Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

Si
Umejaribu kuikwepa kwepa lkn wenye akili watakuelewa tofauti na uonachotaka kutuaminisha.
Kumbe ni kweli vyombo vya ulinzi vilimdhughulikia?
Sidhani kama ni kweli na wala sidhani kama inaweza kutokea. Kiufupi tujaribu kuwa makini nakile tunakiandika.. Kama mnasoma mada zangu nilisha sema serikali haiwezi kuwamaliza watesi wake kwa njia yakijinga kama hii....
 
Kwa bahati mbaya ulichokiandika unaimaliza serikali, bora ungekaa kimya
 
Si
Sidhani kama ni kweli na wala sidhani kama inaweza kutokea. Kiufupi tujaribu kuwa makini nakile tunakiandika.. Kama mnasoma mada zangu nilisha sema serikali haiwezi kuwamaliza watesi wake kwa njia yakijinga kama hii....

Wewe si mtu wa serikali soma ulichokiandika. Ndiko kutumika huko

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..
 
Lissu, T.A is the same tangu enzi za Mkapa, yeye ni mwanasheria na mwanaharakati, bahati mbaya au nzuri ameingia kwenye siasa; kwa hiyo Tundu Antipas Mughay Lissu ni mwanasheria, mwanaharakati na mwanasiasa tena wa upinzani kwa hiyo ukiyaweka yote pamoja lazima awe na msimamo mkali zaidi.

Mleta mada lazima uelewe hayo matatu na Lissu kama mwanaharakati, mwanasheria na mwanasiasa lazima ukosoaji wake kwa serikali uzidi. Lissu, tofauti yake kubwa na Mtikila ni kuwa Mtikila hakuwa mwanasheria, kwa hiyo ili aendeshe harakati zake alitegemea wanasheria ambao miongoni mwao wapo waoga na ndumilakuwili, Lissu anajitegemea mwenyewe na ni nguli ktk masuala ya sheria.

Kwa hiyo wewe TumainiEl unamfahamu kidogo tu Lissu. Mwanasheria na mwanaharakati hawezi kukalia kimya uvunjaji wa sheria, kwake itakuwa ni kuikana na kuisaliti taaluma. Akiwa kama mwanasiasa wa upinzani, ukosoaji dhidi ya serikali ndio fursa ya kupata faida za kisiasa.
Mambo ya siasa yapelekwe kisiasa, yajibiwe kisiasa.

"Tunabishana kwa hoja, bunduki za nini? " Mzee Tupatupa, Lumumba.

Vv
 
Ukiwa ccm lazima kidogo uwe mwehu. Andiko lako halina nguvu kabisa ktk kizazi hiki cha kuhoji mambo.
Wewe huwezi kuhojiwa kwani ni muoga. Hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Huyo mwache apayuke payuke dawa yake sisi tayari tunayo. Mwaka 2020 harudi bungeni tena iwe kwa kunyang'nya au kupora ila ubunge haupati.
Afadhali ya wewe, umenena vema kuliko Ndayilagije. Hata hivyo Lissu ni yule yule na yuko hivyo kabla ya kuwa mwanasiasa. Mkapa na Meja Jenerali Kiwelu akiwa RC Shinyanga wanamfahamu, Lissu kama mwanasheria sio mtu wa kukaa kimya anapoona sheria zinakanyagwa. Kuna wakati Lissu alipambana na Barrick Gold na Serikali ya Mkapa pale alipiwaondoa kwa nguvu wachimbaji wadogo pale Bulyanhulu.

Vv
 
Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..
Wewe jamaa mbona hoja yako bado sijaipata hebu nisaidie Hoja yako ni ipi hasa kuhusu Tundu Lissu? wewe lini umeanza kuwa mwanasaikolojia wa kujua mtu amekata tamaa ? na ni lini wewe umeanza kuisemea serikali mkuu? yote 9 ila kumi ni kwamba wewe leo unamuombea lisu awe hana hamu ya kuongea na awe Bubu na unasema hilo linawezekana> Basi mimi nikwambie tu wewe unatatizo la kiubinadamu yaani wewe inawezekana ni Muarabu wa Dubai sio mtanzania huenzi muombea Tundu lisu awe BUBU ,,...na asiwe na hamu ya kuongea Kumbe ndiyo nyie tunawatafuta mpo hata humu jf halafu mnaitwa eti Msio julikana P...../.........
 
Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..
Vipi mkuu ile shati yako ya kijani umeishaifua?? Kesho kuna mkutano wa chapendeza maeneo ya stendi
 
Tundu, bado anaumwa hajapona, ila mhudumieni apone kisha kama kuna swali mtamuuliza.
Haipendezi kujibizana na mgonjwa.
 
Zipo njia nyingi za kupambana na adui wa Taifa...unaweza kukaa kimya bila kumjibu, kumkata ulimi asiongee, kumtia misukosuko au kumuua sasa kwa hatua aliyofikia najua moja kati ya haya lazma yafanywe na wenye kujua maana Lissu ni kirusi kibaya sana
 
Kumtuliza lisu n kumsaidia ktk matibabu yake na kufanya uchunguzi wa haraka ya waliompiga risasi na kuwakamata ili kuondoa dhamira inayomjengea chuki unapomnyima haki yake kutibiwa ata kama hajafuata sheria si yeye aliefanya mamunzi usipotoshe umma kuwa anatumia na hawa wanaotu tusi kumbuka alinusurika kufa kwa risasi mm ntaka wanaojibishana naye wange Fanya kwaza uchuguzi w kiakili
 
Sikujua nimekutusi aisee, BTW hiyo ndo hoja yangu Tundu ni Tundu tu,hajawahi kuona kitu kizuri tangu azaliwe,ni mkosoaji,ni mlalamishi na anataka kuwa katikati ya kila jambo.
Ndivyo nimuonavyo.
Hujanitusi mkuu, comment yako kuhusu Lissu ndio ilikuwa ns chembechembe za matusi.
Vv
 
Huyo mwache apayuke payuke dawa yake sisi tayari tunayo. Mwaka 2020 harudi bungeni tena iwe kwa kunyang'nya au kupora ila ubunge haupati.
Kwa akili yako fupi unafikiri ubunge ndio oxygen ya kukufanya uishi, unafikiri Martin Luther King alikuwa mbunge.! Kumbe mnaenda bungeni kula nchi. Hopeless.
 
Back
Top Bottom