Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
3,362
5,809
Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii.

Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha.

Gharama za kugharamia wanasiasa na viongozi wa umma ni kubwa mmno.

Misafara ya magari ya serikali ni mikubwa mno tena ni gari zinazo hitaji fedha nyingi sana kuzigharamia.

Maofisini na kwenye taasisi za serikali pesa ni nyingi sana zinatumika maofisa wanajilipa mamilioni huko tena bila kazi zinazo stahili malipo hayo.

Hizo pesa ukizikusanya mara mwaka mzima ni budget za wizara kadhaa.

Serikali itafute namna ya kupunguza matumizi yake wananchi tuna umizwa sana. Unapandisha gharama ya mafuta, unapandisha gharama ya saruji halafu pesa zinazo patikana zinatumika hovyo hovyo watu kujilipa mabilioni na magari ya anasa ambayo yapo barabarani kwa hadi jumapili kwa gharama za serikali.

Hapo bado wale wanao iba mabilioni na hawachukuliwi hatua yeyote, serikali ina tu disappoint sana wananchi ni vile tu haiweki dirisha huru la kusikiliza wananchi wake na namna wanavyo umizwa na mwenendo wake.

Huwa najiuliza serikali inapata ugumu gani kuwajibisha wabadhirifu wa fedha za serikali hadi huwa nahisi huenda nayo ni miongoni mwa sera za Chama Cha Mapinduzi
 
Usitegemee kama itatokea siku watakuja kuusikiliza na kuufuata hui ushauri wako. Maana wameshazoea tayari kuishi maisha ya aina hiyo.

Hivyo dawa pekee kwa watu wa aina hii, ni kuwaondoa tu madarakani.
Iwe kwa njia ya kawaida, au hata kwa njia ya nguvu. This is the only solution.
 
Mtoa hoja ,mabadiliko yanaletwa na street battles SIO vinginevyo, nchi yangu ilitakiwa iwe na mikoa isiyozidi 15 na wilaya kama 50 tu, cabinet iwe na mawaziri 14 tu, huku lingusenguse tunahitaji services delivers sio ukubwa wa serikali, angalia level ya wilaya tuna vyeo vya kipuuzi vingi tu, mkoani ndio vurugu nyingi tu,upande wa police tuna ,RPC, RCO, RSO wote hawa wa nini??
 
Ccm ni mrahibu(mteja) wa rushwa hawawezi kuacha ubadhilifu.. Mpaka apate methadole ya nguvu ya wananchi
 
Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii.

Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha.

Gharama za kugharamia wanasiasa na viongozi wa umma ni kubwa mmno.

Misafara ya magari ya serikali ni mikubwa mno tena ni gari zinazo hitaji fedha nyingi sana kuzigharamia.

Maofisini na kwenye taasisi za serikali pesa ni nyingi sana zinatumika maofisa wanajilipa mamilioni huko tena bila kazi zinazo stahili malipo hayo.

Hizo pesa ukizikusanya mara mwaka mzima ni budget za wizara kadhaa.

Serikali itafute namna ya kupunguza matumizi yake wananchi tuna umizwa sana. Unapandisha gharama ya mafuta, unapandisha gharama ya saruji halafu pesa zinazo patikana zinatumika hovyo hovyo watu kujilipa mabilioni na magari ya anasa ambayo yapo barabarani kwa hadi jumapili kwa gharama za serikali.

Hapo bado wale wanao iba mabilioni na hawachukuliwi hatua yeyote, serikali ina tu disappoint sana wananchi ni vile tu haiweki dirisha huru la kusikiliza wananchi wake na namna wanavyo umizwa na mwenendo wake.

Huwa najiuliza serikali inapata ugumu gani kuwajibisha wabadhirifu wa fedha za serikali hadi huwa nahisi huenda nayo ni miongoni mwa sera za Chama Cha Mapinduzi
La Kutafakari/Kufanyiwa Kazi
 
Back
Top Bottom