nsimba
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 782
- 55
mi mgeni bado!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hivyo wewe si mtanzania kujua ukweli wa yanayojiri nchini mwako, mkuu???
mi mgeni bado!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
The CCM government is in denial.
Ama kwel mambo yanavyozd kuwa magumu ndipo ninapogundua kuwa kumbe CCM ina vilaza(poyoyo) weng sana. Huyu mama naye keshajihakishia uwepo wake ktk hyo group ya vlaza..... Jaman ngoja ninywe chai halafu baadaye ntawasilisha majina yote ya vilaza waliopo ccm...
Jamani wadau naomba kuwasilisha hoja.: mwenye CV ya huyu Sophia Kimba(simba) jamani aitandke hapa jamvini il 2jue 2namjadil m2 wa aina gan. Am out.
Maneno ya Simba yana mantiki, si rahisi kuandaa maandamano kila kukicha, unahitaji bajeti nono. Jee fedha zinatoka wapi?
Maneno ya Simba yana mantiki, si rahisi kuandaa maandamano kila kukicha, unahitaji bajeti nono. Jee fedha zinatoka wapi?
Maneno ya Simba yana mantiki, si rahisi kuandaa maandamano kila kukicha, unahitaji bajeti nono. Jee fedha zinatoka wapi?
Matamshi haya ya Sophia yanaonesha kuwa serikali ya Kikwete inaamini kuwa foreign governments are funding CHADEMA ili kifanye maandamano na kuleta vurugu nchini.
Watawala wanajiaminisha kuwa eti CHADEMA inawalipa wale maelfu ya Watanzania wanaojitokeza kwenye maandamano.
Msimamo wa serikali ya Kikwete imenikumbusha ya Gadaffi wa Libya ambaye US President Ronald Reagan alimuita kama "The Mad Dog of the Middle East" way back in 1986.
Gaddafi alisema: "Wananchi wa Libya wananipenda sana. Wanaoshiriki maandamano wamelishwa madawa ya kulevya na Al Qaeda na Marekani."
Pia kwa kusema "Kama kuna matatizo yoyote, serikali itayashuhulikia," hii ina maana kuwa watawala hawatambui matatizo lukuki ya wananchi wa Tanzania ambao ni kama kila mmoja kabeba gunia la misumari -- mgao wa umeme, Dowans, ufisadi, umasikini, ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, maisha magumu, kuporomoka kwa elimu, afya duni, ukosefu wa maji, maradhi, viongozi serikalini kutokuwa na maadili, wananchi kunyimwa haki zao, na mengineo mengi.
The CCM government is in denial.
'umetufikia' -- akina nani
umefanyika wap? lini?
has CDM or Holy See been reached for comment?
wewe unaionaje?
Huyu simba alipata kuwaambia wanawake wagomee unyumba waume zao kama waume wataenda upinzani,,huyu ni mzigo kwa taifa...