Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

So what he said is true then, right?

Yes, It's true, but is obvious!! Who needs a leader who says/speak the obvious..a leader should make a change!

Saying that, ni sawa kusema "usipokula utakufa"..come on, even an idiot knows that! How wont you make that happen(STRATEGIES) is an issue to talk about!..PERIOD.
 
Alikua ni PM tu, hakua na ultimate powers to run this country.

Alikuwa ni Prime Minister(PM) "TU"?! Ndivyo anavyowaambia huko hayo maneno? ..
Hivi unajua mtendaji mkuu wa Serikali ni nani?..Unajua power aliyonayo waziri mkuu nchi hii?..Mkuu, it's okay to be an idiot but you are overdoing it! Seriously.
 
Mara nyingi tabia zinazoonyeshwa na vijana na hata wenye umri mkubwa zina akisi malezi na mafundisho kutoka ngazi ya familia, shule, dini nk. Swali la kujiuliza tunafundishwa nini huko?
 
Najua wengi watapinga ila ukweli ni kwamba EL ni kichwa na kinahitajika sana kwa mustakabali wa taifa hili. Tuache ushabiki usiojenga, wanamwita eti fisada, wakiulizwa ufisadi hawawezi kuthibitisha. Kwangu mimi ni mjasiriamali wa kuigwa tena ametoa ajira kwa Watanzania wengi. Mafisa wanaiba na kuzikimbiza Uswis, lakini amezitafuta na kuzizungusha hapa hapa. Ni muona mbali, mchukua maamuzi na msimamiaji wa maamuzi yake. Kama sio yeye leo hii tusingekuwa tuna mradi wa kutoa maji ziwa Victoria. Kama sio yeye leo hii Ihefu, kungekuwa kunazidi kuharibika.
 
EL amekua akipiga kelele mpaka sauti kumkauka kwamba vijana wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Ameongea kwenye majukwaa, mashuleni hata vikao vya ndani ya CCM. Vurugu zote zinazoendelea leo ni kutokana na umasikini na kukosekana kwa fursa [ opportunities] kwa vijana wengi nchini. Ajira hamna, vikwazo visivyo na maana katika ujasiriamali, manyanyaso na kujuana kumepelekea suala dogo kuyumbisha nchi. Amani tunayoichukulia for granted inaanza kuyeyuka nchini mwetu.
Licha ya kwamba kuna udhaifu wa serikali yetu wa kutochukua hatua mapema kwa vitendo vya uvunjifu wa amani, kutokufuatutilia madai halali yanayolalamikiwa na waislamu, sera za CCM za divide and rule, ni wazi kwamba sakata hili limechocheka kwa kiasi kikubwa na vijana wanaokaa vijiweni kwa kukosa ajira.
Lowassa angekuwepo haya yasingetokea.

Siyo mshabiki mkubwa wa Mjenga, hasa baada ya sakata la Mwangosi, lakini leo hebu soma hii masterpiece yake leo
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/340157-ya-mbagala-na-bedui-aliyekojoa-msikitini.html
Huyu huyu Mheshimiwa Lowassa ambaye amekuwa kwenye nafasi za maamuzi kwenye uongozi wa serikali kwenye awamu zote nne. je Kuna hata legacy moja au harufu ya muenekano wa kumuendeleza mtanzania au kumuondolea umasikini Mtanzania ameweza kuutolea muono au kufanya kwa matendo ktk nafasi yake ya maamuzi.
 
Mnyonge mnyongeni haki zake mpeni EL kama ana makosa yake lakini anayo yasema yana ukweli ndani yake,hakuna bina damu aliye kamilika kila mtu ana mapungufu yake.
Umenena kweli,hakuna mwenye haki hata mmoja mbele za Mhukumu wa waliohai na wafu;yaani Mwenyenzi Mungu.
 
Na Huyu Tumwite Nani Kwa Kutamka Haya Mwaka 1987, miaka 25 iliyopita?

[“It is not that peace has come by itself. The source of peace in Tanzania is not that the Arusha Declaration has done away with poverty even a little bit. Isn’t there this poverty we are still living with? This poverty is right here with us. It is not the same economy we are grappling with? The fact is not that the Arusha Declaration has banished poverty even by an iota – nor did it promise to do so. The Arusha Declaration offered hope. A promise of Justice, hopes to the many, indeed the majority of Tanzanians continue to live this hope. So long as there is this hope, you will continue to have peace. Here in Tanzania we have poverty but no ‘social cancer’. It is possible it has just begun. But otherwise we don’t have a social cancer. There isn’t a Volcano in the making, that one day it is bound to erupt. We have not yet reached that stage because the people still have hopes based on the stand taken by the Arusha Declaration. It did not do away with poverty but it has given you all in this hall, capitalists and socialists alike, an opportunity to build a country which holds out a future of hopes to the many.

To be sure, you few Waswahili, do you really expect to rule Tanzanians through coercion, when there is no hope? When there is no hope, and then expect that they will sit quiet in peace? Peace is born of hope, when hope is gone, there will be social upheavals. I’d be surprised if these Tanzania refuse to rebel, why?

When the majority don’t have any hope you are building a volcano. It is bound to erupt one day. Unless these people are fools. Many in these countries are fools, to accept being ruled just like that. To be oppressed just like that when they have the force in numbers, they are fools. So Tanzanians would be fools, ****** (imbecile, morons, retarded/majuha), if they continued to accept to be oppressed by minority in their own country. Why?

Therefore we cannot say that we have now reached a stage when we can forget the Arusha Declaration. Don’t fool yourselves. This would be like that fool who uses a ladder to climb and when he is up there kicks it away. Alright, you are up there, you have kicked away the ladder, right, so stay there because we will cut the branch. You are up there, we are down here and you have kicked away the ladder. This branch is high up, we will cut it. Your fall will be no ordinary fall either.

Let me say no more. It is sufficient to say we should accept our principles, we should continue with our principles of building peace and peace itself. Tanzanians should continue to have faith in the party, in the government and in you in positions. Tanzanians should see you as part of them not their enemies. They should trust the party, the government and you who have opportunities for there is no country where everyone is equal. These fingers of mine are not equal, and in that sense there is no such equality anywhere.”]

Julius Kambarage Nyerere, (1987), A Speech Published in Shivji, I (2000): “Critical Elements of a New Democratic Consensus in Africa", (pp.25-38), In Othman, H (2000) (ed.): “Reflections on Leadership in Africa: 40 years of independence".
 
kimawazo tumekuwa mzeiya alifanya nini wakati alipokuwa waziri mkuu mwambie hatumtaki hapa ni Dr slaa
 
EL amekua akipiga kelele mpaka sauti kumkauka kwamba vijana wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Ameongea kwenye majukwaa, mashuleni hata vikao vya ndani ya CCM. Vurugu zote zinazoendelea leo ni kutokana na umasikini na kukosekana kwa fursa [ opportunities] kwa vijana wengi nchini. Ajira hamna, vikwazo visivyo na maana katika ujasiriamali, manyanyaso na kujuana kumepelekea suala dogo kuyumbisha nchi. Amani tunayoichukulia for granted inaanza kuyeyuka nchini mwetu.
Licha ya kwamba kuna udhaifu wa serikali yetu wa kutochukua hatua mapema kwa vitendo vya uvunjifu wa amani, kutokufuatutilia madai halali yanayolalamikiwa na waislamu, sera za CCM za divide and rule, ni wazi kwamba sakata hili limechocheka kwa kiasi kikubwa na vijana wanaokaa vijiweni kwa kukosa ajira.
Lowassa angekuwepo haya yasingetokea.

Sasa huyo Lowasa angekuwa 'visionary' kama unavyomuita wewe, asingefanya ufisadi na kuitumbukiza nchi kwenye mkenge wa Richmond na Dowans.
Au labda katika hilo swala la Richmond na Dowans, alikuwa bado hajawa 'visionary'??
Machafuko yanayotokea sasa sio matokeo ya vijana kukosa kazi, ila ni matokeo ya Kikwete kupandikiza udini na kuupalilia.
Hebu angalia, maandamano na vurugu hizi zinazoendelea sasa, zinafanywa na vijana wanaodai ajira ??
Vurugu hizi zilipangwa rasmi kabisa ili zitokee, na kwa bahati mbaya sana zikapata kisingizio cha 'mtoto kukojolea quran'.
Vurugu hizi ni za kidini, na sio za kiuchumi. Watu kuchoma makanisa sio vurugu za kiuchumi.
Au wewe na Lowasa mnadhani kuwa watu wakichoma makanisa ni ishara ya kukosa ajira ??
Au wewe ukikosa ajira utaenda kuchoma kanisa ??

Ushauri kwako na kwa Lowasa ni huu:-
  • Acheni ufisadi ili nchi ineemeke kwa utajiri iliyonao, na hakutakuwa na ukosefu wa ajira.
  • Mshaurini mwenzenu Kikwete akemee na kuchkua hatua za kukomesha udini hapa Tanzania, badala ya kukimbilia Oman wakati nchi yake inaingia kwenye machafuko ya kidini.
 
Sawa EL aliliona hilo! ni kweli lakini sio kwamba ndio linamsafisha na kuwa safi na kwamba atafaa tena na kuaminiwa kuwa kiongozi wa nchi hii! kwanza kama ana maono kwanini hakuliona la mikataba feki ya Richmond??
Kwa mtazomo wangu vyanzo vya hizo vurugu ni vingi, mojawapo ni mbegu iliyopandwa na chama tawala na viongozi wetu wa ngazi za juu! pia mfumo wa imani yenyewe haswa hiyo sera ya jino kwa jino!
mwisho usilete mada kwa ajili ya kumsafisha mtu hapa!!
 
wewe umetumwa na nani kuja kumsafisha mtu? Au chimpumu na mnazi zinakuchanganya? Kuwa smart na unacho post.

Jibu hoja usikurupuke na majibu ambayo hayana mashiko,wewe vipi?

jk,lowasa,na mtoa mada ni majanga mengine kwa taifa!!!

Yani wewe haifiki saa 10 jioni kabla hujapelekwa MILEMBE HOSP!!!!!

Ccm inatakiwa kukaa chini na kusema jamani haya sasa basi. Wasipofanya hivyo wataumia wao na watoto zao. Sie maskini hatuna cha kupoteza.

Kwa kipi hapa CCM inatuhumiwa?,jamani tujenge hoja kwa ajili ya kusaidiana ushabiki kwenye mambo ya msingi hayatasaidia,kwa hiyo unataka kusema chama gani ambacho unaona kiko sawa ambacho kina madaraka kwa sasa nchi hii?.

Uzi huu unaweza kuwa ba ukweli lakini chokochoko za dini zimeanza muda mrefu na aliyezipalilia na kuziivisha vizuri ni JK na magamba yake wakati wa kampeni baada ya kuishiwa sera na kuzidiwa na cdm. Suala la ajira kwa vijana ni secondary na chuki za kidini ni primary.

Kidogo wewe umejiatahidi walau kueleza hoja ingawa ungeendelea kidogo ungefanya vyema zaidi,hongera Mkuu.

Kwangu mimi naona suala la ajira ni PRIMARY, kwa sababu vijana tungekua na ajira na elimu ya kutosha CCM wangetudanganya vipi ?

Hebu ona hili kwani umeambiwa kwamba elimu ndiyo itakayoiondoa CCM madarakani?,wale wamisri wana elimu gani,Think Twice!!!!
 
hebu atuondolee ujinga hapa,yy mwenyewe c amechangia huo ukosefu wa ajira kupitia richmonduli?anataka kutuambia nn!...alishakuwa kiongozi alisaidia vipi kulitatua hili?
 
EL amekua akipiga kelele mpaka sauti kumkauka kwamba vijana wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Ameongea kwenye majukwaa, mashuleni hata vikao vya ndani ya CCM. Vurugu zote zinazoendelea leo ni kutokana na umasikini na kukosekana kwa fursa [ opportunities] kwa vijana wengi nchini. Ajira hamna, vikwazo visivyo na maana katika ujasiriamali, manyanyaso na kujuana kumepelekea suala dogo kuyumbisha nchi. Amani tunayoichukulia for granted inaanza kuyeyuka nchini mwetu.
Licha ya kwamba kuna udhaifu wa serikali yetu wa kutochukua hatua mapema kwa vitendo vya uvunjifu wa amani, kutokufuatutilia madai halali yanayolalamikiwa na waislamu, sera za CCM za divide and rule, ni wazi kwamba sakata hili limechocheka kwa kiasi kikubwa na vijana wanaokaa vijiweni kwa kukosa ajira.
Lowassa angekuwepo haya yasingetokea.

Siyo mshabiki mkubwa wa Mjenga, hasa baada ya sakata la Mwangosi, lakini leo hebu soma hii masterpiece yake leo
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/340157-ya-mbagala-na-bedui-aliyekojoa-msikitini.html

Vissionery kwa vitu amabvyo ni obvious! Kama hotuba inayohusu kukosa ajira kwa viana wa nchi hii inakufanya umuone huyo fisadi gwiji kwamba ni vissionery basi hafai hata kidogo kwa sababu haitaji hata uwe na elilmu ya darasa la saba kujua kwamba ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu linalosubili kulipuka
 
haya yanayotokea hayana uhusiano na ukosefu wa ajira. Ni upungufu tu wa ufahamu na maarifa kadhaa. Ni sawa na kutaka kutuaminisha kuwa hili ni Taifa la kiislam kwani wanaosumbua huko ni wao pekee. Hakuna wakristo wasio na ajira? Wamevunja cha mtu? Tatizo ni mbegu ya chuki na utengano inayopandikizwa kisiasa kwa mgongo wa imani

I beg to difer Sir, unadhani kuna mfanayakazi yeyote wa taasisi inayojielewa atakuwepo mitaani? yaani tuseme mfanyakazi wa benk, au TRA au mwingine yeyote mwenye ajira rasmi ataweka rehani kazi yake kuandamana kisa Sheikh? naungana na mtoa mada kwa hili, kukosa cha kufanya Plus maelezo yako ya uelewa vyote vinachangia
 
Sasa huyo Lowasa angekuwa 'visionary' kama unavyomuita wewe, asingefanya ufisadi na kuitumbukiza nchi kwenye mkenge wa Richmond na Dowans.
Au labda katika hilo swala la Richmond na Dowans, alikuwa bado hajawa 'visionary'??
Machafuko yanayotokea sasa sio matokeo ya vijana kukosa kazi, ila ni matokeo ya Kikwete kupandikiza udini na kuupalilia.
Hebu angalia, maandamano na vurugu hizi zinazoendelea sasa, zinafanywa na vijana wanaodai ajira ??
Vurugu hizi zilipangwa rasmi kabisa ili zitokee, na kwa bahati mbaya sana zikapata kisingizio cha 'mtoto kukojolea quran'.
Vurugu hizi ni za kidini, na sio za kiuchumi. Watu kuchoma makanisa sio vurugu za kiuchumi.
Au wewe na Lowasa mnadhani kuwa watu wakichoma makanisa ni ishara ya kukosa ajira ??
Au wewe ukikosa ajira utaenda kuchoma kanisa ??

Ushauri kwako na kwa Lowasa ni huu:-
  • Acheni ufisadi ili nchi ineemeke kwa utajiri iliyonao, na hakutakuwa na ukosefu wa ajira.
  • Mshaurini mwenzenu Kikwete akemee na kuchkua hatua za kukomesha udini hapa Tanzania, badala ya kukimbilia Oman wakati nchi yake inaingia kwenye machafuko ya kidini.

Mkuu,na2mia cm'LIKE' well said
 
Back
Top Bottom