Sambusa Zapigwa Marufuku Somalia

Waruhusu sambusa za pembe nne au tano kama ishu ni umbo la pembe tatu. Poor Al-Shaabab you should've done a little research on it, if the issue was a shape of samosa!
 
Hhahahahahah though am not muslim hawa sio waislam wanatumia jina la dini tu kupata support ya baadhi ya waislam wasioielewa dini yao vizuri.

Hiii kama ni kweli ni kali
 
hawa ni wenza wazimu na ni aibu na fedheha kubwa kwa kundi kama hilo kujinasibisha na Uislamu. Amma kweli mirungi mibaya
 
Hahahaaa!
Hawa jamaa nawakubali kishenzi.
Hakuna kula kitoweo cha sambusa!
Inayofuata ni Kuoa au kuolewa ni marufuku! Watu wengi na mirungi haitoshelezi, watu wapungue!
 
Hahahhah hata kama ni kweli naomba íi thread iende jukwaa la jokes
 
Lile umbile pale sehemu ya mbele kwa mwanamke nalo limekaa ki pembetatu. Basi nalo wasilikaribie,kuligusa hata kulitumia hata kidogo. Akili au matope haya!
 
Dah, nimesikia kuna wamama wa nne wamekamatwa wanauza sambusa wamehukumiwa kifo, hii ni hatari sana
 
mtu aliyelewa dini ni hatari sana kuliko aliyelewa konyagi au gongo au valuer,hasa hawa jamaa watoto wa mama mdogo yaani ni HOPELESS kabisa mbona wanavaa suruali,suti,t-shirts ambazo ni utamaduni wa kimagharibi?
 
Waruhusu sambusa za pembe nne au tano kama ishu ni umbo la pembe tatu. Poor Al-Shaabab you should've done a little research on it, if the issue was a shape of samosa!

Ndio wanainyemelea bongo taratiiiiiib
 
What a COMEDY!! How Hilarious!!!!..... Mie mbavu sina kwa kicheko!!..
 
DUH! Hii kali..................Yaani nimechekaaaaa! ndio maaana tunawaambia waende shule hawaelewi!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom