Sambusa Zapigwa Marufuku Somalia

Sikuamini hii kitu, mpaka ikabudi ni tafute ukweli, ila hawa jamaa naona wamechanganyikiwa.

AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI ,

MIMI NILIWAHI KUSOMA ZAMANI HAWA JAMAA ETI WAKIUZA BANGI NA UNGA UNAJUA TENA BAD DOG

HATA WALE TALIBANI NILIWAHI KUSOMA ETI NDIO WANAISHIKILIA HII BIASHARA YA UNGA

LAKINI MSIKILIZE HUYU DADA MUINGEREZA AMBAYE ALISHIKWA NA TALIBANI ANAONGEA NINI

ZIKO 14

Last edited by a moderator:

Kama sambusa za pembetatu zinawakwaza, waruhusu basi za pembenne !

attachment.php

........ Jamaa humu ndani uwezo wao wa kutohoa jambo ni mdogo, ndio maana wanarukia Uislaam. Hata Thread yenyewe ukiisoma inaonyesha ni uzushi wa mwandishi.
".................. kundi la Al Shabab halikutoa sababu yeyote ya kupiga marufuku.................. !"

AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI ,

MIMI NILIWAHI KUSOMA ZAMANI HAWA JAMAA ETI WAKIUZA BANGI NA UNGA UNAJUA TENA BAD DOG

HATA WALE TALIBANI NILIWAHI KUSOMA ETI NDIO WANAISHIKILIA HII BIASHARA YA UNGA

LAKINI MSIKILIZE HUYU DADA MUINGEREZA AMBAYE ALISHIKWA NA TALIBANI ANAONGEA NINI

ZIKO 14

MashaAllah Islam is Simply Serat-ul- Mustaqeem ( The straight & Simple path )
hawajui tu !!

Last edited by a moderator:
Pole Ali Kombo, u know the truth deep inside you of the real reasons behind the move

Hili kundi la lenyewe lina itikadi za dini au kisiasa? Basi usiharibu swaumu yako kwa kusingizia na kupakazia 'ugalatia'

(1)Nawe utaijua kweli, nayo kweli itakuweka huru

Sioni tatizo kwa Al shabab kukataa sambusa, ila ningefurahi sana wangeacha shambulizi mbalimbali under pretence of '.....' Sometimes its just not worth it, hakuna anayetaka kufuata dini ya mwenzie, sote tuheshimiane na tupendane na tujue mipaka ya wenzetu na kuwaachia uhuru kuabudu katika wanachokiamini, tusidhihaki and this goes for all of us,

Let's not fight a losing battle, let's preach humility and love, (2) galatians existed during bible age, kwasasa nchi hiyo sijui yaitwaje

Tusongeni mbele watanzania

(1) Ukweli na kweli ni kuwa: Yesu A.S ni Nabii na hakuwahi kusulubiwa !
(2) Wagalatia ni kabila moja la watu wajinga ambao waliamini Yesu A.S amesulubiwa ! jambo lilomshangaza hata St. Paulo !

Hata sasa Wagalatia bado wapo ! (wana amini sambusa ni Uislaam)

Wanajulikana wakishindwa huieneza chuki.

Jee, unajuwa kuwa kuvaa beach za Brazil ni marufuku?

Wanajulikana wakishindwa huieneza chuki.

Jee, unajuwa kuwa kuvaa bikini beach za Brazil ni marufuku?

sambusa zina umbile la kikristo...hahahaha, ajabu kweli..sambusa zina umbile la K jamani..ni kama uvungu wa mama kayeyoo zetu vile...hahaha.

Pole Ali Kombo, u know the truth deep inside you of the real reasons behind the move

Hili kundi la lenyewe lina itikadi za dini au kisiasa? Basi usiharibu swaumu yako kwa kusingizia na kupakazia 'ugalatia'

Nawe utaijua kweli, nayo kweli itakuweka huru

Sioni tatizo kwa Al shabab kukataa sambusa, ila ningefurahi sana wangeacha shambulizi mbalimbali under pretence of '.....' Sometimes its just not worth it, hakuna anayetaka kufuata dini ya mwenzie, sote tuheshimiane na tupendane na tujue mipaka ya wenzetu na kuwaachia uhuru kuabudu katika wanachokiamini, tusidhihaki and this goes for all of us,

Let's not fight a losing battle, let's preach humility and love, galatians existed during bible age, kwasasa nchi hiyo sijui yaitwaje

Tusongeni mbele watanzania

shikamoo

Theologia hii ni ngumu sana. "Believers are also thinkers; in believing they think and in thinking,
they believe. If faith does not think, it is nothing. Believing without reason withers into myth and superstition." (Waamini hufikiri; katika kuamini hufikiri na katika kufikiri huamini. Kama imani haifikirii, ni bure. Kuamini bila kufikiri hupelekea kile kinachoaminiwa kuwa hadithi za alnacha na uchawi."

Back
Top Bottom