Sambusa Zapigwa Marufuku Somalia

5850518.jpg

Kundi la wanamgambo la Al-Shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya Somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.Kundi la Al-Shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini Somalia likidai ni katika misingi ya dini ya Kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku Sambusa.

Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.

Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini Somalia.

Wanamgambo wa Al-Shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini Somalia.

Kundi la Al-Shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.

Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya Al-Shabbab.

Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "Utatu Mtakatifu".

Utatu mtakatifu kwenye Ukristo humaanisha Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.

Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu Sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.

wasitumie na dolarbasi maana ina pembe tatu kubwa tu ya ukweli pale katiiiiii.
 
jamaa wana msimamo sana! Nimewakubali Shabab

Si kila msimamo una maana. Kati ya misimamo ya kipuuzi na ambayo ina toa taswira ya upeo finyu wa Alshababu ni huu kwa hiyo usisifie ujinga.
 
hili katazo kama lingelenga kula mirungi, kuvuta sigara, kuvuta bangi, kukemea ulawiti, kupiga vita
utekaji wa meli unaofanywa na raia wa Somalia na baadhi ya wanavikundi wa Al Shabaab,
ningewaelewa sana lakini nimekuwa na wakati mgumu sana juu yake kuliko sababisha niwe na maswali mengi sana
kichwani mwangu.
 
Ahhhh Tatizo lao ni huo UTATU MTAKATIFU, na sio Sambusa kama kitafunwa. Hivyo wakitengeneza sambusa za pembe nne au tano RUHUSA au sio?????
 
Hizo bunduki wanazotumia hao AL-SHAHABAB zinatoka wapi na zinatengenezwa na nani???? Labda zinatengenezwa na waislamu ndio maana hawajazipiga maarufuku na zenyewe
 
5850518.jpg

Kundi la wanamgambo la Al-Shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya Somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.Kundi la Al-Shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini Somalia likidai ni katika misingi ya dini ya Kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku Sambusa.

Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.

Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini Somalia.

Wanamgambo wa Al-Shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini Somalia.

Kundi la Al-Shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.

Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya Al-Shabbab.

Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "Utatu Mtakatifu".

Utatu mtakatifu kwenye Ukristo humaanisha Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.

Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu Sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.
Wajinga ndio waliwao, wapige marufuku kula kabisa hapo ndo kitaeleweka.
Haya ni matokeo ya kukosa any formal education system na government kwa miaka zaidi ya 20 sasa huko somalia.
Si ajabu watakuja na marufuku ya kupumua, au kuishi.
 
Hii mijamaa mijitu ya ajabu kweli ndio maana inasema eti Somalia hakuna njaa
 
Kuna imani za ajabu sana tena sana. Eti hiyo nayo ni imani inayo peleka watu kwa Mnyaazi Mungu.
 
5850518.jpg

Kundi la wanamgambo la Al-Shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya Somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.Kundi la Al-Shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini Somalia likidai ni katika misingi ya dini ya Kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku Sambusa.

Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.

Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini Somalia.

Wanamgambo wa Al-Shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini Somalia.

(1)Kundi la Al-Shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.

Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya Al-Shabbab.

(2)Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "Utatu Mtakatifu".

Utatu mtakatifu kwenye Ukristo humaanisha Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu.

Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu Sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.

(1) Al Shabab hawakuwa na hoja !
(2) Mwandishi anahitimisha sababu ya marufuku !
........ hivi Wagalatia mtaacha lini uzushi ? au ni moja ya sifa zenu ! kwani pembe tatu iko katika sambusa tu ?
 
Ahhhh Tatizo lao ni huo UTATU MTAKATIFU, na sio Sambusa kama kitafunwa. Hivyo wakitengeneza sambusa za pembe nne au tano RUHUSA au sio?????
.......... hili jambo si kweli, ila Wagalatia wana Akili za Kushikiwa na kuambiwa, fuatilia post zao upate burudani !
 
5850518.jpg

kundi la wanamgambo la al-shabbab ambalo linatawala baadhi ya maeneo ya somalia limetangaza kupiga marufuku kupika, kuuza au kula sambusa kwakuwa sambusa zimekaa kikristo zaidi.kundi la al-shabbab ambalo linajulikana zaidi kwa sheria kali linazoziweka nchini somalia likidai ni katika misingi ya dini ya kiislamu, limekuja na sheria mpya kwa kupiga marufuku sambusa.

Sambusa ni miongoni mwa vitafunwa maarufu duniani vyenye umbile la pembe tatu, kukiwa na sambusa za aina mbalimbali, sambusa za nyama, mbogamboga na sambusa zenye kuwekwa mahanjumati mbalimbali ili ladha yake iwe nzuri.

Umbile la pembe tatu la sambusa ndilo lililopelekea sambusa zipigwe marufuku nchini somalia.

Wanamgambo wa al-shabbab walipita mitaani wiki iliyopita wakiwa kwenye magari yenye spika na kutangaza kuwa kuanzia sasa sambusa zimepigwa marufuku nchini somalia.

Kundi la al-shabbab halikutoa sababu yoyote ya kuzipiga marufuku sambusa mbali ya kusema kuwa zimekaa kimaadili ya nchi za magharibi.

Kutokana na marufuku hiyo adhabu kali itawakuta watu watakaokamatwa wakipika, kununua au kuuza au kula sambusa ndani ya maeneo yaliyo chini ya al-shabbab.

Hata hivyo imeelezwa kuwa sababu ya kuzipiga marufuku sambusa ni umbile lake la pembe tatu ambalo limefananishwa na umbile la alama ya kikristo ya "utatu mtakatifu".

Utatu mtakatifu kwenye ukristo humaanisha mungu baba, mungu mwana, na mungu roho mtakatifu.

Kutokana na alama ya utatu mtakatifu kuwa kwenye umbo la pembe tatu sambusa nazo kwakuwa zina umbile kama hilo zimepigwa marufuku kwa kuonekana zimekaa kikristo zaidi.

nimeitafuta hii habari BBC sijaisikia
 
Pole Ali Kombo, u know the truth deep inside you of the real reasons behind the move

Hili kundi la lenyewe lina itikadi za dini au kisiasa? Basi usiharibu swaumu yako kwa kusingizia na kupakazia 'ugalatia'

Nawe utaijua kweli, nayo kweli itakuweka huru

Sioni tatizo kwa Al shabab kukataa sambusa, ila ningefurahi sana wangeacha shambulizi mbalimbali under pretence of '.....' Sometimes its just not worth it, hakuna anayetaka kufuata dini ya mwenzie, sote tuheshimiane na tupendane na tujue mipaka ya wenzetu na kuwaachia uhuru kuabudu katika wanachokiamini, tusidhihaki and this goes for all of us,

Let's not fight a losing battle, let's preach humility and love, galatians existed during bible age, kwasasa nchi hiyo sijui yaitwaje

Tusongeni mbele watanzania
 
Back
Top Bottom