Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa ligi ya Ubelgiji na nimebahatika kuiangalia uwanjani mara kadha.
Siku zote nikiangalia naangalia timu ya SAMATA hasa anavyoenea katika nafasi yake.
Mwanzo alionyesha mtu mwenye nia ya kuwa mshindani na akawa mfungaji hata wa magoli muhimu kwa timu yake.
Katika mzunguko wa pili wa timu sita sasa, naona anafanya kuvizia mpira zaidi ya kucheza. Hasaidii timu inaposhambuliwa na anacheza kama Van Nistelrooy.
Hii ni hatari sana. Maana naona anaweza akaanza kosa namba si muda mrefu.