SAMATA: Atapotea kwenye Soka

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa ligi ya Ubelgiji na nimebahatika kuiangalia uwanjani mara kadha.

Siku zote nikiangalia naangalia timu ya SAMATA hasa anavyoenea katika nafasi yake.
Mwanzo alionyesha mtu mwenye nia ya kuwa mshindani na akawa mfungaji hata wa magoli muhimu kwa timu yake.

Katika mzunguko wa pili wa timu sita sasa, naona anafanya kuvizia mpira zaidi ya kucheza. Hasaidii timu inaposhambuliwa na anacheza kama Van Nistelrooy.

Hii ni hatari sana. Maana naona anaweza akaanza kosa namba si muda mrefu.
 
swali lina logic......mie wa kwanza kurusha uzi hapa nikisema dua kwa samata nadhani sikueleweka sana....mechi 18 goli nne kwa straika ni hatari sana na kwa ulaya maana yake huenda mshahara ukapungua soon ama wamemstahi sana.......huenda kuna mambo mengi yanachangia ila nilitegemea sasa awe anafunga kuliko mwanzoni ambapo ungeshawishika kusema hajazoea ligi.............ama huenda naye tayari ameota majipu lakini naamini ataibuka tena
umetumwa kuchangia kaka? hebu pitia kichwa cha habari na habari yenyewe
 
swali lina logic......mie wa kwanza kurusha uzi hapa nikisema dua kwa samata nadhani sikueleweka sana....mechi 18 goli nne kwa straika ni hatari sana na kwa ulaya maana yake huenda mshahara ukapungua soon ama wamemstahi sana.......huenda kuna mambo mengi a=yanamchangia ila nilitegemea sasa awe anafunga kuliko mwanzinni ambapo ungeshawishika kusema hajazoea ligi.............ama huenda naye tayari ameota majipu
Mazingira ya Ulaya kwa sasa yako sawa na Tanzania. Kipindi anakuja kulikuwa baridi sana, angepata shida. Lakini kwa sasa watu wanatembea uchi tu haitaji kuonyesha kiwango cha chini kihivi.

Amebaki anavizia tu. Majuzi timu yake imefunga 5 yeye hana hata moja. leo wamepigwa. Na yule jamaa yake Mgiriki majuzi aliingia tu akapiga bonge la goli. yeye anabaki hata hakimbilii mipira.
 
Katika soka experiencing a goal scoring drought to a striker ni jambo la kawaida sana. An argument ingekuwa kuwa he doesn't influence his team in any way kidogo ingekuwa sawa.

Messi na ubora wake duniani he once played 527 minutes without a goal. .. then this year kacheza 515 minutes without a goal. And he's a best player on the planet.
Mwaka huu pia Neymar alikaa more than a month and half without a goal. February 15 to April 10 nahisi bila kutia kambani.

Cristiano Ronaldo arguably the best player on the planet with Messi went 583 minutes without scoring last year yet, samata anapotea.

Nisiandike sana but Samata alianza vyema na ndo maana hata kocha alimwamini mapema. It's always a matter of how fresh a player is and how consistent his team has been. If other players are bagging goals na pia ukawa effective on other ends of the pitch then that's fine while you are trying to regain your rhythm.
Mwaka huu Arsenal wakitegemea their Top Scorer Sanchez afanye vyema he went for 1 goal in 12 matches. So usishangae 4 goals in 18 games and which some he came off the bench.

Note:

Amewahi kuaminiwa sana in a new environment na kwa sababu aliwahi kuanza kufunga there's a lot of pressure inayokuwa juu yake hasa akitaka kuendelea kuwin hearts of the faithful fans of the club. The thing he has to do is coming down, play the real Samata huku akiendelea kugain momentum. The level of competition in the Jupiler League is very high, don't compare it na Congo. And Samata needs some time. It's always difficult to a player at times.
 
Takwimu:

1. Katika mechi 7 zilizopita Samata ameanza mechi 5 na kuingia kama sub katka mechi 2.

2. Katika mechi 2 zilizopita... Samata kaanzia sub, ikiwemo mechi muhimu ya kuwania kufuzu kucheza Europa League hapo jana ambapo Genk "walidunguliwa" goli 2-0.

Maoni Yangu:
Baada ya kuaminiwa mwanzoni na kukabidhiwa kiti katika 1st eleven.. Alishindwa kudeliver kile walichotegemea "wazungu".. Sasa wanaanza " kumuadhibu".

Sina hata punje ya mashaka na uwezo wa Mwanamsimbazi mwenzangu.. Hopefully soon atajerejea katika ubora wake. Kila la kheri.
 
Mapema mno. Halafu ngwe hii ya Ligi ni kali sana, kila mechi ni kama fainali. Hata yule Mjamaica aliyekuwa anawaburuza sana mabeki kwenye ngwee hii anaonekana kuchechemea.

Halafu ukiona Samata anavizia ujue ndio kafundishwa hivyo na kocha, maana kwa asili yule sio mviziaji ni mtu anayependa kutembea na kijiji au kuchezea chezea mpira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom