikali, no wonder ndiyo maana African countries zikaitwa Shitholes.
Hivi wale jamaa walishindwa nini kulimalizia!
 
Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..
Ivi nyie watu huwa mnalipwa shilingi ngapi mpaka mnajitoa ufahamu hivi? Huyu lisu kawafanyia nini baya mpaka muamini kuwa anatumiwa na watu wa magharibi ambao nyie ndio mlio wauzia nchi.
Lisu huyu mlitaka kumua leo yupo hai kila baya yeye mara kuna wapuuzi kina musiba wanatishia kwenda mahakamani mara nini sijui? Lisu nae ni binadamu, anafamilia na moyo wa plastiki kama wewe tu. Kwann mnakuwa wanafiki hivi? Lisu keshawahi kuongoza nchi hii? Mbona waliouza nyumba za serikali kwa mahawala zao leo ndio mashujaa? Huyu lisu alikemea kuuzwa kwa madini mkampuuza na kumeona hamnazo .
 
Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..

Kwa hiyo unauleza umma ni nani yuko nyuma ya lile shambulio la kigaidi.Asante kwa taarifa, ila ujue kuchamba kwingi kuondoka na mavi yaani hapa umekinukisha ile mbaya.
 
Fikiria huyo Lissu angekuwa ni Baba,kaka au mjomba wako,ungejisikiaje kwa unyama aliotendewa?
 
Lisu ni Mgonjwa nadhani siyo vyema kwa sasa kuongelea issue za mtu akiwa mgonjwa. Huenda hata akili zake hazipo sawa; bado anajiona katika fantasy world. Tusubiri kwanza apone. Huenda amepata maradhi ya ubongo, au mvuke wa risasi ulipita karibu na mfumo wa fahamu.

Nimewahi kusoma jarida fulani walisema mfumo wa chakula na mfumo wa damu vikichanganyika husababisha ubongo kutofanya kazi vizuri. Huenda ndugu yetu kunachembe chembe za mfumo wa chakula zimeingia kwenye mfumo wa damu na kuathili matumizi sahihi ya ubongo; maana kuna mishipa midogo midogo ya damu inayoitwa capillaries, husambaza damu kwenye ubongo. Mara nyingi ni vyema kuwathamini wagonjwa na kuwaombea kwa Mungu ili wapone haraka.
 
Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..

Wakati wenzako wanaenda shule we ulikuwa unaenda chimbo madhara yake ndio haya
 
Watu wasiojulikana mtawapata lini
 
Ni katika awamu hii serikali imekuwa sehemu ya chama cha siasa. Siajabu silaha na vyombo vya dola vinatumika ndivyo sivyo. Ila jitafakari ufute umbumbumbu.
 
Watu wasiojulikana mtawapata lini
Yeye ni mmoja wao soma.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..
 
Huyo mwache apayuke payuke dawa yake sisi tayari tunayo. Mwaka 2020 harudi bungeni tena iwe kwa kunyang'nya au kupora ila ubunge haupati.
Wewe umezaliwa lini? Unadhani bunge ndo mdomo wa kusemea tu
 
Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..

You are just desperate!! Adhabu gani umepata baada ya kumiss target mara 38? Hivi sasa LT is unstoppable!! Alikuwa anawahurumia na kutoa ushauri sasa kitendo cha kutaka kumuua ndicho kaburi lenu! trust me
 
Shooting People Does not Solve Problems of your People, 'A Country is Not a Company'
 
Back
Top Bottom