Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..
Tulishawaambia mapema sana kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , Je sasa mmeamini ?
 
Zipo njia nyingi za kupambana na adui wa Taifa...unaweza kukaa kimya bila kumjibu, kumkata ulimi asiongee, kumtia misukosuko au kumuua sasa kwa hatua aliyofikia najua moja kati ya haya lazma yafanywe na wenye kujua maana Lissu ni kirusi kibaya sana
Yote yameshafanyika bila mafanikio kakojoeni mlale maana mmethibitisha umbumbumbu mlio nao.
 
Siungetoa Taarifa rasmi?
nadhani tunatakiwa kufikiria zaidi juu ya tanzania yetu ya madini kuliko ya watu binafsi, watanzania wengi tunasahau uzalendo. tutafakari kuhusu Tanzanite, dhahabu, almasi , ulanga , mabati, samaki, maji kwa nchi yetu ambayo mikataba ya zamani imetutesa sana, tumsaidia Rais wetu anayejituma katika kurudisha Uzalendo na kufufua mikata mipya ya faida kwa tanzania na watanzania wote.
.
 
Wewe umezaliwa lini? Unadhani bunge ndo mdomo wa kusemea tu
Mbona kafulila alikuwa mpiga kelele mzuri baada ya kufanyiwa mipango mbona huyo hapo kanyamaza kimya harakati zote mfukoni na sasa tupo nae
 
Afadhali ya wewe, umenena vema kuliko Ndayilagije. Hata hivyo Lissu ni yule yule na yuko hivyo kabla ya kuwa mwanasiasa. Mkapa na Meja Jenerali Kiwelu akiwa RC Shinyanga wanamfahamu, Lissu kama mwanasheria sio mtu wa kukaa kimya anapoona sheria zinakanyagwa. Kuna wakati Lissu alipambana na Barrick Gold na Serikali ya Mkapa pale alipiwaondoa kwa nguvu wachimbaji wadogo pale Bulyanhulu.

Vv
Kama anasifa hizo basi tutamuona akiwa nje ya bunge tuone kama atakuwa na kiburi alichonacho sasa. Ila mpango uko pale pale lazima awekwe pembeni.
 
Kwa akili yako fupi unafikiri ubunge ndio oxygen ya kukufanya uishi, unafikiri Martin Luther King alikuwa mbunge.! Kumbe mnaenda bungeni kula nchi. Hopeless.
Sasa kama ni hivyo basi mwache atafanya nje ya bunge utaona kama hajaanza kulialia tu.
 
Kama anasifa hizo basi tutamuona akiwa nje ya bunge tuone kama atakuwa na kiburi alichonacho sasa. Ila mpango uko pale pale lazima awekwe pembeni.
Poor U ccm members. Yapo maisha ya kijamii, nje ya siasa hizi taka za ubinafsi. Wewe unajuwa mwanao, binamu, shemejio, rafiki zako etc watakuwa wa upande gani kisiasa?! Usifikiri mwanao naye atakuwa ng'ombe kama wewe!!!

Siasa zisitutoe akili tukaonekana wanyama tukausahau U Tanzania wetu. Na kubaki kuabudu vyama na viongozi
 
Chadema tubadilike hawa fisi wa lumumba wanatutoa kwenye reli kwa uzi zao zisizo na mashiko na tunasahau wajibu wetu wa kuikosoa serikali
Chadema au ukawa...yan ata hamjielewi msimame wapi...ao cdm unaowatafta umu huenda ukaishia kumkuta katibu wa bavicha mana ndo anashinda umu na fb
 
Umejaribu kuikwepa kwepa lkn wenye akili watakuelewa tofauti na uonachotaka kutuaminisha.
Kumbe ni kweli vyombo vya ulinzi vilimdhughulikia?
Umeona eeh? Amekwekwepa mpaka akaonekana hajui kuandika. Ukimsoma kwa makini, ameandika vitisho.

Mfano eti anasema
TumainiEl said:
“Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana

Eti serikali itafute namna ya kumfanya “asisikie hamu ya kuongea”

Nadhani kuna mpango wa kumtisha kuhusu ndugu na familia ili anyamaze, au pengine kuna wajinga jinga wanaotoa huo ushauri wakidhani wanaisaidia serikali.
 
Nilifikiri unamwongolea Nkamia,kumbe umetuleta ushuzi wa kande ya Lumumba, ukajambie hukohuko usije kutuchafukia hali ya hewa humu.
 
Nimekaa na kutafakari sana matendo anayafanya huyu Lisu na nimekuja na mawazo binafsi kwa vyombo vya usalama na mamlaka za juu za kiuongozi.

Ni lazima serikali itambue na kuelewa Tundu Lisu hakuanza leo kuikosoa serikali ila alianza zamani tofauti ya Lisu huyu wa awamu ya tano na Lisu wa awamu zilizopita ni kuwa Lisu wa awamu zilizopita hasa ya tano alipolipuka mahali alizimishwa na vitu tusivyovijua ama alikuwa akifanyia watu fulani kazi ambazo sisi hatuzijuwi lakini huyu wa awamu ya tano ndio sura ya yule yule wa awamu ya nne...

Yaani sasa tumemgunduwa huyu Lisu ni wa aina gani. Kiukweli kabisa kile anakifanya kwa sasa sio siasa ila kama ni mtaalam wa mambo ya kisiasa tunaweza kusema anatumwa na mabwana zake ktk siasa kuja kuchafua then wanasubiri what next..

Kiukweli kabisa kama kweli huyu angekuwa yule Lisu wa awamu ya nne basi huenda nilitegemea angemuunga mkono rais kwa kazi anaifanya ila badala yake sasa amekuwa kuwadi wa nchi za Magharibi akisahau kuna nyumbani na kwa dhambi anaifanya inaweza kuleta majanga makubwa ndani ya familia yake mwenyewe akalia na kukumbuka majuto ni mjukuu. Well hapa nilikuwa namuelezea tu aina ya huyu mtu.

Lisu amekata tamaa na kwa aina ya siasa ameifanya kwa kipindi kifupi ni dhahiri shahiri nafsi inamsuta na kutoamini kwanza kuwa hai na pili jinsi tukio limetokea. Lisu anaweza kutuficha kwa muda mrefu sana ila nina uhakika anajua dhambi yake na ni kwanini haya yote yametokea na ni kwanin amejivika koti la kuhukumu serikali ya Magu ndio ilitaka kumpoteza.

Katika hali kama hii ni bora serikali kujikita katika smartness yaku resolve issue bila kujibizana naye maana huyu bwana anajua kile anakifanya maana yupo katika hali ya kukata tamaa ameshaamua kama mbaya na iwe ila yeye anaharibu.

Mambo yanaendelea yamepangwa kwa ustadi mkubwa hivyo ni muhimu serikali badala ya kumjibu ikatafuta njia za kumfanya asisikie hamu ya kuongea na akaendelea na matibabu yake akiwa bubu na hili linawezekana.

Kiukweli mahali amefika sio pazuri na sisi kama serikali ni vyema kujipanga tukijua Tundu sio CHADEMA ila ni zaidi ya tunachokijua wapo washabiki wake mpaka CCM na tujiulize why?

Njia ya ukimya na kutojibizana na Lisu ndio msumari wa mwisho kwenye maneno ya Lisu ifike mahali ajutie kazi zake bovu na akumbuke shida anawapa familia yake..
Huku unapinga kuambiwa nilitaka kumuua, mara unageuka kuwa kama serikali mjipange kujua mnadili na nani.
Nini kinakufanya uweweseke wewe serikali?
 
Back
Top Bottom