Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,399
- 3,910
1. Kushuka kwa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola
2. kusuasua kwa miradi ya maendeleo
3. mikopo ya hovyo hovyo inayoathiri mzunguko wa fedha kwa wananchi
3. Wizi, ufisadi na uporaji wa mali za umma
4. Matumizi mabaya ya Gari za serikali saa
5. Kupanda hovyo hovyo kwa nauli
6. Kupanda hovyo hovyo kwa mafuta
7. Kupanda hovyo hovyo kwa nauli
8. Kukatika katika hovyo hovyo kwa umeme
9. Mdororo wa uchumi unaosababishwa na kukatika katika kwa umeme
10. Mfumko wa kutisha wa bei kwa bidhaa zote
11. Uzembe maofisini
12. Kuongezeka kwa matumizi ya dawa za kulevya
13. Kuongezeka kwa matapeli wanaojivika ngozi ya uchawa mfano chiembe, mwashamba Lucas, choice variable
14. Uchakavu wa barabara usiotafutiwa mwarobaini
15. Mabenki kuacha kufanya ukopeshaji kwa wananchi
16. Kuibuka kwa taasisi za kukopesha pesa za kitapeli zinazomilikiwa na mabwenyenye
Mimi naishia hapo zingine taja na wewe.