Kweli Chadema naiaminia ina maana leo asubuhi wanawake walikuwa studio walikuwa wanashusha nondo zilizoooza kwa Chadema manake Channel Ten Kipindi cha Baragumu alikuweko Letisia Masori sijui jina lake kama nilisikia vizuri (NCCR) formal Mwenyekiti wanawake Chadema na yeye alikuwa anasema viongozi wa chadema wamekurupuka kuendesha maandamano nchi nzima ajabu tunasikia NCCR wanaanza mikitano kigoma then nchi nzima huko sio kujikanyaga kweli