Kundi la wanamgambo la Al-Shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya Somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.Kundi la Al-Shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini Somalia likidai ni katika misingi ya dini ya Kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku Sambusa.
Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.
Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini Somalia.
Wanamgambo wa Al-Shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini Somalia.
Kundi la Al-Shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.
Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya Al-Shabbab.
Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "Utatu Mtakatifu".
Utatu mtakatifu kwenye Ukristo humaanisha Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.
Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu Sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.
jamaa wana msimamo sana! Nimewakubali Shabab
Afadhali wangepiga marufuku vitumbua may be ningeelewa
Wajinga ndio waliwao, wapige marufuku kula kabisa hapo ndo kitaeleweka.
Kundi la wanamgambo la Al-Shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya Somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.Kundi la Al-Shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini Somalia likidai ni katika misingi ya dini ya Kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku Sambusa.
Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.
Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini Somalia.
Wanamgambo wa Al-Shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini Somalia.
Kundi la Al-Shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.
Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya Al-Shabbab.
Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "Utatu Mtakatifu".
Utatu mtakatifu kwenye Ukristo humaanisha Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.
Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu Sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.
Hii mijamaa mijitu ya ajabu kweli ndio maana inasema eti Somalia hakuna njaaWajinga ndio waliwao, wapige marufuku kula kabisa hapo ndo kitaeleweka.
Haya ni matokeo ya kukosa any formal education system na government kwa miaka zaidi ya 20 sasa huko somalia.
Si ajabu watakuja na marufuku ya kupumua, au kuishi.
Kundi la wanamgambo la Al-Shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya Somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.Kundi la Al-Shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini Somalia likidai ni katika misingi ya dini ya Kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku Sambusa.
Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.
Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini Somalia.
Wanamgambo wa Al-Shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini Somalia.
(1)Kundi la Al-Shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.
Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya Al-Shabbab.
(2)Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "Utatu Mtakatifu".
Utatu mtakatifu kwenye Ukristo humaanisha Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.
Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu Sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.
........... maneno ya kilevi hayo !Adui mkubwa wa Uislam ni mwislamu
........... Imani yao ni SAMBUSA !? Wagalatia mmerogwa ?Kuna imani za ajabu sana tena sana. Eti hiyo nayo ni imani inayo peleka watu kwa Mnyaazi Mungu.
.......... hili jambo si kweli, ila Wagalatia wana Akili za Kushikiwa na kuambiwa, fuatilia post zao upate burudani !Ahhhh Tatizo lao ni huo UTATU MTAKATIFU, na sio Sambusa kama kitafunwa. Hivyo wakitengeneza sambusa za pembe nne au tano RUHUSA au sio?????
........... Imani yao ni SAMBUSA !? Wagalatia mmerogwa ?
Sasa naanza kuwa na wasi wasi na hizi sharia,
kundi la wanamgambo la al-shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.kundi la al-shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini somalia likidai ni katika misingi ya dini ya kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku sambusa.
Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.
Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini somalia.
Wanamgambo wa al-shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini somalia.
Kundi la al-shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.
Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya al-shabbab.
Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "utatu mtakatifu".
Utatu mtakatifu kwenye ukristo humaanisha mungu baba, mungu mwana, na mungu roho mtakatifu.
Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.
sambusa zilizo kaa kama moja zinaitwa "meat roll"Wapike sambusa za pembe tano au za mwezi mchanga.