Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

Hizi Sophia Simba anafikiri watu wanaoenda kwenye maandamano ya CHADEMA wanapewa pesa kama ambavyo CCM walivyokuwa wanatoa pesa,kanga,t-shirt na kofia kwa watu ili waende kwenye mikutano yao wakati wa kampeni.Watu wanaoenda kwenye maandamano ya CHADEMA wanaenda kwa hiyari yao bila kuhongwa kwani wamesoma alama za nyakati kuwa CHADEMA ndo chama kitakachokuja kuwakomboa siku zijazo kutoka kwenye tabu na shida mbali mbali walizonazo.

Hii ndo kawaida yao ccm kutoa majibu mepesi kwenye maswali mazito,eti kama kuna matatizo:hana uhakika kama yapo,mnafiki huyu,serikali itayashughulikia

Huu umekuwa ni wimbo wa karne saizi unaelekea ku fade out,after all mkwere keshasema hatayamaliza,alafu cjui kuna siri gani kati ya huyu mama na mkwere?
 
Kuna ka mtindo kameanza kujitokeza ka udini. Inaonekana waislamu wanapenda sana kujificha kwa kuzusha ukristo ili hoja halisi isjadilwe au kukwepesha hoja kwa nia hasa ya kuendeleza udini yaani uislamu.

Ndivyo yaliyojitokeza wkati wa uchaguzi mkuu. Baadhi ya waislamu walipiga kelele juu ya udini kwa maana ya ukristo ili kuhamisha "attention" na wao kufanikisha azma yao ya kuwaweka waislamu au nia yao hiyo isijulikane. Huku ni kufilisika!!! sio ti kiitikadi lakini hata kiimani!!!
 
she must be terribly sick...and this must be incurable disease............to hell sisiem, we going to bury sisiem no sooner!!!
 
Tufikie mahali huyu Sofia atoe ushahidi wa hizo allegations zake. Mfa maji anaweza kuropoka ovyo bila mpango.
 
Wakuu,

Huyu ni mwenyekiti wa akina mama kule kwao na pia ni waziri anaeingia vikao halali vya baraza la mawiziri na kukaa benchi moja na Magufuli na Mwandosya.

Tendwa hapa inambidi achukue hatua ya kumtaka huyu mama adhibitishe, hii ni kauli nzito yenye madhara either both ways.

Naomba mobile # ya Tendwa nimkumbushe kama kweli anafanya kazi kufuatana na matakwa ya kisheria.

Asante
 
to hell you starting this thread!!! who researched for this, when? where? sampling? and can you attach the findings please...
 
hivi hawa TBC inakuaje wanawapa air time hawa wapumbavu kupotosha umma,Huyu sophia lion ni nani kwani yeye na cku ya wanawake inaingiliana nini na chadema muandishi anashindwa kumuambia kuwa aongelee maswala yaliyomleta na si kuleta propaganda.

"CCM sasa maji ya shingo wanahaha kumtafuta mchawi wakati mchawi ni wao wenyewe walioshindwa kutimiza ahadi zao"
 
Hivi huyu mama hakuongea kiingereza siku ile ya kuomba kura za sadeki. Atakua anaenda na mkalimani ee.:blah:
 
we simba acha kubwabwaja, ccm imeona wananchi wanavyoendelea kukosa imani na serikali yao hivyo wanaogopa ulaji wao utaisha
 
kuna uchunguz uliofanyika ambao umetufikia muda si mrefu kuwa chadema kinapokea fund from ROME

Je hii mnaionaje wanajamii?:llama::target::A S 100:

Kama uchunguzi "umewafikia" basi tuwekee hapa hizo data mlizonazo tujiridhishe.
 
km wewe unaamin hvyo c ubak na iman yko? Kwnz km unaamin kw nn umekja kuulza humu jamvn wkt kmbe jb unalo? Acyekujua ni nan? Wah kwa babu wa loliondo ukapate tba cz nahc vrc alvyokuambukza mkwere vmeanza kuingia kwnye akil. Hv kwa nini alvyoenda mkwere kunywa dawa hajakuchkua na wewe?
kwani wewe huamini chademu kupokea mkwanjwa fromROMA?
 
Kila kiongozi anayejitokeza hajibu hoja za chadema, naona anaongeza hoja nyingine mpya. Sijui mwisho wake utakuwa nini maana hoja zote hazijajibiwa
 
Bora hao wanaopokea na kuzifanyia kazi..
Dont confuse people na uzushi wa kujihami, majungu ya Sophia Simba unayapa publicity
 
Acha utoto Jey key,yule Sex slave anakupotosha, Leo kaonekana kwenye Kipindi asubuhi, Anaongelea Ushangingi Tu.

Chadema Mwaka huu itatawala hata kama hawako magogoni. Mnyika Kasema Waziri mkuu amwamuru Magufuli asimamishe Bomoa bomoa nae kakubali we mbona hutaki mema unataka shari kila siku JF.
 
Ninavyojua kila Mbunge wa Chadema alitoa kama Laki nne na chama kikatoa kama 48m, baada ya kuona kila mbunge wa cdm akisimama bungeni spika anakunja sura kabla hajasema kitu chochote. !

Watulize ball na wawasubiri mjengoni kama kawaida! wakati chadema wanaongea na wenye nchi:decision:
 
ujuavyo wewe km nan? Au ndo wale wale kna sophia simba? Ha2tak habr za kusadikika hpa so km k2 huna uhakka nacho bora kunyamaza!
 
Siku zote mwizi huwa akimuona mtu mwingine huzani nae pia ni mwizi kama yeye, CCM wamezoea kulipa watu ili kuandamana basi wanafikiri hata wengine pia hufanya vivyo hivyo! Simba ndiyo huyo kasema sasa tumsubiri kilaza namba moja wa CCM makamba nae aseme!
 
mmmh ama kweli kazi ipo. Huyu Sophia! basi wanawake wana kazi, hii imenipa fikra ya ghafla kwamba kumbe hata hizi harakati za wanawake zina mbio ndefu kufanikiwa kwani ukiwa na watu kama sophia simba kama viongozi wao na msemaje mkuu basi mfumo dume utaendelea kuwepo muda mrefu sana.

Nasikitika amewalisha wanawake wenzake sumu lkn nadhani hata wenzake wameshamfaham saivi kuwa ni mchemkaji na mwanataarab, nadhan pia kuna agenda za kiislam kwenue hili
 
Tabaka la watawala Tanzania ni sawasawa na Gaddafi kwa sababu zifuatazo:

1. Wote wanaimani potofu kuwa serikali yao inapendwa sana na wananchi
2. Wote wanaamini kuwa maandamano yanachochewa na serikali/taasisi/wafadhili wa nje
3. Wote wanaamini kuwa wananchi wanapewa kitu ili kushiriki maandamano, eg pesa/madawa ya kulevya
4. Wote wanaamini kuwa wananchi hawana shida yoyote (eg Sophia akisema "kama kuna matatizo."
5. Wote wametawala kwa muda mrefu sana (CCM miaka 50 na Gadaffi miaka 42)
6. Wananchi wa nchi zote wamechoka umasikini, ufisadi, manyanyaso, ukosefu wa ajira, uporaji wa pesa za umma, etc
7. Chama tawala Tanzania/Libya miaka yote kimekuwa kikishinda uchaguzi wa Urais na wabunge kwa kuiba kura
8. Need I say more?

Nikusahihishe tu kwa faida ya wengine point ya 7,Lybia ni Nchi ambayo haina Bunge!
 
Back
Top Bottom